Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
Hv we mleta maada demu wako leo hahaja maana umeshidwa kabisa kulala kisa Zitto.
 
Hv we mleta maada demu wako leo hahaja maana umeshidwa kabisa kulala kisa Zitto.
wewe unatafuta nini au unaficha nini kuhusu zitto anangojewa na MACCM na wana CUF kwa furaha tele
 
wale wale watu wa siku zote,,,wanatumia akaunt fake kufanya kazi waliotumwa na mabwana zao.

Ma moderators ndio wanaojua una ID mia hapa halafu unasema wenzako pisha huko , MACCM wamesahau mabango ya zitto Dar wapelekee
 
mpaka unaacha kazi zako na kuandika habari za zitto ni kuwa inakuuma, zitto yuko juu na hautampata

ungekaa kimya, na habari zingepotea kama upepo

hongera kwa kumpaisha zitto

zitto anapendwa na hana ufalme wa kuchonga

kwani hivi wewe ni nani? ID unaficha sembuse kushindana na zitto

poor you

Wewe unafanya nini upo kulinda jamvi nani ataposti kuhusu Zitto una pepo la kuhamanika kwa kukumbatia vijisenti kuwa mlinzi wa zitto jamvini halafu unashangaa wengine masalia poleni
 
Bila chadema Zitto kawa marehemu kisiasa anaenda Kigoma huku akisema viongozi wasifike Kigoma kichwani akiwa na kofia ya nembo ya chadema ana haki kuvaa kofia hiyo na nembo ya chadema manake ndio waliomtoa funza miguuni na kumfundisha kuvaa suti na nguo za ndani sasa acha ngebe maisha yako kwa chadema vinginevyo usingetamba na advert ikiwa na nembo ya chadema
attachment.php
 
zito is a Legendary of chadema we want zito nt otherwise

Hakuna anayemtaka msaliti lbda wewe na yeye mweyewe anayejikomba kwa chadem cheki advrt safri yakeya kingie Kigoma Chadema kawekutoini kabisa e must be the mos confused person
attachment.php
 
nimechukizwa na zengwe analofanyiwa zitto kisa mbowe,zitto awez kuona ubadhirifu akakaa kimya,bado nishujaa songa mbele kaka
 
nimechukizwa na zengwe analofanyiwa zitto kisa mbowe,zitto awez kuona ubadhirifu akakaa kimya,bado nishujaa songa mbele kaka
Zito atalijua jiji arudishe briefcase lekundu lenye mliioni 250 ili kuua chadema ukingalia picha hapo juu yupo miserable anajuta na usaliti
 
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.

Kijana kweli ajira tamu, umejiunga juzi tu makao makuu tayari wameshakufundisha umbeya kiasi hiki? Pole kamanda
 
Najua Ufipa street hawalali kwa kiroho na kisebusebu. Hebu kwanza tumsaidie Mwenyekiti aweke mambo yake ya ndoa vizuri ili tuendelee.
 
Bilal bin rabah wewe Ni Gamba hakuna mwanachama tena mwanachadema anaeweza kumtukana NA kumbeza mwenyekiti NA katibu mkuu Hakika nyie maccm mnaojidai CHADEMA NA mlaanike mshindwe
 
Hivi kigoma kuna printing press?Mbona bado wazawa hawajapata hizo picture angalau nao wazibandike na kuzivaa....?zilichelewa kufika?

Shujaa asiyekuja hata na medali ya silva,hata ya kusuka kwa makuti au shnga za kimasai
 
Ikiwa bado siku moja kabla ya Zitto hajatua hapa Kigoma kuja kuzungumza na Wananchi wake,kutoa kile Wanakigoma wanakisubiria kwa hamu sana kusikia toka kwa Shujaa..Mwanao Zitto Zuberi Kabwe.

Hapa Kigoma Kasulu,Mwandinga na Kigoma Mjini Tax,Bodaboda zinapepea matangazo ya KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE TAR.21.12.2013
Heka heka za hapa na Pale zinaendelea huku maandalizi ya Mikutano yote ikiwa imekamilika kwa hisani ya Wananchi wa Kigoma.
Moja ya Bango ni hili hapa.

attachment.php

Mkosi au...? Ziara ya Zitto imegongana na tukio lenye mvuto zaidi kitaifa- kutoswa kwa akina Nchimbi...
 
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.

kaka njaa tafuta namna ya kusema nayo! Na ile ya ngono Dubai nayo ni UVCCM?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom