Hahaaa hapo inabidi uwe mpole hakuna namnaHahaha daddy nikajua kastaafu kunidongoa, kumbe wapi. Ila ndo mzee wangu, sina jinsi
Hahaaa yaani @NANDERA na @atoto mnachonganisha mtu na dady wake eeeh??!! haahaaaaa nyie wabaya sana aiseee
cc @Heaven Sent
Wee nina ubavu wa kwenda basi, Me na daddy angu tena.. kama wigi na direction
Na busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?Hahah sasa hapo uliposema kwa mfano usipoolewa halafu mbele ukaweka God forbid inaonyesha dhahiri hupendi kukaa bila kuolewa ,hivi unaijua nafasi ya mwanamke kwa Mwanaume kwenye ndoa ??? Unafahamu busara za kina Easther ndio ziliwaokoa wa Israel ??? Ndio maana Mungu alimpa Adam msaidizi wa kufanana naye ,kwanini Mungu hakumpa Adam msaidizi mwanaume mwenzake ??? Misingi yote bora inatoka kwenye ngazi ya familia amini usiamini ,unajiskiaje unapo mwona simba dume akiwa kwenye territory yake na wanae na mkewe na watoto na Simba dume mwingine hawezi kuingia kwenye hiyo territory, busara kidogo kama za wanyama zinatushinda wanadamu na ku justify vitu visivyo mpendeza Mungu kuwa ni sawa tu ,
Hahaaa hapo inabidi uwe mpole hakuna namna
BTW hata mimi nilipaona lakini nikajua umejibu hivo kusudi tu coz nyie ni waarabu wa pemba
Concept yangu ya wanyama umeilewa ndivyo sivyo mkuu , hapo nilikua najaribu ku potray image ya wanyama wakiwa na familia zao ,na jinsi inavyopendeza ,na je si ingependeza zaidi kwa wanadamu ,na huo mfano niliutoa baada ya baadhi ya wadau kusema ndoa haina umuhimu wowote ,tukaenda mbali mpaka kuongelea watawala wa nchi kwanini mara nyingi wanakua wameoa ,hitimisho likawa familia ndio msingi wa mambo yoteNa busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?
Hahaaaa hebu na tunyamaze sasa, make akili zilivyomzidi asije kuanza kutuchangania humo humo na kidhungu tukapata kazi ya kutafuta mtafsiri bureHahahaaaaa!! Usimfumbue zaidi hachelewi kuanza kuongea kinyakyusa hapa.
Hata wewe nalo limekupata?Komaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao
hahahaaa watu na stress za kuishia kuwa vinyozi na wauza mabucha ya samaki siyo mchezo...... hahahahaaaaaaaaaaaa
hahaaaa ngoja niondoke hapa sikujua kumbe hata nao huwa desperate.Hahahaaaaaaaa!!! Life likikugonga unapoteza muelekeo, akili,ufahamu na kila kitu, yaani walaaa usiombe, ukijumlisha na kukataliwa na kupondwa pondwa kila siku ndio yeleuwiiiiiiii!!
I ain't proud of you, I'm so grateful for your wisdom. Ubarikiwe wewe na kizazi chakoNa busara za kahaba rahabu ndo ziliwaokoa wapelelezi wa israel na upelelezi huo ulifanikisha waisrael kuitwaa ile nchi, na rahabu ni mmoja wa wanawake wachache waliotajwa kwenye ukoo (geneology) ya Yesu kutokana na upekee wao. Wengine ni tamari aliyejingonosha kwa baba mkwe wake, mwingine ni mama wa solomon mke wa mtu aliyechukuliwa kwa hila na mfalme daudi, mwingine ni ruth. Wanawake wote waliokuwa wanahesabiwa ni halali hawakutajwa, ila hawa wametajwa tuone na kuelewa maana ya NEEMA. Halafu usijaribu kumfananisha binadamu na mnyama. Mungu aliona sisi kuwa kama wanyama si sawa ndo akatupa reasoning. Kwa hiyo na sisi tule watotot wetu kama wafanyavyo simba, nyau na nguruwe?
Hahaaaa hebu na tunyamaze sasa, make akili zilivyomzidi asije kuanza kutuchangania humo humo na kidhungu tukapata kazi ya kutafuta mtafsiri bure
Teh teh..Hilo kiss najaribu kulifuta halifutiki..Yani mambo ya familia ushaanza kuyapeleka kwa huyo mzee??..Aah yani daddy nilikukiss bure kumbe unanidongoa mwanao. File la undugu wetu lipo kwa Jecha now teh
na ukatoa mfano wa mchango alioutoa malkia esta kwa sababu alitumia nafasi yake ya kuolewa na mfalme kuokoa taifa lake tena baada ya kushtuliwa na mordekai. Hivi hivi asingejiongeza. Ndo maana na mimi nikatumia mfano wa malaya rahabu ambaye naye alitoa mchango wake kuokoa wapelelezi wa israel katika nafasi yake ya ukahaba. Kwa hiyo ester mwanandoa na rahabu kahaba wote Mungu aliwatumia kutekeleza mipango yake. Huo mfano wa wanyama nami nimekuonyesha upande wa pili wa familia za wanyama pia.Concept yangu ya wanyama umeilewa ndivyo sivyo mkuu , hapo nilikua najaribu ku potray image ya wanyama wakiwa na familia zao ,na jinsi inavyopendeza ,na je si ingependeza zaidi kwa wanadamu ,na huo mfano niliutoa baada ya baadhi ya wadau kusema ndoa haina umuhimu wowote ,tukaenda mbali mpaka kuongelea watawala wa nchi kwanini mara nyingi wanakua wameoa ,hitimisho likawa familia ndio msingi wa mambo yote
Daddy nimeshaghairi, sina jinsi tehTeh teh..Hilo kiss najaribu kulifuta halifutiki..Yani mambo ya familia ushaanza kuyapeleka kwa huyo mzee??..
hahaaaa ngoja niondoke hapa sikujua kumbe hata nao huwa desperate.