King'asti

King'asti

Pl'se King'ast njoo mitaa hii !
Nna hamu kuona Panya anamuvuzisha kabati !
 
Nimeongea nae anasema hata yeye alikuwa anakupenda sana enzi zile ulipokuwa na soksi zilizo toboka kwa sasa hakupendi tena kwa kuwa unavaa socks mpya.
 
ama kweli King'asti ana haki zote za kukukataa....enzi hizo na sasa hivi....

Hapa pic ya hizo soksi umeshindwa kuweka.... King'asti utamwezea wapi?
 
Last edited by a moderator:
mwambie tu nampenda sana

Nimeongea nae yuko Ubungo Plaza kunako Miss Redds , japo kuna makelele bt tumeskilizana. Kaniambia anakuona hujatuliatulia hivi! Anakufananisha kama Philipo Mulugo namna hii !
Nway mjumbe hauwawi mi nimefikisha, sijatia maneno yangu.
Btw maoni yng kwako usikate tamaa!
Kuna mwanamke anamzidi usungura mwanaume?
Hawa si ndo sitaki-nataka!
Kaza daluga meeen.
 
Jamani Excy, mbona hunielewi? Unataka Paw anipige ban ya jf, ukose kuona hata kivuli changu? Paw ndo mpango mzima, wa ndani na wa nje, wa sasa na wa baadae.
Kongosho, haya yale ya lawama. Hebu nisaidie nimfanzeje huyu kijana?
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe, akili nimepeleka holiday tahiti, manake kimwili gharama inakuwa kubwa. Niko rohoni zaidi.
Unauweza mziki huo ndugu yangu??
Maana King'asti si wa mchezo ati!!!

Na kumpata inabidi ujipange haswaa, na utumie ma' akili saaana.
Nadhani we mwenyewe unaona jinsi upstairs kwake kulivyotulia yakhee!!
 
Hukumu mbona mgomvi wewe, hapa sio maissue za ujanja. Kijana wa watu ameonekana ametulia na anajua kuvaa. I dont deserve him jamani.
Nimeongea nae yuko Ubungo Plaza kunako Miss Redds , japo kuna makelele bt tumeskilizana. Kaniambia anakuona hujatuliatulia hivi! Anakufananisha kama Philipo Mulugo namna hii !
Nway mjumbe hauwawi mi nimefikisha, sijatia maneno yangu.
Btw maoni yng kwako usikate tamaa!
Kuna mwanamke anamzidi usungura mwanaume?
Hawa si ndo sitaki-nataka!
Kaza daluga meeen.

afadhali mtumwa umesema ukweli. Soksi hazikuniogopesha manake ningemnunulia na kumfulia mwenyewe baada ya kumuogesha na maji ya iliki na abdalasini. Cheizeiya mapenzi ya king'asti! Ndo maana Paw hatetereki hapa.
Nimeongea nae anasema hata yeye alikuwa anakupenda sana enzi zile ulipokuwa na soksi zilizo toboka kwa sasa hakupendi tena kwa kuwa unavaa socks mpya.

Yaani ningempenda na picha ningemfundisha kuweka.
ama kweli King'asti ana haki zote za kukukataa....enzi hizo na sasa hivi....

Hapa pic ya hizo soksi umeshindwa kuweka.... King'asti utamwezea wapi?
 
Hahaha, mgomvinwewe. Excy ni powertiller ujue
Pl'se King'ast njoo mitaa hii !
Nna hamu kuona Panya anamuvuzisha kabati !

Mie mlengwa nimeziona. Utakuwa una dhambi sana wewe ndo maana hujaziona
hapo, kuna picha ambazo hazionekani au ni macho yangu?
Nazjaz, jino moja mswaki wa nini?
Mgonjwa wa fungus socks za nini?

Siku hizi anavalishwa soksi, anataka kunirubuni tu hapa. Alivyopendeza haiwezekani hatunzwi huyu
Kwa hiyo saizi huvai tena soksi zilizotoboka?????

Mnhhhh indeed oooh!:majani7:
mnhhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom