Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Zimeisha Mkuu ila wameshikwa na kwikwi ya maamuziSiku 14 Hazijaisha?
Zimeisha Mkuu ila wameshikwa na kwikwi ya maamuziSiku 14 Hazijaisha?
Kwa hiyo kama kashindwa kazi waliyomtuma, kwa nini mnatengeneza dhana kuwa CCM ndo wanagharamia huo mkutano wa mwandiga? Mbona mnajichanganya?
Jiulize baada ya kesho kujua ni shujaa then ataelekea wapi, Chadema makao makuu au CCM makao makuu.Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Ikiwa bado siku moja kabla ya Zitto hajatua hapa Kigoma kuja kuzungumza na Wananchi wake,kutoa kile Wanakigoma wanakisubiria kwa hamu sana kusikia toka kwa Shujaa..Mwanao Zitto Zuberi Kabwe.
Hapa Kigoma Kasulu,Mwandinga na Kigoma Mjini Tax,Bodaboda zinapepea matangazo ya KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE TAR.21.12.2013
Heka heka za hapa na Pale zinaendelea huku maandalizi ya Mikutano yote ikiwa imekamilika kwa hisani ya Wananchi wa Kigoma.
Moja ya Bango ni hili hapa
Mkuu, tatizo la machadema ni kuwa, kila mchaga anajifanya anaweza kufanya maamuzi dhidi ya wasio wachaga?Molemo amesema wanamfukuza sasa sijui yeye ni nani pale CDM.... viroba vitawamaliza vijana!
Molemo amesema wanamfukuza sasa sijui yeye ni nani pale CDM.... viroba vitawamaliza vijana!
Kuelekea kufanya nini?Jiulize baada ya kesho kujua ni shujaa then ataelekea wapi, Chadema makao makuu au CCM makao makuu.
Hamna ubavu wa kumfukuza Zitto nyieSimfukuzi mimi anafukuzwa kwa Usaliti wake.
Ilikuondoa uongo na uzushi nashauri huo mkutano wa kesho urushwe LIVE kwenye ITV na TBC .
Mkuu, kesho ndipo utakapojua kuwa Zitto ni Shujaa. We tulia tu kama unakamuliwa jipu
Hahahahahaaaa! Na mie natema puuuuuuuu!Ben saanane unatia kinyaa kwa kutoa Mawazo muflisi! Puu (natema mate kama mwigulu bungenu. Huna thamani tena. Puu (natema mate kwa Mara ya Polo).
Jaribio lako la kukusudia kumuua zitto litakugharimu sn kimaisha na hasa kisaikokojia
Puu! Ulaaniwe!
Makubwa leo umeamua kumgeuka Mhe. Mbowe?Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
Pls usimtukane Mandela kiasi hiki.Muache apumzike kwa Amani
Mandela hajawahi kuchukua hela kwa makaburu.Hajawahi kuchukua cheki.Hajawahi kuwa na chuki na kutishia kuua watu.Hajawahi kuuza utu wake na watu wake.Hajawahi kuwa mnafiki
Please ,spare us with your ignorance!
Nimeipenda hiyo pichaakuna kitu hapo, anatafuta huruma ya wananchi, pesa anayotumia sasa kuanda upuuzi huu ni bora angejiwekea zingemsaidia, jimbo zima unadiwa mmoja tu wa chama chako unasema shujjaaaaaaaaa, labda wakuuu... ngoja
![]()
Kwani Zitto anaenda kama Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA au anaenda kuongea na waoiga kura wake?