Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.

Tema Mate

Senior Member
Dec 19, 2013
107
0
Ikiwa bado siku moja kabla ya Zitto hajatua hapa Kigoma kuja kuzungumza na Wananchi wake,kutoa kile Wanakigoma wanakisubiria kwa hamu sana kusikia toka kwa Shujaa..Mwanao Zitto Zuberi Kabwe.

Hapa Kigoma Kasulu,Mwandinga na Kigoma Mjini Tax,Bodaboda zinapepea matangazo ya KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE TAR.21.12.2013
Heka heka za hapa na Pale zinaendelea huku maandalizi ya Mikutano yote ikiwa imekamilika kwa hisani ya Wananchi wa Kigoma.
Moja ya Bango ni hili hapa.

attachment.php
 

Attachments

  • 2013-12-20 09.35.53.jpg
    File size
    697.5 KB
    Views
    8,179

Bocho

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,489
1,195
Hii kete CHADEMA wakiitumia vizuri inaweza kuwa a big surprise kwa CCM!
 

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
947
225
Kazi kweli ningetamani yangekuwa maandalizi ya babu kabla hajaenda kigoma, chezea wazawa wewe.
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,891
2,000
Nelson Madiba Mandela alikuwa mhaini na akafungwa na alipokuwa kifungoni wananchi walimuona ni shujaa na mwisho wa siku akawa rais wa hao waliomfunga na wananchi waliokuwa nyuma yake. Unaweza kumwita ZK msaliti lakini wananchi wake wanamhitaji
Kwanza dhana ya uhaini na usaliti imetengenezwa na akina Mbowe ili kufifisha upinzani wa Zitto
 

pixel

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,630
1,500
Wastage of time,tumeshawasikia CDM wanachosema juu ya zito,na tumesikia Zito anachosema juu ya CDM.wote wanatakiwa wabadilike,asiyeweza kufanya kazi na wenzie asipoteze muda wetu kujadili stori zake.shujaa gani anaenda kujenga chama peke yake kila siku?wenzie wanapigwa mabomu,wanaumizwa yeye anasubiri kugombea vyeo kila kona.oparesheni za chama haonekani,vikao hahudhurii,ccm ndio marafiki zake wakubwa.halafu anataka apewe UENYEKITI na AGOMBEE URAIS.Huyo ndio shujaa??Hizi ni tamaa,cdm wasimpe nafasi tena labda abadilike na jamii ione kwa vitendo.
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,891
2,000
Hata mwadhihaki vipi, hawachafuki mtaendeleza majungu na fitina lakini umma umeamka, tunajua pumba na mchele. ..

Poleni sana mnawachafua lakini wanazidi kupanda chart...

MaMM dhambi ya usaliti inawatesa..
Mkuu, kwani Mbowe na Dr Slaa wanachafuliwa au wanajichafua? Ukweli ni kuwa image yao wanaiharibu wao wenyewe kwa tamaa zao za kimwili
 

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,588
2,000
Nelson Madiba Mandela alikuwa mhaini na akafungwa na alipokuwa kifungoni wananchi walimuona ni shujaa na mwisho wa siku akawa rais wa hao waliomfunga na wananchi waliokuwa nyuma yake. Unaweza kumwita ZK msaliti lakini wananchi wake wanamhitaji

Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani

Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki

Please ,spare us with your ignorance!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom