Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Sikuelew kabisaaa....hasira hufunika upeo wa kudadavua.
Kwel nimeamin usipoolewa kwa wakat ni pigo la kisaikolojia.
 
Hasira zimeanzia kwenye kuachwa hahahaa vigezo na masharti kuzingatiwa,wakiachwa wawe wapole tu wajue kura hazikutosha eboo

Kukatwa kunauma asikwambie mtu, sio kupenda kwake!
 
Teh teh..Kuna wagonjwa wanamlilia Mungu deile na hawaponi kumbe kuna hawa viumbe ndo wanamkip Aliyejuu bize kwa maombi yao ya kisumbufu..Angrrrrr
Ahaa waacheni wamkimbilie Mungu tuu, yeye ni master anashughulika na wagonjwa plus hao 'wasumbufu' kwa pamoja bila tatizo....

Sasa wasipo msumbua Mungu watamsumbua nani?
 
kwani ugomvi, BTW leo nipo off ndo maana nazurura humu, mada haihusu kukataliwa kumbuka

Soma uelewe dogo, jambo dogo kama hilo walaa haihitaji hata certificate kulielewa
 

" not all men are stupid some are still single" ni kauli niliyoiona kwenye gari hatimae leo umenipatia jibu lake
 
Au ukimkubali zinanyanyuka ghafla, ukimkataa weeee hamna rangi utaacha ona, utachambuliwa hadi vinyweleo
Teh teh uliona ulicho ki 'kuote'?
dada shem
Mi nimeona maluwe luwe ya masiasa
 
Teh teh..Kuna wagonjwa wanamlilia Mungu deile na hawaponi kumbe kuna hawa viumbe ndo wanamkip Aliyejuu bize kwa maombi yao ya kisumbufu..Angrrrrr
Aah yani daddy nilikukiss bure kumbe unanidongoa mwanao. File la undugu wetu lipo kwa Jecha now teh
 
Last edited:

Kwahiyo waolewe tu na mizigo kama hii ninayoiona humu ndani kisa sumbai atamsema??
 
Na nyie mtafute pesa ,ubahili tu na mtatunziwa sana ,wapo wanaoa screpa na ndoa zinadumu,
 
Duu kwa hekima zako ngoja nikuache tu nisije nikauchafua moyo wako kwa maneno yangu ,ila kuna vitu ni utaratibu wa kawaida wa safari ya mwanadamu hapa duniani ,unazaliwa,una mwacha baba yako na mama yako nawe una ambatana na mmeo baada ya hapo ni tunakuimbia tu si mbalii karibuuu....... ,hivi ni kwanini kwenye sehemu kubwa ya utawala hapa duniani hasa nafasi kama za urais nk mara nyingi hakuna bachelor ??
 
Ahaa waacheni wamkimbilie Mungu tuu, yeye ni master anashughulika na wagonjwa plus hao 'wasumbufu' kwa pamoja bila tatizo....

Sasa wasipo msumbua Mungu watamsumbua nani?

Naona sasa umeanza kurudi kwenye utimamu wako.
 
Mmmh na mimi naona loading dose yangu imekugusa mpaka ukaamua ujielezee
Usijihisi kwa nilichosema hapo juu unless ni kweli
Kuna mambo nakubaliana na wewe inshort my point is alitakiwa aongelee vijana kwa ujumla na sio wadada pekee na kuhukumu yeye kama nanii...
Just in case nikaonekana nimeguswa si kwasababu nimezeeka wala msichana mbichi(I don't need to prove this or talk about it anyway) ila napinga upotoshaji wa huyu mleta mada na wanaoshabikia....huyu kaandika out of stress kwa mipasho sio kwa ushauri...kwani mara ngapi watu wanatoa ushauri na unaeleweka
Mtu asijibu anaonekana anaweweseka,tutajibu tu hakuna namna....
 
Kwahiyo waolewe tu na mizigo kama hii ninayoiona humu ndani kisa sumbai atamsema??
Uzuri ni kwamba sio wote mizigo dadashem....sijui wanaolewa wote wanaolewa na mizigo? Au wasiolewa inatokana kukosa bahati ya wanaume wasio mizigo?
 
Sikuelew kabisaaa....hasira hufunika upeo wa kudadavua.
Kwel nimeamin usipoolewa kwa wakat ni pigo la kisaikolojia.

Usiniambie mleta mada nae hajaolewa kwa wakati, na wakati wa kuolewa ni upi? Hebu tuelimishe
 
Ndoa sio hela tu.....najua hela ni kiboresho cha maisha.....lakini sio kipimo cha kuoa....na maisha ni kupanga, ukiamua kuwa tajiri unakuwa....wadada wengi pia huvuka hatua ya kuolewa wakingojea wanaume wenye hela..hahaa hela nzuri ni ile mnayotafuta pa1 sio mvizia vya watu.
Ukiwa mviziaji utaoneshwa hela.utavuliwa kyupi then huoni hela na huoni mtu.
 
Yaani MWANAUME akiongea utamtambua tu, huoni hata wewe umemkubali? Thats a talk of a man.
poa, huwa sina tabia ya kushangilia matatizo ya watu, lakini ukiangalia mtoa mada alikua na point japokua alikua harsh kidogo, ni kwamba kina dada msiwe too selective, na mwanaume wa kukuoa angalia zaidi character yake kuliko possession na appearance, angalia kama ana busara na ni mtafutaji mjaribu alafu uone, kama mbabaishaji achana nae,kama una busara na mwelewa utakua umeona point yangu ila kama ni kilaza utaanza matusi au kuchamba sijui kama mnavyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…