tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 133
- 531
Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.
Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’
Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.
Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.