Soksi zimetoboka.
Sijawahi, ila nimeshajiandaa kama akitokea nyau mzuri sikawii kujirusharusha hadi nitoke chomboni. Hehehe, afu kakashemeji jmushi1 sijui umemficha wapi, siku hizi anatokea kwa manati.
Mbona soksi za khanga nzuri sana, zina hewa safi
Bora soksi zilizotoboka kuliko soksi chafu, aisee! Cleanliness is next to godliness.
Ulinitosa tukiwa form six kisa navaa soksi zilizotoboka visigino
lol, cat and goldfish!
Mpelekee zawadi Gunia la Mneli, lazima ataingia King.. Trust me
Kweli hilo trick ndo nimesahau,nadhani itafanya kazi
Mbona soksi za khanga nzuri sana, zina hewa safi
Mmmmhh:confused2:, hata kule siasa hayupo?