Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
Msaliti ni Zitto au Mbowe ALIYEMSALITI MKE WAKE?
Kamuulize Lilian Mtei, nani Msaliti kati ya Mbowe na Zitto, bila shaka atakwambia Mbowe

Acha ufukunyuku wewe... unawezaje kuuliza swali na kulijibu mwenyewe ka wewe si --------... mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe mwenyewe.... mbona hamumwongelei yule taahira wenu aliyem' Baka yule binti wa miaka 16 na kumwambukiza virusi?????
 
Wastage of time,tumeshawasikia CDM wanachosema juu ya zito,na tumesikia Zito anachosema juu ya CDM.wote wanatakiwa wabadilike,asiyeweza kufanya kazi na wenzie asipoteze muda wetu kujadili stori zake.shujaa gani anaenda kujenga chama peke yake kila siku?wenzie wanapigwa mabomu,wanaumizwa yeye anasubiri kugombea vyeo kila kona.oparesheni za chama haonekani,vikao hahudhurii,ccm ndio marafiki zake wakubwa.halafu anataka apewe UENYEKITI na AGOMBEE URAIS.Huyo ndio shujaa??Hizi ni tamaa,cdm wasimpe nafasi tena labda abadilike na jamii ione kwa vitendo.

Kwani huko kwenu hamna utaratibu wa kumuengua mgombea kwa njia za Demokrasia? Kwani huko kwenu mtu anapojiunga ananunua nafasi ya uongozi hivyo mwengine hawajibiki kuidai?
 
We Lizaboni huoni kuwa mapokezi yameandaliwa na CUFF& MaCCM!!
Utakataa vipi kuwa Zito sio msaliti wa CHADEMA???
Kila kitu kiko wazi sasa, anaendeleza umajinuni wake!
Bora afukuzwe tuachane na usaliti!!
 
Last edited by a moderator:
zito hamia kwa magamba ili tujue nguvu zako.
 
We Lizaboni huoni kuwa mapokezi yameandaliwa na CUFF& MaCCM!!
Utakataa vipi kuwa Zito sio msaliti wa CHADEMA???
Kila kitu kiko wazi sasa, anaendeleza umajinuni wake!
Bora afukuzwe tuachane na usaliti!!
Mkuu acha Swaga hizo, Kwani kuwa kada wa CCM au CUF ni Dhambi? Acheni ushabiki wa kijinga ambao hauna tija kwa taifa letu!
 
Ninacho ona hapa ni wivu tu kwa maana hata mwenyekiti akienda jimboni kwake mambo sio hivo kama kwa zitto!!!
 
Zitto sio mbomoaji, nimjengaji chuki zako zisizokua na hekma bure tuu,mtamkubali kua Zitto kifaa japo kimnya kimnya....

Kwa nini msimuchukue ccm akajenga chama chenu cha mizigo kinachokufa? toka lini maccm mkaipenda cdm hadi mkawa na huruma nayo? si mlisema lazima ife iweje leo mtake idumu? hata mtoto wa chekechea anaweza kuling'amua hilo! leo hii yupo wapi shujaa mliyekuwa mkimuimba? kabaki shujaa wa kijiji cha mwandiga tu!
 
Taarifa ya wangwe inaonyesha kuwa, mwenyekiti wa CDM alisha jimegea zaid ya M175 ati anajilipa gharama za uchaguzi!!!

Alitaka zitolewe bure? kumbuka chama wamekijenga kwa pesa zao za mfukoni,kaburou mwenyewe alikuja wakawa wanamlipa mshahara kwa pesa zao,nakushangaa kama hujiulizi kwa nini huyo kaburou hakufanya kazi ya kujitolea hadi alipwe? kama alikopesha chama lazima alipwe fursa inapopatikana.
 
Ninacho ona hapa ni wivu tu kwa maana hata mwenyekiti akienda jimboni kwake mambo sio hivo kama kwa zitto!!!

Ni aibu kwa kamanda kushadadiwa na magamba,hivyo hatutegemei kamanda wa ukweli kama mbowe au slaa ashabikiwe na mizigo!
 
Ushujaa wa Zito uko wapi. Huyo kachanganyikiwa mno, hivi anaenda kusema nini wakati ana kinyongeo shingoni. Bora angejikalia kimya kusubiri hatima yake CDM.
 
Inafahamika kuwa kesho tar 21 December 2013 Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto ataingia Kigoma kwa mbwembwe nyingi lakini taarifa za uhakika toka Kigoma jioni hii kuna tangazo linalowataarifu wenye Magari wote na Pikipiki wakajaze mafuta kwenye sheli moja iliyoko Kigoma Mjini maalufu kwa jina la kwa Bella, yote ni ktk kuandaa msafara wa Zitto na ghalama ni juu ya Mh Zitto, Hapa napata hofu kuwa Zitto anajihami kwa kutafuta namna ya kuvuta watu aonekane kafunika kwenye Mapokezi yake hadi mikutano yake, na kwa mtindo kama huu je! Ana tofauti gani na CCM?
 
mpaka unaacha kazi zako na kuandika habari za zitto ni kuwa inakuuma, zitto yuko juu na hautampata

ungekaa kimya, na habari zingepotea kama upepo

hongera kwa kumpaisha zitto

zitto anapendwa na hana ufalme wa kuchonga

kwani hivi wewe ni nani? ID unaficha sembuse kushindana na zitto

poor you
 
zitto anawakosesha usingiziii,,,metunga hekaya nyingi,,,lkn bado mwaendelea kutunga,,, kwanini msimfukuzee????? aiseee,,,yaan kila cku zITTO,,,hivi watoto mnatafuta saa ngapi??? acheni chuki na roho mbaya.
 
mpaka unaacha kazi zako na kuandika habari za zitto ni kuwa inakuuma, zitto yuko juu na hautampata

ungekaa kimya, na habari zingepotea kama upepo

hongera kwa kumpaisha zitto

zitto anapendwa na hana ufalme wa kuchonga

kwani hivi wewe ni nani? ID unaficha sembuse kushindana na zitto

poor you

wale wale watu wa siku zote,,,wanatumia akaunt fake kufanya kazi waliotumwa na mabwana zao.
 
Hivi kwa mtu ambae ni shujaa na anarudi kwao, anahitaji kuandaa mabango na mabandiko kuwaambia watu kuwa anarudi? Hizi ni tabia ya magamba kuwatuma mawaziri kuwaambia wananchi mafanikio ya serikali yao, kama vile wananchi hawana macho.

Wanaomshauri ZZK ni watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri, au ZZK mwenyewe ana uwezo mdogo sana au wote wana uwezo mdogo sana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom