Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Tuko, ujumbe umefika.....sio wote wanaolewa kwa kupaka heshma Mrs Fulani. Kuna wengine hawataki kuzaa nje ya ndoa. Pili jamani na hizi physical needs tufanyaje, tuishie kugegedwa tu.

Ni kweli but, kwa sababu ya kutaka kuzaa ndani ya ndoa ndipo ujilazimishe kuolewa pasipo oleka? Kama ni suala la kugegedwa, wapo walioolewa, na hawapati hiyo huduma humo ndani ya ndoa pia... Kama hampendani, seriously hata akikulalia unasikia kichefuchefu tu...

Point yangu hapa ni kwamba, ndoa ni ajmbo jema, tena sana. But usipoolewa, usione kama ndio unahdarauliiika, na kusababisha uanze kufanya maamuzi ya kukuumiza na kukudhalilisha...
 
Mara chache baadhi ya wanaume wana take advantage ya wanawake ku-husudu ndoa kufanya uchafu wao.
Hapa namaanisha kuwa baadhi ya wanaume wana mess up kirahisi tu, kuwanyanyasa na kuwakosea heshima wake zao, hasa kwa kutoka nje ya ndoa, kwa sababu wameshawasoma wanawake na wanajiaminisha kuwa ..."najua hathubutu kuniacha akaishi peke yake"... Cases kadhaa zimeletwa hapa jf kuthibitisha hilo kuwa kumekuwa na wanawake wanaonyanyaswa kijinsia na waume zao, kwa kigezo kuwa hawawezi kudai talaka, as long as kuna watoto, na ile gilba ya kuishi upweke...
 
Kuolewa au kuoa ni jambo la lazima linalomtofautisha Mtu na mnyama, ndege au mdudu. Kuolewa ni Heshima na kunatengeneza ufahamu kisaikolojia, eg:
1. Asiyeolewa ana hasira na kujishuku vibaya.
2. Asiyeoa huwaza kitoto hata kama ni professor.
3. Asiyeolewa hata ajiridhishe vipi, bado ni mpweke mno. Jioni anajaribu hata kulalia mto ili kujiridhisha tu.
4. Mwanaume asiyeoa anaitwa majina mengi na atajiridhisha na uasherati tu kwa kificho.

NB: Kuoa au kuolewa ni jambo la muhimu na wala tusidanganyane kwa mambo yasiyokidhi.
 
AshaDii umemaliza.Kuolewa ni muhimu.Kwa sababu ya biolojia zetu tulivyoumbwa.vinginevyo wengi wanaibia.wameolewa au kuoa isivyo rasmi nikimaanisha wanaishi maisha ya kindoa pasipo baraka za Mungu au jamii kwenye.ndoa za mitala.Yamkini kwa kutambua hili ndio maana wenzetu waislamu walitambua kuoa wake wanne.Wakristo wengi wameoa zaidi ya mke mmoja kinyemela..

Kwenye blue, ni ngumu kuthibitisha. Viapo vyao vya ukweli walivyopeana na uaminifu wao kati yao, wanaweza wakapata baraka za Mungu kuliko wale waliofungishwa ndoa na aina ya pastor/mchungaji kama huyu hapa chini:

Utapeli kwa jina la Mungu sehemu ya tatu - YouTube

Nikisema Mungu sijamaanisha kanisani.Hili neno ni pana

Hapa naungana na wale wanaosema "JF is never boring" kwa sababu hakuna sehemu ambayo nimemaananisha kuwa Mungu ni kanisa.

statement: Ni vigumu kuthibitisha kuna watu wanaishi maisha ya kindoa pasipo baraka za Mungu.(Mungu ndie anayeamua kumpa baraka mtu amtakae,sisi binadamu tunajuaje kuwa Mungu hawapi baraka wakina fulani?) Kuna wafungishaji ndoa wahuni tu (kama huyo wa kwenye clip).

reply: Nikisema Mungu sijamaanisha kanisani.Hili neno ni pana.

??????????????????????????????????????????????????????????????
 
Kwenye blue, ni ngumu kuthibitisha. Viapo vyao vya ukweli walivyopeana na uaminifu wao kati yao, wanaweza wakapata baraka za Mungu kuliko wale waliofungishwa ndoa na aina ya pastor/mchungaji kama huyu hapa chini:

Utapeli kwa jina la Mungu sehemu ya tatu - YouTube



Hapa naungana na wale wanaosema "JF is never boring" kwa sababu hakuna sehemu ambayo nimemaananisha kuwa Mungu ni kanisa.

statement: Ni vigumu kuthibitisha kuna watu wanaishi maisha ya kindoa pasipo baraka za Mungu.(Mungu ndie anayeamua kumpa baraka mtu amtakae,sisi binadamu tunajuaje kuwa Mungu hawapi baraka wakina fulani?) Kuna wafungishaji ndoa wahuni tu (kama huyo wa kwenye clip).

reply: Nikisema Mungu sijamaanisha kanisani.Hili neno ni pana.

??????????????????????????????????????????????????????????????

Hata sielewi ndugu tunabishana nini..unaweza nielewesha tafadhali!?
 
.. Tuko well said.

But kwa tamaduni zetu inaleta picha mbaya fulani as utaonekana kama mwanamke asiye na maadili, malaya n.k.

BTW ukiwa single for life tamu ya dushelele unaipatia wapi???.. Au ndo full kuunga unga.. Leo na huyu na kesho na huyu. Na huyo mwanaume anaekupa hyo huduma yeye anakuwa hajaoa (single), mgane au anakuwa na matatizo gani hasa??

Najiuliza maswali mengi kumkichwaaa.. (mwanamke ana hitaji kuwa na m.ume n the reverse.... Kupunguza/au kuondoa kabisa zinaa na kupata hyo basic needs lolz)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ndio maana kuna wadada humi mmu hawajaolewa wanachonga sana humu

Acha umbea wewe! BTW kuna aliyekwambia anatafuta mume hapa... Alaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahahaaa.... kitu pekee mwanamke asiyeolewa hawezi kukipata ni kuitwa Mrs.. vingine vyote vipo mtaani unapimiwa kwa kilo...

We Tuko unawazimu ... Kwi kwiiiiiiiiii eti unapimiwa kwa kilo..

..Hebu nipatie game kilo 3 hapo fasta! Hahaaaaaaaa ..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
The mere fact ume acknowledge there is a God then u have negated all that u have said hapo juu. nasema hivyo kwa sababu ndoa imeletwa na Mungu hivyo basi kuna umuhimu wakuwa katika ndoa for both men and women. hilo lazima tulikubali.

kutokana na hali ya ulimwengu wa sasa, kweli unaweza kusema kuwa ni vyema basi mtu ubaki kuwa single ili kukwepa manyanyaso na mambo ambayo umetaja hapo juu. ila sasa swali lipo hapa; je ni wanaume wangapi na wanawake wangapi wanaweza kuremain single bila kuwa kgegedana? kama umeamua kuwa single basi wewe sahau mambo ya kugegedana hapo kweli tutakuona wewe una msimamo. tusiwe na double standards za ulimwegu huu ambapo kuwa na gf/bf na kugegedana ni kitu cha kawaida. its wrong machoni kwa Mungu. kegegedana was meant kufanyika baina ya wanandoa tuu. so all in all desire ya wanawake kuolewa wala sio kitu cha kuwalaumu wanawake....its nature we have to accept that.

nmeipenda hii. Ukitulia unaongea facts sn
 
Tatizo jamii yetu hii ya kufatiliana sana...... Ingekuwa kila mtu anafata mambo yake tu ingekuwa poa sana.
 
mmh, kuolewa c lazima though to have someone comitted for ur hapiness inaongeza nakshi ya maisha, cjazungumzia kuiba mzabzab
 
Back
Top Bottom