Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa.
Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia wanyonge hawaonewi. Alikuwa akifanya ziara. Viongozi wote serikali walikuwa wanajamba.
Leo hii Makonda anafuata nyayo. Chadema ndio wanamalizwa kabisa. Maana wao walishasema hili taifa halina raia wanyonge.