Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Ooooh!! Sasa kama tumejitia wenyewe yeye inamuuma nini? Hivi kweli unaweza kuishi nyumba moja na mtu kama huyu kabisa na ukamuitacmume!! Alafu umzalie na watoto wamuite baba kweli!! Duuuh imbombo ngafu
Lazima uwe na upungufu kwenye akili
 
Hahahaa nimecheka sana.. Kweli wadada tuna safari ndefu..maskini bado kuna mdada anakubali kukazwa na mtu kama mleta mada hapa,asalaleee dada huko ulipo natanguliza pole,huna bahati,mmeo akili ka za kuku teh..
Ha ha ha.
 
mimi naona kama mabinti ndio wanakoseaga sana,..too bad wakishakosea inakua ni "irreversible" ila wanaume wanaweza ku reverse

Mmmh! Wanaume wanawezaje kureverse? Maana mie kuna ninaowafahamu wanatia huruma basi tu siku zinasonga!
 
Alijisemea @house girl kuwa kuna wanaume inabidi tu uwashauri kwa upoleee wasizae ili kizazi chao kiishie kwao tu!! Wanawake tuna mizigo sisi acha tu! Ukute huu nao ni mzigo wa mtu anagugumia nao huko!!
Ha ha na anasema baby I love u .nyambafu kabisa
 
Unakua na mwanamke unaona kabisa hana akili ya maisha, yeye ni macho juu juu na kujiita dada wa mjini, kichwani ni empty head anakutegemea kwa kila kitu hana hata akili ya kukupa mawazo ya kutusua maishani, mtu kama huyo unapeleka wapi??? Unaona ni bora uendelee kujilia mzigo miaka nenda rudi ukiwa unapanga files zako kichwani

Kwani si mloambiwa muishi nao kwa akili? Yeye kazi yake ni kukutii tu, we tumia hiyo akili unayoona unayo mtusue, si ndio mlisema mnawataka wa hivyo? Mbona wanaume vigeugeu hivi!!
 
Unakua na mwanamke unaona kabisa hana akili ya maisha, yeye ni macho juu juu na kujiita dada wa mjini, kichwani ni empty head anakutegemea kwa kila kitu hana hata akili ya kukupa mawazo ya kutusua maishani, mtu kama huyo unapeleka wapi??? Unaona ni bora uendelee kujilia mzigo miaka nenda rudi ukiwa unapanga files zako kichwani
Unajilia mzigo kila siku unambadilishia style ya kumsugua hata kondoms hutumii dem mwenyewe hata kuarrange siku zake za danger hajui anajua kukunjuliwa tu chumamboga na unavyoipendaa hahahahahaha bs fertilization ikitokea tuu dume unanuna unaanza kuwaza kuflash kiumbe daaa zambi mmmmmmh,,,,bahat nzur mission impossible sterling ukaingia mitini demu kaenda kwao kazaa anaanza kumtafuta jamaa yake wa kitambo aliye mtongoza siku1 dd akabana ww ukamtanua mapaja acha kunjunja bila malengo
 
Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana tena sana, wanaume wanapokuja kuwachumbia mnawachambua kama karanga, mwisho wa siku mnaangukia pabaya na kujikuta mmezalishwa na kutelekezwa na au kuambukizwa HIV, na kisha mnapoteza kabisa dira.
Mkishakuwa skrepa chuchu zimekuwa kama ndala na wengine mnameza vidonge vya ARV ndo mnajifanya wastaarabu na eti mmeokoka, sikatai mtu kumrudia muumba wake pindi amelikoroga maana Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi, hapo si vibaya.
Mnachokera ni ile tabia yenu ya kutafuta kuolewa wakati mnalea watoto wa wanaume wengine na wengine mnabwia ARV, Usichana wako umeula pekee yako tena kwa kiburi bila ya kusikia la mtu, umekuwa bonge la skrepa eti Unataka uolewe sasa, nani aanze maisha na skrepa? mbaya zaidi mnashinda makanisani eti mnamwomba Mungu ili awape waume, mlikuwa wapi wakati mmechanua? baada ya kunyauka ndo mnaanza kumsumbua Mungu, huo ni usumbufu kwa Mungu usio na kichwa wala miguu.
Mungu alikuumba ukiwa bora kabisa ukajichakaza kwa upuuzi wako halafu yeye akusaidieje? Endeleeni kumwabudu muumba wenu hiyo ni haki yenu lakini tabia yenu ya kujidanganya eti mtaolewa hapo imekula kwenu, mtazeeka mkiwa wasimbe, No way! hakuna kijana wa leo aliye tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzake labda wazee hapo sawa.
Na kwa wale walio safi bado Endeleeni kujitunza hadi siku ya ndoa na msikubali kuonjwa.
Huu ni ujumbe wangu kwenu kwa huu mwaka mpya.
Kaka kuna mdada kakuzingua nn
Maana naona mapovu yanakutoka
 
Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!

Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.

Umeongelea Kfc daah umemikumbusha kitu ,,, ngoja kesho Jioni Jioni nimpeleke kfc ......
 
Unajua wewe ni mropokaji tu na tushakuzoea humu wote, asiyekujua wewe basi ni mgeni duniani siyo JF, mini Nimeongea ukweli, na ukweli unauma, mkome na nyie kujifanya mnajua wakati mbele giza,
Ningekuwa limbukeni ningeweka picha ya mke wangu humu ili umuone navyomtunza na umaskini wangu, ungetafuta sana wanawake wa kufananisha na mke wangu, by the way alijitunza, at her 27 th, hakuwa na mtoto hadi namuoa akiwa 28th,nyie mnabeba mimba mkiwa na miaka 15 nyambafuu kabisa hadi mnatia kinyaa, tena street pregnancy, huyo Zari ndo role model wako?
Hivi una akili timamu kweli wewe hadi unaona Diamond na Zari wana ndoa? hiyo si ndoa ni ndoana, Nakupa miaka miwili ijayo uone kama watakuwa wote,hivi kuna watu humu wanaziamini kweli topic zako? hujui hata sifa ya ndoa, wewe ni counsellor wa mahaluhalu, hufai kabisa, ungekuwa na akili usingekimbia ukweli, kama walikubemenda then you expect for marriage imekula kwako, utasubiri sana, halafu mwanamke anazeeka ila mwanaume hazeeki, mwanaume mzee ni yule asiye na pesa.
pole sana utalijua jiji na hivi domo lako halina break, utakoma kulinga.

I DARE YOU NITUMIE PM HIO PICHA MKEO, WALA USIWEKE HUMU! HAHAHAHAHAAAAAAAAA! Unatishia kujamba wakati unaharisha. Nai kabeba mimba? Mbona unatuombea heri kabla ya mda wetu? HUYO MKE ULIMKUTA BIKRAAAAAAAA at 28? Mxiuuuuuuuu! Eti alijitunza? Kagua Tigo baba ukute marinda nayo hamna kitu.

Zari si role model wangu, role model wangu ni Wema Sepetungaaa.

Baba tusutiane jamba jambaaa, nishakuita uje usome nimepost? Si kiranga chako ndo kusoma topic zangu? Tena unikomeeeee na kunifull stop kabisaaa, cancellor mkeo anae kucancell usiku usamehe mechi.

KUMBE UNAJUA MWANAUME ASIE NA PESA MZEEE, TENA BABU, SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEE, UMETISHA KWA HILO POINT.
 
Umeongelea Kfc daah umemikumbusha kitu ,,, ngoja kesho Jioni Jioni nimpeleke kfc ......
Hahahahahaaaaa! Haya ndo manenoooo, manake ile dining table ndani kwenu ingekuwa na mdomo ingekuimbia taarabu. All the best mkuu.
 
Tunachangia vizuriii, na tutamnyoosha mtoa mada na wanaume wote vikopo vya chooni afu mnachonga chonga badala ya kujifunza kwa Dimond mnangaa sharubu tu.
lara1 Wewe ni mpuuzi kweli, kuninyoosha mimi uwe na point za kusimamia na siyo matusi, otherwise hili jiwe litakupiga hadi jichoni uwe kipofu, na mimi nilijua tu ulivyo shambenga hii topic imekushika pabaya, huyo Diamond wako huyo, utaona kama atadumu Na Zari hiyo ni ndoa ya Subiani na maimuna, a marriage of the demons, it cannot endure.
Huna point utaninyoosha wapi?
 
Swadaktaaaaa!! Ndio maana nikakwambia kuwa kuwa selective sio jambo baya maana lazima uchague tu hiyo haikwepeki, ndio maana unaona kuna waliooa wakiwa masikini now ni big bosses, hatuangalii pesa tu, sawa huna pesa ila nikiangalia una mind ambayo ni booonge la asset tukiitumia hiyo tunatusua, sio unakuja tu unalamba lamba lips huna vision upo upo tu alafu ukikataliwa unaanza kuwasema wanawake!!

Hahahaaaa! We tumia tu huo ujanja wa kizamani uje utahamaki umejila TIGO la maisha mwenyeweee. Ooooooh!
 
Back
Top Bottom