Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
mkuu usianye ile nafasi ya Unaibu katibu mkuu inakuhusu kutokana na jina lako na imani yako...endelea kupambana kupingana na ukweli ili uikwae hiyo nafasi

We kazi yako ni kula tende harua ndiomana akili yako inatokwa ugwadu hapa. Shame
 
We kazi yako ni kula tende harua ndiomana akili yako inatokwa ugwadu hapa. Shame

etiii eeee haya jipigie makofi...kaazi kweli kweli akili ndogo kutawala akili kubwaa ha ha ni sawa na wewe unavyokunywa Mbege
 
Zitto na osama ni wanafanana sema tofauti yao Zitto camp lake ni masalia na Osama camp lake ni Tahlbani.

Zitto ni janga la kitaifa.
 
Msaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe
Na tukimuuliza mkeo naye akajibu hivyo hivyo basi wewe utakuwa kapuku ama una tatizo la kiafya!
 
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani

Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki

Please ,spare us with your ignorance!
Zitto kachukua lini hiyo cheki?Wivu tu unawasumbua,mmemtungia uongo Zitto hamna jipya nyie
 
Zitto kachukua lini hiyo cheki?Wivu tu unawasumbua,mmemtungia uongo Zitto hamna jipya nyie

Inawezekana ni mzuri sana kwenu kutokana na akili mlizo nazo ,hiyo siku anakuja huko Kigoma laleni chini maana mnampenda sana .
 
Wasichoelewa wafuasi wa Zitto (MACCM) ni kuwa Zitto anajitia kitanzi mwenyewe, ameisadia sana CC kumpa kadi nyekundu.
EX-Naibu katibu Mkuu,Ex-naibu KUB,aangalie kesho asije akamliza huo mkutano kama Ex-MP,Asifukuze upepo kaka,atachoka mwenyewe watu wako serious Kazini usiku na mchana
 
Msaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe
Thread inahusu mambo ya siasa na wewe unakuja na issues za kifamilia! Duh! Kazi kweli kweli!!
 
mkuu usianye ile nafasi ya Unaibu katibu mkuu inakuhusu kutokana na jina lako na imani yako...endelea kupambana kupingana na ukweli ili uikwae hiyo nafasi

Imani ya mtu inaingiaje hapa? Mijitu mingine ni mipumbavu kweli
 
Wataalamu wa siasa husema kukaa kimya huwa ni jibu sahihi sometimes.Dr.Kitila kimyaaaa that's good huyu ndiyo msomi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom