Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Cheka sanaa, mweeeh mmeongeza siku zangu za kuishi.
Mleta uzi mwenyewe kakoma@evelynsalt &atoto
 
vipi ukijiweka wewe kwenye maombi na kazi ufanye uwe na zako akikupa akupe tu kama zawadi best.
Najiombea sana tu na kazi nafanya ila najua hata nikipewa salary milioni 100 hazitatosha bado
Ni mizinga tu hadi pumzi ya mwisho madam
 
Mwenzenu katoa ushauri wa msingi kabisa na wakati mwafaka wa 50% ya ushiriki mwanamke na mwanaume kila eneo. Nadhani wanawake wanaojitegemea wanaona fahari kubwa na wana amani maishani mwao. Badala ya kupiga vibomu hivyo, bora uamue kuwa changudoa.
Angeanza kwa nyie wanaume mnaolialia kutimiza majukumu yenu,wanawake mnawataka,kuhudumua hamtaki,mkiona vyaelea vimeundwa.
 
teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)

waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
hahaha....wewe kweli chizi
 
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
Hahahahahaha..................aisee ww kiboko, wauza karanga tena? basi sawa.
 
mbona hivyo vizinga unavyovilalamikia ni vya maeneo unayoyatumia wewe? so toa tu maana vinakuhusu maana vinahitaji huduma ati!!! sio unajua kubanjuka tu na kula denda bila kujua gharama zake, ebo hebu katoe hela huko, ya pedi tu unalialia, ukiombwa ya kodi?????
Atoto...akiniomba ya kodi nitatoa tena bila ubishi...hivyo ndo vizinga vyenye akili...ila si kila kitu mpka kisicho na maana..nipige kizinga unataka kuanzisha mradi sawa hamna shida...unataka kumuuguza cjui nan sawa ila c vizinga vya fedheha kam hivyo.
 
Kamwe sitaacha kuomba au kupiga vizinga, kwangu huo ni ukomoaji kwa wanaume hata kama nnazo zangu bado ntaomba, kamwe sitakaa kumfurahisha mwanaume, ntakua na huyu kiumbe kwa sababu ya!! Ni kiunbe asieridhika sasa roho isiume lazima unitoe dinner za hapa na pale na starehe mbali mbali, tukiachana nna amani moyoni.
 
Back
Top Bottom