Sina tatizo na mawazo yako na hakuna sehemu niliyo ongelea mambo ya msamaha ,hilo analijua Mungu ,shida yangu ilikua kwa Lara 1 kuniletea habari zake za Naseeb ni muislamu safi sijui anafuata sharia za mtume ndio nikamletea huo mfano wa bikira 70,
Sasa kwa miaka yetu tunayoishi Tumeambiwa miaka ya ahadi ni 70 tukiwa wenye nguvu basi 80 ....najibu swali lako la 30+ kama ni uzee kwa mtazamo wangu tu ndio ni uzee ,40 tu upo menopause na hivi vijana wa kiume siku hizi watoto wa miaka 22 wanalia lia nguvu za kiume unategemea atampa vipi mimba bi dada wa 40 ?? Au unataka kuleta mfano wa baba wa imani Ibrahim na Raheli ????