Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
Star TV watarusha live mkutano wake?Ni vizuri ili watu wengi wasikie atakachoongea. Nani anagharimikia huu mkutano?
Usisahau kesho kuna 'Dar durby'
 
Hapa jf nimekuwa napitia post za watu mbalimbali kuhusu zzk ila naona watu wanaotokwa mapovu kumshambulia zzk hawazidi kumi na kiongozi wao ni mida 8. Nimepata jibu kuwa kuna uwezekano mkubwa dj na babu wameiga mtindo wa lumumba kugawa buku 7 kwa hawa watu ili wamchafue zzk. Mida 8 tuambie mnalipwa sh ngapi? Kwani we ndo kiongozi wao. Walio wengi wanafahamu zzk yupo safi na ndo maana cdm jimbo la kasulu mjini, kigoma mjini na kasikazini wameandaa mapokezi makubwa kwa huyu shujaa wa taifa la tanzania. Ila kinachonisikitisha ni hii tabia ya mbowe kutumia fedha za walipa kodi kwenda kufanya ufuska dubai
 
lazima slaa achanganyikiwe kwa mwendo huu hii spidi siyo ya kawaida.
 
Mkuu, tatizo la machadema ni kuwa, kila mchaga anajifanya anaweza kufanya maamuzi dhidi ya wasio wachaga?

"Only two things are infinite, the universe and human stupidity, and i'm not sure about the former"

-(ALBERT EINSTEIN)
 
CCM mnahangaika sana na huyo kibaraka wenu.Mnapoteza hela zenu bure.

acha kukariri kamanda - nawachukia maccm YOTE, mbowe na lema.
nawakubali sana zito na slaa..............hapo vipi, nitakuwa msaliti?!
 
Masikini Zitto Zitto umepatwa na nini?????? yaani watetezi wako ni akina MSALANI, kweli kweli umekubali wakuchezee akili zako? Ooh my God hawa watu sio wazuri kwako wanataka kukuaribia kama wewe ulivyowaalibia.. jikate taratibu umekwama kwenye tope kamanda.

Kuhusu Mkutano na wapiga kura wako ilo ni swala zuri maana tungependa kusikia upande wa pili.. ila kwa mwendo huu na UVCCM sijui kama wanakutakia mema si kwa Chadema au kwa CCM.. umezungukwa na maadai tena wale ambao wamevaa ngozi ya kondoo. amka kijana Zitto Kabwe
 
Last edited by a moderator:
Nelson Madiba Mandela alikuwa mhaini na akafungwa na alipokuwa kifungoni wananchi walimuona ni shujaa na mwisho wa siku akawa rais wa hao waliomfunga na wananchi waliokuwa nyuma yake. Unaweza kumwita ZK msaliti lakini wananchi wake wanamhitaji

sio hivyo tu,mzee madiba aliitwa ni gaidi na nchi za ulaya na wakasisitiza kuwa ni gaidi na anatakiwa kuangaliwa kwa macho ya karibu,mwisho wa siku wakageuza msemo na kuweka siku maalumu ya mzee madiba na kumpa kila aina ya tuzo.
ni kawaida ktk ulingo wa siasa,hususani pale maslahi ya wachache yanapoguswa na ndio maana ktk hizi taasisi za siasa,hakuna aliyesalama labda tu uwe si mtu wa kuhoji unaweza ishi milele ktk siasa
 
[QUOmini astone;8144700]we mrombo una chuki sana na zito - ni bahati mbaya unaowabeba hawabebeki (mbowe & lema)![/QUOTE]
Kwa nini pro-CCM mnapenda kutambulisha watu kwa makabila,dini au maeneo wanayotoka? Hiyo dhambi itawamaliza,subiri baada ya mwaka mmoja.Wabaguzi sana CCM.Utashangaa Mwenyekiti wa Taifa-CCM ataanza kulia kwamba wamefikaje hapo.
 
Hapa jf nimekuwa napitia post za watu mbalimbali kuhusu zzk ila naona watu wanaotokwa mapovu kumshambulia zzk hawazidi kumi na kiongozi wao ni mida 8. Nimepata jibu kuwa kuna uwezekano mkubwa dj na babu wameiga mtindo wa lumumba kugawa buku 7 kwa hawa watu ili wamchafue zzk. Mida 8 tuambie mnalipwa sh ngapi? Kwani we ndo kiongozi wao. Walio wengi wanafahamu zzk yupo safi na ndo maana cdm jimbo la kasulu mjini, kigoma mjini na kasikazini wameandaa mapokezi makubwa kwa huyu shujaa wa taifa la tanzania. Ila kinachonisikitisha ni hii tabia ya mbowe kutumia fedha za walipa kodi kwenda kufanya ufuska dubai

"A learned fool is more a fool than an ignorant fool"
 
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani

Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki

Please ,spare us with your ignorance!

Una maana ya zile milioni 500 alizopokea Mbowe toka kwa Rostam kwa ajili ya uchaguzi kupitia Llian Mbowe?
 
Aisee wewe unachuki na Zitto utasema mke mwenza.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.

Daaaaaaaaah itakuwa saa ngapi hiyo??? hapa itabidi kuandaa Jenereta maana Mhongo huwa ana mgogoro kidogo na zitto hachelewi kuzima umeme time hiyo habanduki mtu kwa tiviii
 
Hii kete CHADEMA wakiitumia vizuri inaweza kuwa a big surprise kwa CCM!

hata mimi nimeiona mkuu kapata wapi mahela yoote hayo, jamaa anajimaliza taratibu huyu.
 
Una maana ya zile milioni 500 alizopokea Mbowe toka kwa Rostam kwa ajili ya uchaguzi kupitia Llian Mbowe?

Kama source ya umbea wako ni Mchange aliyeuza jimbo la kibaha 2010 kwa CCM.

Poor black mother- Odili
 
Last edited by a moderator:
Status yake ya Naibu Katibu Mkuu WA ZAMANI ipo lakini pia mtuhumiwa wa mashtaka 11 anayotakiwa kujibu kamati kuu kwa hiyo nilimshauri aangalie asije akazidi kuivunja katiba maana mashataka hayo hujibiwa ndani ya vikao na sio kama alivyofanya Serena.It was a mere candid advice.

kwani tatizo lipo wapi? kama ataamuwa kuivunja katiba ya cdm si ndio itakuwa vizuri? kutakuwa hakuna haja ya kuzunguka ni kufuata katiba na kufanya maamuzi.
je ktk mashitaka 11,ama ktk katiba ya cdm,kuna sehemu inakataza mtuhumiwa wa mashitaka 11 kutoongea na wapiga kura wake kama mbunge hadi hapo cc itakapofanya maamuzi? naomba nijulishwe maana si mzuri sana ktk mambo ya katiba,kanuni na taratibu za chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom