ugolo wa bibi
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 1,305
- 302
kwa mara ya kwanza namfahamu zitto,nilikuwa namuelewa sana lakini siku hizi hata akiwepo ni kama hayupo...ugolo mtupu
ni kweli kabisa mkuu,Zito namkubali sana,sipendi zito atoke au aondolewe CDM ila tumkosoe zito ili tumjenge zaidi.Zito anakosea hata mambo ya msingi.Next time tutawasema na hao akina mbowe pia.
Mbona dada wewe una wivu sana? sisi wote tunajua kuwa wewe ndio ulimfanya Mbowe amsaliti Lilian, na sasa tunajua baada ya kukugundua kuwa wewe ni kicheche kakumwagaMsaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe
Mkuu, msaliti aliye dhahiri hapa ni Mbowe kwa kusaliti ndoa yake na kumsaliti mzee Mtei
Yaani mtu akila raha na hawala yake ni usaliti labda kama wewe ni mke wa Mbowe...
Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Msaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe
Si mnasema ni shujaa wa Taifa,sasa taifa ni Mwandiga peke yake?kwani yeye masawe mpaka aende arusha.
Hii kete CHADEMA wakiitumia vizuri inaweza kuwa a big surprise kwa CCM!
Inawezekana ni mzuri sana kwenu kutokana na akili mlizo nazo ,hiyo siku anakuja huko Kigoma laleni chini maana mnampenda sana .
naomba nikubaliane na wewe mkuu, kama chadema wakifungua macho tena wakati huu wa majanga haya yanayotokea bungeni hili la zitto kabwe lingeweza kukibeba sana chamaHii kete CHADEMA wakiitumia vizuri inaweza kuwa a big surprise kwa CCM!
Kwani hapo nimemlinganisha Mbowe na ZZK au Mbowe na Aden Rage?? Hebu soma vizuri mkuu usiwe na kiherehere
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
Zitto sio mbomoaji, nimjengaji chuki zako zisizokua na hekma bure tuu,mtamkubali kua Zitto kifaa japo kimnya kimnya....huyu siyo shujaa tena angefanikiwa kuibomoa CHADEMA mgeweza kumwita hivyo lakini kwasasa ni sawa na mende aliye geuzwa miguu juu...
Mkuu, msaliti aliye dhahiri hapa ni Mbowe kwa kusaliti ndoa yake na kumsaliti mzee Mtei
Shujaa wa magamba hahahaaaa