sorry bro, nilisema tu kama kutania, no offenseYamekuwa haya?????!!. Wala sijaandika ili nipate likes, bali nimeandika ninachoamini kuwa ndiyo ukweli.
Pia kama kuna mtu ataguswa na maoni yangu pia ntashukuru.
Naomba nawe utoe unachoamini kwenye huu uzi usiangalie kupata likes au kutopata wewe andika unachoamini toka moyoni mwako. Na ikitokea haujisikii kuchangia siyo mbaya ile kufungua na kusoma maoni ya wengine pia ni mchango wako tosha kabisa.
Kwendeni zenu huko ,mnajifanya mid 20s wapi?mnafikiri mnavyolopoka haitoshikujua nini kinasumbua?wewe kaachini kama bahati yako utaolewa hata kama maziwa yamefika magotini,hatakama unawatoto mia,ila haibadilishi ukweli kama ukiwa binti ulichemka kwa umuch know wako ukazeeka kabla ya muda,
Watu wameolewa na 40s na wanaonekana wakawaida tu,tuseme ukweli michezomichezo ya wanaume inafubaza,atakuoa hata kwambia ila anajua we ulikuakijamvi.
Si ndo hapo sasa, yaani ikitokea wameniona watanigombania kunidunda kama mpira wa kona, aisee imewauma sana. ila na wenyewe wakome na wajifunze.anajifariji tu, kuna mmoja hapa mtaani 30+ na watoto wake wawili safi, ukimuona muda wote uso umekunjamana, wakiwa wanang'aa wana nyodo hao, age ikienda kila mtu mbaya wake
Nashukuru hata wewe umeliona hilo ,lalaSure Ben
Tehehehehe, kwikwikwikwi huyu lara1 limempata kwenye jicho ana hasira huyo.Limekupata la utosini hadi ukajitokeza mwenyewe.
#Kiwi. #HebuJitokeze.
Si ndo hapo sasa, yaani ikitokea wameniona watanigombania kunidunda kama mpira wa kona, aisee imewauma sana. ila na wenyewe wakome na wajifunze.
mkuu hao ukijizibana nao utaumwa kichwa bure, cha msingi wewe unawapa makavu unasepa wanabaki wenyewe wanajifariji, si unajua wanawake wanaongea maneno 20,000+ kwa siku while sisi 5000+ tu usishindane haoSi ndo hapo sasa, yaani ikitokea wameniona watanigombania kunidunda kama mpira wa kona, aisee imewauma sana. ila na wenyewe wakome na wajifunze.
una hekima sana mdadaEeeh ndoa ni ya "muhimu" kwangu, mind you sio lazima. Sio kama nisipoolewa ntajinyonga, hapana, I have too many things to be grateful for. Ila ukiniambia niolewe lazima vigezo na Masharti yangu vizingatiwe. Bila hivyo ntazeeka tu freshhhhhhh. Siolewi kwa mkumbo wala kwa kulazimishwa
Teh God forbid tunaiongelea kwenye kitu ambacho tunawish kisitokee, but kinaweza kikatokea pia vile vile.
Mke ni msaidizi yes, lakini pia mke huyo huyo anaweza akawa your downfall Eg Anania na Safira. Naweza nikawa sijaamua kuolewa pia simply because nazidi kijifahamu nimebeba kitu gani ndani yangu cha kumsupport mwanaume aliyebeba kusudi la aina gani. Nikiolewa tu na mwanaume ambaye amebeba kusudi lisilonihusu, ndoa kushney. Kwa hiyo it's not all about kuolewa, ni unaolewa na nani. Kwa sababu kila mwanaume ni mume, lakini sio kila mume ni mumeo, Msubiri Mr right wako. Mwisho kabisa Ndoa ni wito, na sio wote wameitwa
Afadhali wewe umejibu kwa hekima, ila mkome na mwache dharau, kama hamjachakaa mnakuwa na kiburi sana hata Mungu hapendi hiyo tabia.Na uzuri ni kwamba Mungu hachoki kutusikiliza. Namuheshimu sana huyo aliye desperate afu akakimbilia kwa Mungu, kuliko atakayekimbilia kuolewa out of desperation. Anayekimbilia kwa Mungu amechagua fungu jema sana and she is never going to be disappointed
kwa iyo mkuu unataka kusema wanajaribu kupindisha maandiko badala ya "mkumbuke muumbabwako siku za ujana wako" wao ni "mkumbuke muumba wako siku za uzee wako"teh teh tehsawa kaBisa,, coz hata MUNGU kupitia Mandiko Matakatifu anaseMa "MUKUMBUKE MUUMBU WAKO SIKU ZA UJANA WAKO" sasa hao wanao kula uJana MkitegeMea kuMrudia MUNGU Baadae iMekula kwenu,,!
Duh? Hata wewe limekupiga hili jiwe? pole sana siku nyingine nitalirusha kwa uangalifu lisikupate.Komaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao
Duuuuh! katika wote wewe ndo jiwe limekupiga vibaya sana aisee.Wenye stress wake zenu wameokota fuko la mavi kwenye maandamano! HAHAHAHAAAAAAAA,! Shurti wajipake hayo mavi na yatawanukia ndani for the rest of their lives mchezooooo sasa! Hahahaaaaaaaaa! Chezeaaaa! Kutangulia sio kufika. Ngoja niwapunguzie dozi msije kuji murderrr bureeee! Mwaka ndo kwanza unaanza.
Kwani na Ya Kwako. ni. used?Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?
Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.
Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
HAhahahahahah Jamaa Hataki UsedHahaha sawa Muislam safi ,nenda basi kamsaidie mfalme mswati ku recruit wake zake ,uende kabisa na proposal yako kwamba ni wanawake over age ndio watakao mfaa uone kama ujala shaba hadharani
Pole sana, you're badly injured, unfortunately you can never have a good looking hubby like me as well as good in doing both old and modern sex.Waungwana ngoja nikaombe Mungu kanisani mieee, jumapili ya kwanza ya mwaka hii, anistri na mkosi wa kupata vibwana visivyoeleweka kam mtoa mada wa leo. Shindwaaaaaaa kabisaaa na ulegeeeee. Nitarudi saa 1 kuendeleza ligi.