Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa.

Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia wanyonge hawaonewi. Alikuwa akifanya ziara. Viongozi wote serikali walikuwa wanajamba.

Leo hii Makonda anafuata nyayo. Chadema ndio wanamalizwa kabisa. Maana wao walishasema hili taifa halina raia wanyonge.
 
Na bado hamjasema mafisadi nyie wa CCM. Wanafiki wakubwa. CHADEMA imetangaza maandamano halafu wewe chawa unaleta stori za kijinga.

Naomba nikuelimishe wewe chawa wa mama Samiah na CCM kwamba;
1. CCM ndio yenye madaraka. Hivyo peleka hasira zako kwa CCM kwanini haiwajali wanyonge, achana na CHADEMA ambayo haina madaraka. Yani unamuacha mwenye mamlaka ya kuhudumia wanyonge, halafu unaleta lawama za kijinga kwa CHADEMA ambayo ni outsider.

2. CCM ndio imejaza wabunge wengi bungeni asilimia 98%, peleka hasira zako za kinafiki kwa wabunge wa CCM kwanini hawajali wanyonge?. Unalalamika CHADEMA ambayo Ina mbunge moja wakuchaguliwa Tena na chama hakimtambui unaacha wabunge wote wa CCM waendelee na ujinga wa kuongeza tozo kwa Wananchi.

3. CCM imejaza madiwani asilimia 98% nchi nzima na kushikilia Halmashauri zote nchini, nenda kapeleke hasira zako za kinafiki CCM. Unailaumu CHADEMA kwa kutokujali wanyonge wakati CCM inayopiga mapesa ya Halmashauri unaichekelea na kuilamba makalio, very stupid.

4. CCM ndio inashikilia Mitaa na Vijiji karibia vyote Tanzania, na ni asilimia 97%, ila wewe kwa unafiki wako unailaumu CHADEMA kwa kutokujali wanyonge wakati hiyo CCM ndio imeshikilia uongozi huko Chini kabisa kwa wanyonge.

5. CCM ndio yenye bajeti na sera. Yani CCM ndio inaamua pesa ziende wapi na zifanye Nini. Lakini Cha ajabu wewe Mnafiki unaiacha CCM yenye kupokea Kodi za Wananchi kupitia serikali yake na kuifuja hovyo, ila wewe unailalamikia CHADEMA haipokei Kodi Wala haisimamii sera ya Taifa.

Mwisho, nakushauri punguza ujinga na unafiki. Huyo makonda ni mtoa Habari Kama Ally Kamwe wa Yanga au Ahmed Ally wa Simba Hana mamlaka yeyote ya kutetea wanyonge. Yeye ni chawa wa mama, yupo pale kutoa taarifa za chama. Ndio maana juzi ulimuona anatangaza ratiba ya mkutano wa Samiah Zanzibar.

Peleka malalamiko yako CCM na Kwa huyo makonda na uache kutafuta kiki kupitia CHADEMA. Subiria siku CHADEMA ikichukua nchi halafu ikashindwa kuwajali wanyonge, ndipo ulete povu.
 
Mleta mada ccm ilishakuharibu na sasa hivi wameleta mashine pale mloganzila ya kuongeza makalio nenda nawewe ukafaidi
 
Anayenufaika na CHADEMA ni Mbowe pekee. Unless wewe ni Mbowe!

Otherwise tutaendelea kushuhudia magofa ya Mbowe yanayotokana na Ruzuku. Wengine mtakuwa mnamegewa nauli tu za kwenda ziara za nje na zile za kushuhudia mechi huko Ivorycoast
 
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa.

Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia wanyonge hawaonewi. Alikuwa akifanya ziara. Viongozi wote serikali walikuwa wanajamba.

Leo hii Makonda anafuata nyayo. Chadema ndio wanamalizwa kabisa. Maana wao walishasema hili taifa halina raia wanyonge
Mbaya zaidi CHADEMA wanatukana Wanyonge na mtetezi wao JPM
 
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa.

Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia wanyonge hawaonewi. Alikuwa akifanya ziara. Viongozi wote serikali walikuwa wanajamba.

Leo hii Makonda anafuata nyayo. Chadema ndio wanamalizwa kabisa. Maana wao walishasema hili taifa halina raia wanyonge.
Usichanganye wanyonge na wajinga. Kwahiyo anakwenda kuwasha umeme mgao umalizike? Kama Magufuli alisaidia wanyonge kipi kilimfanya apore chaguzi za nchi hii? Huyo muhalifu akashushe bei ya sukari kwenye hizo porojo zake.
 
Wenye nazo ni kina nani?

Kwa akili zenu Mliamini mkiwa peke yenu bungeni ndio mambo yataenda vizuri. Vipi mbona mambo yanazidi kuwa Tete?
Watu wanaongelea mada ingine wewe unawaza ubunge tu!
Hii ndio akili ya Chagadema tu!
Shwine wawe
 
Usichanganye wanyonge na wajinga. Kwahiyo anakwenda kuwasha umeme mgao umalizike? Kama Magufuli alisaidia wanyonge kipi kilimfanya apore chaguzi za nchi hii? Huyo muhalifu akashushe bei ya sukari kwenye hizo porojo zake.
Tatizo lako uliwekeza sana kwenye uchaguzi 2020 ukijua utarudi mjengoni. Mazuri aliyofanya hayati yakafanya mpigwe chini
 
Back
Top Bottom