Kinadada acheni kumsumbua Mungu

ok, sister wewe ni mwelewa na mimi nakuelewa, jamii zetu za uswahilini watu wana judge watu kutokana na imani, kabila, kuoa/kuolewa badala ya character ila ukiwa strong hubabaishwi na watu kama hso
 
Aaah wewe ni malaika Gabriel au? Hujawahi kukosea hata siku moja mwenzetu? Au unadhani mwanamke tu ndo akizini anaadhibiwa? Mungu wetu ni Mungu wa huruma, ukikiri dhambi zako na kutubu kweli, anakusamehe kabisa. Haweki records ya makosa yako
 
ok,naona hujanielewa..namaanisha ukiwa na watu wawili wote wanafanana kwa kila kitu isipokua mmoja ni family man/woman na mwingine sio, yule mwenye family anaheshimika zaidi, kama unapingana na hili unapinga ili kujifurahisha ila ndio ukweli

Iko hiviiii, linapokuja suala la ndoa sio jambo dogo ati!! Eti ukurupuke tuuuu kwakuwa mtu kaja na mikono yake nyuma basi umkubali tu maana anaonekana ni family mana, NAH!!
Sio kwamba mwanamke akikukataa basi kakukataa kwakuwa huna elimu au huna pesa kuna vingine vya msingi vinavyomata, japo pia ni lazima niangalie wellbeing yangu na kizazi kitachofuata.

Sio kila asiye na elimu na pesa ni wanaume wa kuoa na sio kila wenye elimu na pesa basi hawafai, wanawake wanachaguzi zao km ambavyo nanyi mnachaguzi zenu, na sio kila mwanamke hukosea kuchagua hata wanaume hukosea kuchagua pia, kukosea kuchagua kwa mwingine hakumaanishi basi wengine wasichague, wachague ila wawe makini tu.
 
Hahahahahhh...nimecheka mpaka roho ikauma....

Maann umerusha zinga la nyuki katikati ya msiba...



*just watching the thread with a close eye*
 
Hujanijibu bado, kwahiyo unataka kusema tujizolee tu anayekuja?
nope cheki vision yake, mi mwenyewe mwanamke najali sana uelewa wake na uvumilivu, japo muonekano ni muhimu pia
 
Tuache kuwalaumu sana dada zetu 75 % tunachangia sisi wanaume hatutaki kuoa mapema na hatuna msimamo wa kuwa na girl mmoja mwanamke ametoka ubavun mwa mwanaume makosa yake meng yanasababishwa na ss wanaume unademu mmekaa miaka ss hata kufikiria kumwoa hujafijiria unategemea nn? Tuache ujanjaujanja na usani kuwachezea dada zetu
 

Kwahiyo hiyo dhambi ya binti kazini na nani?? Au Mungu anaangalia dhambi za wanawake tuuuu!!
 
Teh teh..Mi naangalia tu mapovu yanavyowatoka..Kama mmeswallow soap vile..Angalia tu mimba isiharibike mpnz

Nilishangaa nawe povu limekutoka ukajifanya kumsaidia Mungu kazi!!
Hapana aisee haiwezi hata kidogo, kwa lipi labda!! Hakuna kitu kama hicho, mimba iko imara kama chuma cha reli, teh teh teeeh!
 
mimi naona kama mabinti ndio wanakoseaga sana,..too bad wakishakosea inakua ni "irreversible" ila wanaume wanaweza ku reverse
 
Unakua na mwanamke unaona kabisa hana akili ya maisha, yeye ni macho juu juu na kujiita dada wa mjini, kichwani ni empty head anakutegemea kwa kila kitu hana hata akili ya kukupa mawazo ya kutusua maishani, mtu kama huyo unapeleka wapi??? Unaona ni bora uendelee kujilia mzigo miaka nenda rudi ukiwa unapanga files zako kichwani
 
Hahahahahaaaa! Kitchen party yake wiki ijayo tutamtuza kabati akamlee mumeeee eeeeh!

Oooh kumbe ndio maana yanamtoka sana kumbe mume ashapata!! Basi atulie sie tuendelee kumsumbua Mungu mpaka aongee mwenyewe.
 
Marahaba my sista, mzima? naangalia hapa mpambano unavyoenda, nacheka tu hapa kila nikisoma posts zako na za @brenda18
wapi @housegirl timu ikamilike?

@house girl katoa boooonge la msonyoo akajipitia maana hataki kuchafua jioni yake kwa kumjibu huyu mvulana alokataliwa.
 
Last edited:
Unajua wewe ni mropokaji tu na tushakuzoea humu wote, asiyekujua wewe basi ni mgeni duniani siyo JF, mini Nimeongea ukweli, na ukweli unauma, mkome na nyie kujifanya mnajua wakati mbele giza,
Ningekuwa limbukeni ningeweka picha ya mke wangu humu ili umuone navyomtunza na umaskini wangu, ungetafuta sana wanawake wa kufananisha na mke wangu, by the way alijitunza, at her 27 th, hakuwa na mtoto hadi namuoa akiwa 28th,nyie mnabeba mimba mkiwa na miaka 15 nyambafuu kabisa hadi mnatia kinyaa, tena street pregnancy, huyo Zari ndo role model wako?
Hivi una akili timamu kweli wewe hadi unaona Diamond na Zari wana ndoa? hiyo si ndoa ni ndoana, Nakupa miaka miwili ijayo uone kama watakuwa wote,hivi kuna watu humu wanaziamini kweli topic zako? hujui hata sifa ya ndoa, wewe ni counsellor wa mahaluhalu, hufai kabisa, ungekuwa na akili usingekimbia ukweli, kama walikubemenda then you expect for marriage imekula kwako, utasubiri sana, halafu mwanamke anazeeka ila mwanaume hazeeki, mwanaume mzee ni yule asiye na pesa.
pole sana utalijua jiji na hivi domo lako halina break, utakoma kulinga.
 
nope cheki vision yake, mi mwenyewe mwanamke najali sana uelewa wake na uvumilivu, japo muonekano ni muhimu pia

Swadaktaaaaa!! Ndio maana nikakwambia kuwa kuwa selective sio jambo baya maana lazima uchague tu hiyo haikwepeki, ndio maana unaona kuna waliooa wakiwa masikini now ni big bosses, hatuangalii pesa tu, sawa huna pesa ila nikiangalia una mind ambayo ni booonge la asset tukiitumia hiyo tunatusua, sio unakuja tu unalamba lamba lips huna vision upo upo tu alafu ukikataliwa unaanza kuwasema wanawake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…