Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Hawana feelings zozote zile mana amachowaza ni apate pesa aondoke zake aende kwa mwingine...na mtu kama huyo unajiskiaje raha kusex naye??
Nlishakutana na mmoja ni kisu kikali sana hata sjui nimtaje celebrity gani anayefanana naye labda curazon wa kenya ilibidi nikae naye kama lisaa namuuliza maswali kwanza kwamba why she is doing that..alifurahia kampan yangu ndo ikawa nikiskia namtafuta ila saiv ameacha

Wale mie nimefaidi na kila nilie kuwa namchukua, cha kwanza nilikua nahakikisha wanakuwa friend kwa kila namna ..... ambae nilikuwa nikishindwa kumfanya friend nilikuwa napiga chini .... Pia wale wa bei za juu ndio utae enjoy na hasa ukifanikiwa kumfanya kuwa rafiki... Na hatari zaidi hao watu cha kwanza tu ndio nilikuwa natumia condom, ila cha pili na cha tatu nilikuwa nawapelekea moto live live, na ilikuwa ikitokea tukirudia game peku mwanzo mwishoo... Aisee ... Maisha hayaaa... Na ndio maana kupata magonjwa ya zinaa na ukimwi kazi sana
 
Umeongea kweli mkuu ..halafu ni wasafi yani classic hata ukitoa laki haikuumi [emoji28][emoji28]
 
Nimewatia sana pale... nahisi ndio maana nikawa maskini... Dema unakuta una mpa 80 au 100k, hotel unalipa 35 to 50... Na kuna massage moja ipo kinondoni ilikuwa inaitwa pentagon nilikiwa nawatia mlemle... uhuni mmbaya sana, ila ashukuriwe Mungu siku hizi naogopa sana hayo mambo
dah wazee wa masaji
 
Umeongea kweli mkuu ..halafu ni wasafi yani classic hata ukitoa laki haikuumi [emoji28][emoji28]

Wale ni wasafi sana, na hauwapeleki kwenye lodge uchwara... Nilikuwa nawapenda ambao hawatumii vilezi... acha wee, unahudumiwa kama mume... mnapiga game, mnapiga story, utani mwingi mnalala.. Mnaamka michezo mingii... hadi mna wa breakfast mnaenda mnapiga wote kama mke na mume... hapo zamani mambo yalikuwa motooo... sasa ivi acha tutulie tutazame vijana waki chachalika
 
True mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]

Hao ndio wazuri kabisa ...
 
Kweli kabisa, wanahitaji baadhi yao misaada yetu
Kama ni msaada hawa pia wanahitaji
Msichana anamfuata mwanaume asiemjua usiku wapo wanaopigwa na kudhulumiwa na wapo wanaouwawa
Wanaopewa ukimwi kwa nguvu
Yaani mambo wanayokutana nayo
Halafu wanakuwa kama drug addiction au kamari inawawia ngumu kuacha
Wengine wanalisha wengine kama wazazi au watoto wao kwa hii biashara
Halafu unakuta mwanaume kwa kutafuta starehe yake anaenda na kumpiga juu
Yaani miaka ya nyuma sana nilikuwa nchi ninazoenda nilikuwa nikiwauliza utashangaa sex slaves ilivyoshamiri nchi zingine
Wengine wanadanganywa kwa kuletwa mijini kwa ajira nzuri badala yake wanafanyishwa kazi hizi
 
Mwanamke wa kumnunua inategemea na unapokutana naye.
Kuna wengine wananunulika kila baada ya muda mfupi.
Bei yao ndogo, huyu hata utamu sidhani Kama utaupata.
Ila Kuna wale classic wanajitunza wako poa Sana.
Nikiwa chuo nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa Kona bar na ambiance.
Siku moja nimebeba Malaya mmoja tunaingia guest nikapata ganzi ya ghafla.
Mashine haikusimama kabisa nilivyomuona baada ya kupunguza nguo.
Yaani nilijihisi Leo ndio napata ukimwi.!!
Nikamwambia naenda zangu na hela nilishamlipa.!!

Ila Kuna wadada walikuwa wanajiuza block e mabibo very classic. Yaani ukimuona tu ni mzigo unasimama wenyewe.
Lakini walikuwa ghali sana.!!
Sema maisha Yale ya kutest kila kitu ilikuwa balaa
 
Wale ni wasafi sana, na hauwapeleki kwenye lodge uchwara... Nilikuwa nawapenda ambao hawatumii vilezi... acha wee, unahudumiwa kama mume... mnapiga game, mnapiga story, utani mwingi mnalala.. Mnaamka michezo mingii... hadi mna wa breakfast mnaenda mnapiga wote kama mke na mume... hapo zamani mambo yalikuwa motooo... sasa ivi acha tutulie tutazame vijana waki chachalika
mmmmh, napita tuu, no comment
 
Back
Top Bottom