Hivi kigoma kuna printing press?Mbona bado wazawa hawajapata hizo picture angalau nao wazibandike na kuzivaa....?zilichelewa kufika?
Shujaa asiyekuja hata na medali ya silva,hata ya kusuka kwa makuti au shnga za kimasai
slaa alirudi na medali gani? au wewe ulimvisha shanga?