King'amuzi cha kileleni feki...

Rubuye123....wewe king'amuzi chako kinakupa ishara zipi za kumfahamu anapofeki? Rubuye123

I try hard kutopoteza channel wakati wa mchakato mkuu.nazingatia sana muda wa 'matayarisho' na hapa mimi hupata ukweli wote wa kile nitasikia toka kwake baadae!kweli..maumbilie hayafanani,hakuna kanuni lakini kuna ile hali ya 'msingi' kwa almost wanawake wote lazima imtokee kama nimetimiza 'majukumu' yangu ya mwanzo vizuri.hapa hawezi nidanganya kwakweli,labda a-fake mpaka response ya mwili wake inayoonekana waziwazi kwangu,ambayo sioni kama inawezekana!
 
Last edited by a moderator:
iknw nthing :A S confused:

wacha urongo binti mzuri!we hujawahi fake orgasm kweli wewe!?maybe ili jamaa amalize tu fasta akuondolee kero au labda hum-feel kabisa ila tu una malengo fulani au labda hata kumfanya tu jamaa yako ajisikie/jione kidume hata kama kiwango chake kinazingua na hafikii cha ex wako!?
 
Mkuu kuna njia moja kuu ya kutambua kilele feki
mkishamliza mechi na yeye akaku laghai amefika kileleni kumbe hajafika
ni rahisi kumtambua, kwanza atajivuta atakaa kitandani, atachukua simu yake au gazeti/ kitabu atajifanya anasoma au atakuuliza vipi leo hujaja na gazeti la Uwazi,Sani au whatever? au kesho utaondoka saa ngapi?? hapo utakuliwa umeliwa na huyo ni tapeli, na wakti wa mechi alionyesha kafika kileleni..

na aliyefika kileleni live, baada ya Mechi hua anachoka sana ni lazima atauchapa usingizi hata kama ni kwa saa moja

ndio maana mimi huwa sipigi quickies asubuhi,mtu mmoja anaweza akaamka hata saa nne afu mkoloni akam-mind.....lol!
kiukweli hii mimi ni indicator ya kwanza japo pia naamini maumbile yanatofautiana!
 
nimekukubali Manyanza mahesabu yako makali sana............[MENTION]@manyanza[/MENTION]
 
ndio maana mimi huwa sipigi quickies asubuhi,mtu mmoja anaweza akaamka hata saa nne afu mkoloni akam-mind.....lol!
kiukweli hii mimi ni indicator ya kwanza japo pia naamini maumbile yanatofautiana!

RUbuye123 yaelekea ni mtu makini sana yaani hupendi mzaha-mzaha kwenye haya majambozi....[MENTION]@RUBUYE123[/MENTION]
 
wacha urongo binti mzuri!we hujawahi fake orgasm kweli wewe!?maybe ili jamaa amalize tu fasta akuondolee kero au labda hum-feel kabisa ila tu una malengo fulani au labda hata kumfanya tu jamaa yako ajisikie/jione kidume hata kama kiwango chake kinazingua na hafikii cha ex wako!?

Rubuye123 achana na wahida......................ana malalamiko kuwa siri zake tumezianika gazetini sasa anasuiri shubiri kutoka kwa mzee wake..........[MENTION]Rubuye123, wahida[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
I try hard kutopoteza channel wakati wa mchakato mkuu.nazingatia sana muda wa 'matayarisho' na hapa mimi hupata ukweli wote wa kile nitasikia toka kwake baadae!kweli..maumbilie hayafanani,hakuna kanuni lakini kuna ile hali ya 'msingi' kwa almost wanawake wote lazima imtokee kama nimetimiza 'majukumu' yangu ya mwanzo vizuri.hapa hawezi nidanganya kwakweli,labda a-fake mpaka response ya mwili wake inayoonekana waziwazi kwangu,ambayo sioni kama inawezekana!

tatizo la hii misimamo ni kuwa ukibanwa kisawasawa huna cha msalia mtume.......................unachotaka ni huduma tu na huduma utapewa kwenye mazingira ambayo siyo lazima haya unayoyasema yawepo..........na ndiyo mwanzo wa kufungashiwa buzi kwenye gunia......[MENTION]@Rubuye123[/MENTION]
 
iknw nthing
A%20S%20confused.gif

wahida I seriously do suspect you are frigid........................prove me wrong if you can.......[MENTION]@wahida[/MENTION]...
 
kufika kileleni kunategemea na mmejiandaje wote kwa ujumla maana kama hajajiandaa lazima kilele feki kitatokea kwa mmoja wenu

Mwanaweja.........hapo inakuwa nia zeni zimeshahibiana lakini siyo siku zote itakuwa hivyo...........na hapo ndipo kizungumkuti hujitokea.........mtarandana may be twice a month but the rest of the month utabebeshwa hadaa tupu...........[MENTION]@mwanaweja[/MENTION]
 
@Manyanza si wanawake wote wenye kuweza kuuchapa usingizi baada ya kufika mshindo ingawa kuchoka na kulegea ni kitu cha kawaida sana. Ninyi mnadangaya vipi??????

na aliyefika kileleni live, baada ya Mechi hua anachoka sana ni lazima atauchapa usingizi hata kama ni kwa saa moja

[/QUOTE]
 
tatizo la hii misimamo ni kuwa ukibanwa kisawasawa huna cha msalia mtume.......................unachotaka ni huduma tu na huduma utapewa kwenye mazingira ambayo siyo lazima haya unayoyasema yawepo..........na ndiyo mwanzo wa kufungashiwa buzi kwenye gunia..... Rubuye123

i know kuibiwa inawezekana kabisa,ila labda na mgeni ambaye mi nimekamata ghala tu napiga na kutembea.(sasa huyu hapa kila mmoja anakuwa na interests zake,wala hata haumizi kichwa kama hajaridhika!).ila wangu mwenyewe,hata kama ni mara ya pili tu akianza 'u-kanumba- nitajua na nitamwambia kwakweli!!(nishawahi fanya hivi kaka,usishtuke!)
 
Last edited by a moderator:
RUbuye123 yaelekea ni mtu makini sana yaani hupendi mzaha-mzaha kwenye haya majambozi... Rubuye123

dah!kwenye hili eneo ni kweli mkuu,umakini wangu ni mkubwa karibu sawa na ule wa kutafuta shilingi aisee!sema mtu wa sasa aliyepo ni wa dizaini hii aloisema manyanza,sasa ukishughulika asubuhi utakuta jioni mtu kapigwa memo kwa kuchelewa ofisini hivihivi!

lakini pia mkuu mara nyingine na sisi precedent tunayoweka mwanzo huwa inatu-cost ujue!yani mwanzo mzee ulikamuka kama siku ile ronaldinho anapewa standing ovation na real madrid baada ya kuwafunga na soka la mbinguni,kumbe ulifanya kilikua kipya kinyemi tu!sasa mwenzio anajua kiwango ndo hiki au hakipaswi kushuka sana zaidi ya hapa,ndo madhara yanaanza hapo!
 
Samahani mkuu japo nimechelewa kuchangia lakini naona hii mada imewalenga wageni wa kunako tasnia hii. Ni mtazamo tu.
 
hehehee ,yaan leo kazi mm naseema kweli tu ,kwan mkweli mpenzi wa mungu,, bado niponipo kwanza ,,
rubuye hapa sidanganyi mm
A%20S%20thumbs_down.gif

wahida, hudanganyi au hudanganyiki?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom