Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Hujui kwamba hiyo MILUPO ni sehemu ya mademu wa kitaa? Inategemea umemkuta wapi, muda gani nk

Mademu wanaoijiuza wa kitaa wanajulikana kwa MBISHE zao!! Hakuna demu ambaye hajiuzi ila ni bora utafute anayejiuza KITAANI kuliko wale wa OHIO,MAGOTI,UWANJA WA FISI,MWEMBE JINI(KINONDONI MAKABURINI),AMBIANCE,KIMBOKA etc
 
Mademu wanaoijiuza wa kitaa wanajulikana kwa MBISHE zao!! Hakuna demu ambaye hajiuzi ila ni bora utafute anayejiuza KITAANI kuliko wale wa OHIO,MAGOTI,UWANJA WA FISI,MWEMBE JINI(KINONDONI MAKABURINI),AMBIANCE,KIMBOKA etc
Demu unamkuta Ambiance anajiuza tena morning shift. Lakini anaishi Kimara au Tegeta ambako ni demu wa kawaida wa kitaa.
 
Nitajitahidi nitumie lugha ya staha.

Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje namaanisha wanajihisi wanafanya biashara hii kama wafanyabiashara wengine wanavyojihisi?

Wakati wa kusex wanaskia uchungu au raha?[nauliza hivi maana mama klaree aliniambia kwenye tendo huwa anaskia utamu] sasa hawa wanaofanya na wanaume zaidi ya tano kwa siku je, kuna utamu au uchungu?

Huwa wanachagua wateja au kikubwa kwao ni pesa. Biashara nyingine hazichagui wateja ilimradi unapesa yako unapewa huduma. Sasa hii biashara vipi wanabagua wateja au hawabagui ikitegemea mteja anamwingilia mwilini mwake.

La mwisho. Je, wakiwa kwenye huduma wanaweza kupata hisia kwa baadhi ya wateja? Hili swali linategemea swali la uchungu au raha. Kama kuna kipindi wanapata hisia wanatumia mbinu gani kuzi-control ili zisiathiri biashara yao?

True story. Sahau kwa muda hayo maswali.

Kwenye pitapita zangu za maisha kiusema ukweli nilikuwa nashangaa saana kuskia habari za wanaume kununua hawa wadada. Nikikaa na wana wanaanza kusimuliana hadi wanawataja majina na kuelezana yule yupo hivi yule yupo vile.

Sijawahi kuvutiwa nao maana kwangu mzuka unaanzia mbali, bali sio sex tu. kwa upande wa pili sio mtumiaji wa kilevi. Siku moja hawa jamaa nikatoka nao kufika maeneo nikasema ngoja nitest kilaji. Lahaula, yakanoga mambo nikaendelea.

Jamaa walijitwalia tulipokuwa tunakunywa mie nikajikaza nikasema hapana nilishaapa sitafanya hiki kitu. Tukamaliza tukarudi chuo kila mtu anapoishi. Usiku nikabanwa saana nikasema hapana si nikifanya ni kwa leo tu! Kwanini nijinyime.

Huyo nikaita tax hadi maeneo. Kufika hata sikuhangika kwenda mbali mdada wa kwanza aliponiona akaniita huku mimi nikiwa na uoga kwa mbali. Akaniambia Kaka njoo yangu ni ya m...to kaka njoo. Akaniambia twende ukalipie chumba na unikatie zangu.(sikuwa na wasiwasi na kiasi nilikuwa na pesa+ ATM).

Kuingia ndani akamulikwa na taa mwili ukasema paaaa! walah nilitaka kukimbia hapa ila nikasema nilishalikoroga acha nilinywe. Nikamuuliza shingapi? Akasema 8 000 kondomu buku jumla 9 000 ila wewemdogo wangu nitakufanyia 15000 pamoja na chumba.

Nilishangaa..yaani ku-do elfu kumi na tano tu pamoja na chumba??? Nikasema ok pesa hii hapa. Akabaki na buku tano as my change.

Hao hadi chumbani, ebwana ee..chumba kufunguliwa kinanuka in short kilikuwa vibaya saana kipo ovyo saana. Akawa wa kwanza kuvua na kunikabidhi kondomu zangu. ..bwana demu ana pengo na chini alikuwa na hali mbaya labda maDr mtanisaidia..nadhani aliingiliwa saana nyuma sasa kulianza kuharibika...nimeshindwa cha kuandika hapa..ila alikuwa mgonjwa.

Nikamwambia hapana dada, samahani kwa kukuingiza humu ila siwezi kufanya lolote naondoka..demu alishangaa kinoma..change yako chukua counter hata sikuikumbuka.

Nilifika gheto bado nikiinusa ile harufu. Sikulala week nzima harufu haikuniisha na nikawasiwasogelei wanawake kwa muda. Ni moja ya experience isiyofutika kichwani mwangu.

hayo maswali nimeyatoa kwenye hii story. Lengo langu sio kuwasimanga.


Sasa bulaza samahani lkn Malaya wa elfu 8 kweli unataka awe sasa na wa elfu 50???

Harafu unalalamika mchafu?

Kiufupi wewe ulichukua mateja sijui bugururi au Kinondoni pole sana Dogo

Siku nyingine andaa kama laki hivi nenda bar za maana kama samaki ,lacharz,boardroom na zingine utasimulia
 
Wengi hawapo romantic wakat wa sex yan hupat raha yoyote, halafu ni wana michirz balaa.
Kweli kabisa halafu hili la michirizi sijajua kwa nini. Nilipata mmoja japo alikuwa na biashara yake ya nguo, sitaki hata kumrudia.
 
Labda kwa ambao sio wazoefu wa MADEMU ila Demu anayejiuza unamjua tu!! Mimi demu anayeuza NYAPU dakika sifuri tu namjua hata avae baibui na hijabu juu na ajipulizie uturi kama JINI.
Haaah mtaalamu asee hata mim demu akiwa anauza namjua mala moja , na hata hawa wa mitandaon ndo noma ukiingia inbox yake unataja bei tuu utaona mwenyew anaanza kujaa
 
Haaah mtaalamu asee hata mim demu akiwa anauza namjua mala moja , na hata hawa wa mitandaon ndo noma ukiingia inbox yake unataja bei tuu utaona mwenyew anaanza kujaa
Kiongozi, si kila demu anayejiuza utamjua. Labda wale wa kujipanga barabarani au kwenye ma guest ya bei ndogo.
 
Kiongozi, si kila demu anayejiuza utamjua. Labda wale wa kujipanga barabarani au kwenye ma guest ya bei ndogo.
80% unawajua kama ni mzoefu, 20% ndo hawa wanajificha sana tena wengin ni waajiriwa kabisa. Mfano kuna huyu dada mmoja amejiliwa kwenye shirika flani uwezi kumjua ila kuna siku wakat tuchat nikaingizia story flani nikashangaa amenitajia bei na siku gan ambayo anakua free
 
Nimewahi kukutana na binti mzuri sana mimi kama client wake..

Tukazoeana nikaja kushangaa ametokea kunipenda hadi kunionea wivu wakati huo mimi nikiwa sina habari.

Yaani imefikia stage anataka tuishi wote aache hii kazi awe na Mimi, but upande wangu issue ni mimi nawaza itakuwaje rahisi yeye kustaafu.

NOTE: Naturally mimi ni humble and kind nina tabia ya kuonge kimya kimya kama vile nina sympathy.

Kila mdada hata asiye sex worker nikikutana nae, anaipenda hii tabia yangu ya nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali kama hayo ni vizuri sana kuwauliza wahusika unapokuwa maeneo.

Nilishawahi kumuuliza mmoja "hivi unajisikiaje mara ya kwanza kukutana na mtu ambae humfahamu?" akanijibu "nimeshazoea ile hali ya kukutana na mtu ambae simfahamu".

Kama kweli unataka majibu ya uhakika, swali lolote wewe uliza hawana noma hata kidogo.

Labda hayo mawindo yenu nyinyi, ila nijuavyo mimi wauza NYAPU ni wasafi sana, na hawanuki.

Wanazingatia sana usafi wa mwili kwa ujumla
 
Maswali kama hayo ni vizuri sana kuwauliza wahusika unapokuwa maeneo.

Nilishawahi kumuuliza mmoja "hivi unajisikiaje mara ya kwanza kukutana na mtu ambae humfahamu?" akanijibu "nimeshazoea ile hali ya kukutana na mtu ambae simfahamu".

Kama kweli unataka majibu ya uhakika, swali lolote wewe uliza hawana noma hata kidogo.

Labda hayo mawindo yenu nyinyi, ila nijuavyo mimi wauza NYAPU ni wasafi sana, na hawanuki.

Wanazingatia sana usafi wa mwili kwa ujumla
Mimi nimewahi kumpenda sex work er kabisa... She was better than any girl nimewahi kukutana nae...

Shombe shombe msafi, K hata hainuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom