Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Ahsante sana Mkuu kwa taarifa. Japo inawauma lakini mjue kuwa jamaa kajipanga ile mbaya na anakubalika kuliko hicho kikongwe chenu kilichopopolewa na maweKwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.