Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

wanasaidia sana kupoteza mawazo wakati wa foleni asubuhi bagamoyo road huwa kuna dada mmoja anabonge la tako, na jioni kuna wale mademu wa vodacom pale mlimani city nao ni full kusaula wanajifanya wazungu basi mimi huwa naomba foleni isitembee!
 
Hakuna mazingira mwanaume anaweza vaa nguo Itakayoleta Usumbufu Kwa Mtu mwngine , epecially linapofika vazi la Mazoezi.
Tofauti ni kuwa mwanaume Hana matak@ na wadada tuna miinuko vitonga,wanaume Hamna matiti while wadada wanayo. Kinachokusumbua ni tamaa zako tu,kwani sumaku zinashikana katika mtindo gani? Ukioata jibu hilo utajua,kinachokutesa ni attraction toward them. And marufuku kusema ufuska sijui wadada kwani wote ni Madada poa??? Ni vepe chaliii
 
Hii sasa imegeuka kama Style Flani hivi kwa Sasa , na hii inafanyika Mikoa Mikubwa Especially Dsm and Arusha .
Kina Dada wamegeuza Sehemu hiyo kua Fursa ya Kufanya Ufuska wao mwengine.
Mtu unajiuliza Gym hakuna ? Basi kama Gym Gharama , Hakuna maeneo Special kwa Ajili ya Hayo Mazoezi ? .au labda Kukimbia Barabarani kunaongeza Ufanisi Wa mazoezi ?

Sasa Tazama nguo wanazovaa Vs Maumbilie yao , Tazama maeneo ya Barabara wanapofanyia hayo mazoezi, Tazama na Muda pia.. kisha Jumlisha, unipe Jibu.

Mm Hesabu zangu zimeniletea Majibu Mazuri , "mazoezi barabarani ni njia ya Kina Dada kujipatia Wanaume. (Huwenda Sio wote)
just your dirty mind doing tricks with you:D:D
 
Hakuna kitu, we ukimpata ni akili zako zimekutana na zake. Wapo ki mazoezi.

Kando ya road ni cover pia kwao, ngumu kumfanyia hujuma
 
A human is a very complicated being, it is difficult to please him, as long as it is not a sin, I'll do it no matter what they may say/argue
 
Na wakaka wanauza nini mkuu..kiufupi asilimia kubwa wanaofanya mazoezi wadada au wanawake wanene na mavazi yaao mostly niya mazoezi long skin may be na tshet sasa ww unataka wavae magauni ama..acha watu walio jaliwa neema za allah wafanye mazoezi buanah,,,,au mpaka wakondefu wanakushtua
 
Tofauti ni kuwa mwanaume Hana matak@ na wadada tuna miinuko vitonga,wanaume Hamna matiti while wadada wanayo. Kinachokusumbua ni tamaa zako tu,kwani sumaku zinashikana katika mtindo gani? Ukioata jibu hilo utajua,kinachokutesa ni attraction toward them. And marufuku kusema ufuska sijui wadada kwani wote ni Madada poa??? Ni vepe chaliii
Ama nene.... Aisee Ntauza Arushya mim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom