Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Sasa mzee baba hao wadada wajasiriauchi sijui kama wapo humu kwandichi. No sweti ngoja tuendelee kudekelea wanaweza wakatimba.
 
Mimi swali langu ni kwa wale wanaofanya picha za ngono, kufanya lile jambo ilhali camera zimekuzunguka
Kule ni zaidi ya kujikana kwa kweli, huwezi kufanya hio kazi mpaka mshipa wa aibu kwanza ukatike, hata wale wanaume hua nnajiuliza wanawezaje kusimamisha katika mazingira yale labda kama wanatumia madawa.
 
Iliwahi tokea kwangu. DSM Mbeya. Nikapandia Ubungo mdada mbezi. Seat yake dirishani Mimi ndani seat moja. Sasa alipoingia ni hakuna salaam ' nipishe, nikampisha. Ki umri namzidi mbali tu labda 20+. Akakaa akatundika headphone kimyaa. Mid nikawa nasoma Kitabu. Kutayarisha njia. Ilikiwa mwezi June! Nguo alikuwa katinga kimini Na blausi nyepesiii matiti nje nje! Kufika mafinga hakuna headphone, baridi imemtafuna! Wakati mie Nina sweta, Nina mkoti wa baridi na kikoi cha kimasai! Hapo akaniomba nihamie dirishani , nikagoma kwanza, baadaye nikamhurumia. Akashukukuru. Akavuta kikoi changu cha kimasai akajifunika pamoja na Mimi gubigubi! Mimi nikatoa kichwa nje. Akanikumbatia kutafuta joto. Ndio akaomba samahani. Yakaisha. Kufika Mbeya mapokewa na VX heated. Yeye mgeni kumbe na baridi Kali. Nikampa lifti mpaka nzovwe then nikarudi forest motel. Isingekwa maadili yangu, na imani yangu basi alishakuwa kitoweo. Sanasana nilimpa zawadi ya Kitabu kutayarisha njia. Akawa rafiki yangu na mwisho yule binti alimpokea kristo.
 
Kwa hili nawapongeza wanaume wenzangu, kula papuchi inayoliwa na kila mpita njia ni zaidi ya kujikana nafsi...

Kwanza anajisafisha saa ngapi? Anatakata kweli? Hachubuliwi? Risks za magonjwa je?

Nikiwaza hayo wala sipati mzuka...
 
"Kutayarisha Njia" nishakijua...
 
Kwa hili nawapongeza wanaume wenzangu, kula papuchi inayoliwa na kila mpita njia ni zaidi ya kujikana nafsi...

Kwanza anajisafisha saa ngapi? Anatakata kweli? Hachubuliwi? Risks za magonjwa je?

Nikiwaza hayo wala sipati mzuka...
Umenikumbusha kuna bwana mmoja huwa anapita mitaani akiwa na mkokoteni wenye spika, mixer na kinasa sauti mkonon.

Huwa anacheza nyimbo za injili na wakati mwingine anapiga neno..kuna siku anapita maeneo ya Mrina a.k.a sokoni, jamaa anawachamba si mchezo...ndio nikamsikia anavyowaambia "mnaoga saa ngapi..wachafu wakubwa nyie"
 
Hili swala zima pia linatawaliwa na 'taste' ya Mhusika mwenyewe, kama huna uchaguzi mzuri basi hupati kizuri.

Pale ni kama sokoni, kuna nyanya mbovu na nzima, ukiwa makini zipo nzima nyingi tu.

Pia kuna suala la kisaikolojia, ukienda kama vile unaenda konana na Wahalifu basi usitarajie ku enjoy.

Ni ngumu kwa Mwanaume kukubali kirahisi kama anatumia zile huduma, lakini fanya utafiti uone mamilioni ya Wanaume 'wanavyoneemeka' kwa uwepo wa haya 'masoko'.
 
Mimi swali langu ni kwa wale wanaofanya picha za ngono, kufanya lile jambo ilhali camera zimekuzunguka
Ile ni kazi kama kazi zingine ile wengi wanatumia pombe kali, unga na weed ili kupata stimu na kuondoa aibu.

Kuna wengine hufanya vile bila hiyari yao, anakutana na mtu wanaenda hotel ndani ya dakika 10 anashangaa watu wengine wameingia na makamera yao wanamwambia akubali au kichwa chake halali yao, wanampa maunga anakua hajielewi wanafanya yao, wanamkatia cash kidogo, wao wanaenda kuingiza mamilioni.
 
Nilisikia Eastern Europe ndiyo wanapata cheap labour, kwa US$ kulinganisha na pay wanayowapa Western Europe na USA, Brazil pia wapo wanaofanya kwa ugumu wa maisha.

USA wengi wanafanya kwa kupenda.
 
Na hii kitu ipo worldwide,
kwa East Africa naona Kenya wametuzidi mnoo,
kwa Africa Nigeria inakimbiza, kwa Asia naona India inafunika wakifuatiwa na Japan.

Lol.
 
Kenya wako next level, kuna wadada wanajiuza mitandaoni na wamekamata vibabu vya kizungu vinatuma tu miamala. Unamkuta mdada anaishi city centre kwenye apartment ya USA$2,000 kwa mwezi na hana kazi.
 
Back
Top Bottom