Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

Dada zetu...muwe mnajishughulisha basi hata kidogo duh...we ni mizinga tu hata hela ya kununua mswaki kizinga..kununua pedi kizinga..kununua pichu kizinga..kununua blezia kizinga...aaaah jaman sawa mwanaume kuhudumia mwanamke si issue ila basi pale panapo bidi ndo ahudumie....mkisemwa mwaja juu oooh mwanaume gani analalamika kutimiza majukum yake...mara oooh wanao lalamika ni hao wasio na pesa..ila wenye pesa hawalalamiki...huyo mwenye pesa halalamiki coz anakutumia ipasavyo yaan anazitaabisha private parts zako ipasavyo.....
 
Ndi Ndi Ndi. ...

Gelofriend counter book langu limekumiss ujue. Sijaliandika siku mingi
Ha ha ha gelofriend mwanaume ni mtu wa thamani sana anatakiwa kubebwa kama yai.... Ukipokea mshahara umpe nae akanywe vibia vitatu vinne andika hii gelofriend
 
Eeeh wewe hapo nakujua vizuri tu mbona. Ukirudi rudi basi na vijicent

Hehhehe sipati nega hiyo siku ukipoteza mshahara teh teh. Nahisi ntacheka hadi nilie

doughter usiniombee kabisa kupoteza mshamshahara maana nitalazwa.
 
Dada zetu...muwe mnajishughulisha basi hata kidogo duh...we ni mizinga tu hata hela ya kununua mswaki kizinga..kununua pedi kizinga..kununua pichu kizinga..kununua blezia kizinga...aaaah jaman sawa mwanaume kuhudumia mwanamke si issue ila basi pale panapo bidi ndo ahudumie....mkisemwa mwaja juu oooh mwanaume gani analalamika kutimiza majukum yake...mara oooh wanao lalamika ni hao wasio na pesa..ila wenye pesa hawalalamiki...huyo mwenye pesa halalamiki coz anakutumia ipasavyo yaan anazitaabisha private parts zako ipasavyo.....
Guasa amboni mwanaume mwenzio analalamika hela ya chupi na bra ha ha ha woiiii
 
Mwenzenu katoa ushauri wa msingi kabisa na wakati mwafaka wa 50% ya ushiriki mwanamke na mwanaume kila eneo. Nadhani wanawake wanaojitegemea wanaona fahari kubwa na wana amani maishani mwao. Badala ya kupiga vibomu hivyo, bora uamue kuwa changudoa.
mkisikia pesa ndio mnakimbilia beijing, mbona kwenye kuosha vyombo hamuikumbuki haki sawa??nipe nikupe ndio haki sawa hiyo, hata geisha inahitaji pesa.
 
Dada zetu...muwe mnajishughulisha basi hata kidogo duh...we ni mizinga tu hata hela ya kununua mswaki kizinga..kununua pedi kizinga..kununua pichu kizinga..kununua blezia kizinga...aaaah jaman sawa mwanaume kuhudumia mwanamke si issue ila basi pale panapo bidi ndo ahudumie....mkisemwa mwaja juu oooh mwanaume gani analalamika kutimiza majukum yake...mara oooh wanao lalamika ni hao wasio na pesa..ila wenye pesa hawalalamiki...huyo mwenye pesa halalamiki coz anakutumia ipasavyo yaan anazitaabisha private parts zako ipasavyo.....
mbona hivyo vizinga unavyovilalamikia ni vya maeneo unayoyatumia wewe? so toa tu maana vinakuhusu maana vinahitaji huduma ati!!! sio unajua kubanjuka tu na kula denda bila kujua gharama zake, ebo hebu katoe hela huko, ya pedi tu unalialia, ukiombwa ya kodi?????
 
Mimi nikishapewa kiti moto tu basi nalipia harama yake. Sitaki kusikia harufu mbaya ya kwapa na kiti moto. Pia nikija kumuacha ajue alikuwa mamantilie wangu sio mpenzi wangu.[emoji12][emoji3] [emoji3]
 
Kama yeye mama ntilie na wewe ni baba ntilie..... Tatizo hakuna
 
Mimi nikishapewa kiti moto tu basi nalipia harama yake. Sitaki kusikia harufu mbaya ya kwapa na kiti moto. Pia nikija kumuacha ajue alikuwa mamantilie wangu sio mpenzi wangu.[emoji12][emoji3] [emoji3]
yaani hii hata muitafutie tafsiri mbaya kama kinyesi walaaaa haibadiliki, we toa tu baba ntilie.
 
Back
Top Bottom