upo busy kugegeda hata bible husomi ..Muogope MUNGU aisee kuna hukumu
mi najishughulisha na mambo ya BwanaSina uhakika imani yako kwa Mungu ime-base kwenye kitabu gani... but sio vibaya niki-quote maneno machache kutoka kwenye bibilia ambayo ni base ya imani yangu...
"..Je umeoa? usiachane na mkeo, wewe hukuoa? usitake kuoa. ....na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaokuwa wameoana watapatwa na matatizo ya dunia hii..." Mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34
mimi kuhusu bible usithubutu mkuu. mi mtoto wa pastor.kidogo tu ningesomea usisterhahaha umeanza ....weee sii ulisema topic inakuboa sasa mbona warudi tena. sasa wewe na mie kweli tunachekana?
You have said it correct dude!@smile usiseme kwamba watu wanasema mabinti ambao hawajaolewa na kuwaona kwa jicho baya. Let me tell you, hata kama mwanamke umeolewa halafu ukawa ni mtu wa kugawa papuchu kama peremende ni wazi kwamba utaonekana huna heshima tu. hata kama nimeolewa na kuwa na watoto 7 but once nikianza kumess up na waume za watu lazima nitaharibu reputation yangu. hata kama ni mchungaji/ ama mama mchungaji lkn nikawa ninagawa uroda kwa watu hovyo still nitaharibu reputation yangu tu.jambo moja nililojifunza kwenye haya maisha heshima ya kwanza duniani mtu unaijenga wewe mwenyewe, kwanza kwa kuiheshimu nafsi yako, pili kwa kuheshimu na kuupenda mwili wako. huwez kuheshimiwa popote kama utakuwa ni mtu usiyejiheshimu mwenyewe.uwe single uwe umeolewa kuna baadhi ya tabia ukizifanya lazima ziharibu image ya maisha yako period.nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na snowhite na amu na pia maneno hayo hayo nikawa naongea na cacico kwamba mwanamke lazima uwe na mipaka na nidhamu ya maisha yako. ukijipenda na kujiheshimu basi hata kama utafanya ufuska hwuez kuufanya hadi watu mtaani wakagundua. ukijipenda na kujiheshimu ni wazi kwamba hata mwili utauonea haya na utaujali. tuliongea niikasema wazi siwez mm kila siku niwe nashinda LEO TUPO HAPA nakunywa hadi usiku wa manane, kila siku niwe ni mtu wa viti virefu na mikelel isiyokuwa na tija barabnaran halafu eti niseme ni mke wa mtu ama ni mwnamke.mwanamke anahitajika staha, mwanamke anahitaji kujiheshimu, mwanamke anahitaj kujipenda , mwanamke anahitaj kujitunza. tena uzuri wa mwamnamke ukijitunza vyema una chance ya kuish miaka mingi sana uki kompea na wakaka. Kosa kubwa ambalo huwa wanawake wengi ttunalifanya ni kujilinganisha na wanaume. hata mbingu ifunuke haitokaa itokee manake tabia nyingi zakiume zina dhalilisha utu wa kike.acha kudanganya wenzio....mwanamke utasemwa na kutukanwa ukiwa single kama wewe mwenyewe u live a reckless lifestyle. kama wewe kweli umeamua kuwa single na kweli hujihusishi kabisa katika mambo ya ngono na mwanaume yoyote hamna mtu atakae sema kitu. problem is ni wanawake wangapi wanaweza kubaki single for their entire life without having bfs or changing bfs?
labda ungeeleza mwanamke anavyotaka kuolewa anataka nini kwenye ndoa, na hivyo anavyovitaka atavipata Vipi asipoolewa.?Hapana. Sishauri wanawake wasiolewe (whether wana kipato au hawana). Nashauri wanawake wasilazimishe kuolewa hata kama upendo haupo, ili tu watimize hitaji la kuolewa...
labda ungeeleza mwanamke anavyotaka kuolewa anataka nini kwenye ndoa, na hivyo anavyovitaka atavipata Vipi asipoolewa.?
mshahukumu tusioolewa tuna makosa poa
ngoja niwaone na ndoa zenu
Una pointi bidadaZina mahitaji.Kwanza tendo la ndoa ni muhimu tena ni takatifu unless wewe ulizaliwa towashi kama paulo.Pili nafsi zetu zinahitaji Upendo hasa wa mme au mke(to love and to be loved).Utasema kuna ndugu lkn haitoshi..
You have said it correct dude!@smile usiseme kwamba watu wanasema mabinti ambao hawajaolewa na kuwaona kwa jicho baya. Let me tell you, hata kama mwanamke umeolewa halafu ukawa ni mtu wa kugawa papuchu kama peremende ni wazi kwamba utaonekana huna heshima tu. hata kama nimeolewa na kuwa na watoto 7 but once nikianza kumess up na waume za watu lazima nitaharibu reputation yangu. hata kama ni mchungaji/ ama mama mchungaji lkn nikawa ninagawa uroda kwa watu hovyo still nitaharibu reputation yangu tu.jambo moja nililojifunza kwenye haya maisha heshima ya kwanza duniani mtu unaijenga wewe mwenyewe, kwanza kwa kuiheshimu nafsi yako, pili kwa kuheshimu na kuupenda mwili wako. huwez kuheshimiwa popote kama utakuwa ni mtu usiyejiheshimu mwenyewe.uwe single uwe umeolewa kuna baadhi ya tabia ukizifanya lazima ziharibu image ya maisha yako period.nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na snowhite na @amu na pia maneno hayo hayo nikawa naongea na cacico kwamba mwanamke lazima uwe na mipaka na nidhamu ya maisha yako. ukijipenda na kujiheshimu basi hata kama utafanya ufuska hwuez kuufanya hadi watu mtaani wakagundua. ukijipenda na kujiheshimu ni wazi kwamba hata mwili utauonea haya na utaujali. tuliongea niikasema wazi siwez mm kila siku niwe nashinda LEO TUPO HAPA nakunywa hadi usiku wa manane, kila siku niwe ni mtu wa viti virefu na mikelel isiyokuwa na tija barabnaran halafu eti niseme ni mke wa mtu ama ni mwnamke.mwanamke anahitajika staha, mwanamke anahitaji kujiheshimu, mwanamke anahitaj kujipenda , mwanamke anahitaj kujitunza. tena uzuri wa mwamnamke ukijitunza vyema una chance ya kuish miaka mingi sana uki kompea na wakaka. Kosa kubwa ambalo huwa wanawake wengi ttunalifanya ni kujilinganisha na wanaume. hata mbingu ifunuke haitokaa itokee manake tabia nyingi zakiume zina dhalilisha utu wa kike.

Wewe utaolewa?
Lazima tuwe na definition nzuri ya kuolewa. Katika tafiti tunatumia neno kuishi pamoja (kimada au hawara) ni sawa na ndoa. Kwa maisha ya sasa kuolewa lazima kuwe defined kuwa ni hali ya mtu kuwa na mwenzi hata kama hawakai chini ya paa moja. Tukikubaliana hivi, nitakubaliana na mzee wa migegendo kuwa wengi wetu wameolewa na ni vigumu mtoto wa kike kukaa bila mume (formally or informally). Hii ndiyo hali halisi. Hata mdogo wangu smile ameolewa informally maana ana wake.bahati mbaya sana ukimwi ndo unawamaliza walioa sijui ndoa zina virusi vya ukimwi?
Nakuunga mkono dada yangu. Ni neno moja tu, heshima ya sie akinamama ni kufunga mapaja yetu.You have said it correct dude!@smile usiseme kwamba watu wanasema mabinti ambao hawajaolewa na kuwaona kwa jicho baya. Let me tell you, hata kama mwanamke umeolewa halafu ukawa ni mtu wa kugawa papuchu kama peremende ni wazi kwamba utaonekana huna heshima tu. hata kama nimeolewa na kuwa na watoto 7 but once nikianza kumess up na waume za watu lazima nitaharibu reputation yangu. hata kama ni mchungaji/ ama mama mchungaji lkn nikawa ninagawa uroda kwa watu hovyo still nitaharibu reputation yangu tu.jambo moja nililojifunza kwenye haya maisha heshima ya kwanza duniani mtu unaijenga wewe mwenyewe, kwanza kwa kuiheshimu nafsi yako, pili kwa kuheshimu na kuupenda mwili wako. huwez kuheshimiwa popote kama utakuwa ni mtu usiyejiheshimu mwenyewe.uwe single uwe umeolewa kuna baadhi ya tabia ukizifanya lazima ziharibu image ya maisha yako period.nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na snowhite na @amu na pia maneno hayo hayo nikawa naongea na cacico kwamba mwanamke lazima uwe na mipaka na nidhamu ya maisha yako. ukijipenda na kujiheshimu basi hata kama utafanya ufuska hwuez kuufanya hadi watu mtaani wakagundua. ukijipenda na kujiheshimu ni wazi kwamba hata mwili utauonea haya na utaujali. tuliongea niikasema wazi siwez mm kila siku niwe nashinda LEO TUPO HAPA nakunywa hadi usiku wa manane, kila siku niwe ni mtu wa viti virefu na mikelel isiyokuwa na tija barabnaran halafu eti niseme ni mke wa mtu ama ni mwnamke.mwanamke anahitajika staha, mwanamke anahitaji kujiheshimu, mwanamke anahitaj kujipenda , mwanamke anahitaj kujitunza. tena uzuri wa mwamnamke ukijitunza vyema una chance ya kuish miaka mingi sana uki kompea na wakaka. Kosa kubwa ambalo huwa wanawake wengi ttunalifanya ni kujilinganisha na wanaume. hata mbingu ifunuke haitokaa itokee manake tabia nyingi zakiume zina dhalilisha utu wa kike.
Lazima tuwe na definition nzuri ya kuolewa. Katika tafiti tunatumia neno kuishi pamoja (kimada au hawara) ni sawa na ndoa. Kwa maisha ya sasa kuolewa lazima kuwe defined kuwa ni hali ya mtu kuwa na mwenzi hata kama hawakai chini ya paa moja. Tukikubaliana hivi, nitakubaliana na mzee wa migegendo kuwa wengi wetu wameolewa na ni vigumu mtoto wa kike kukaa bila mume (formally or informally). Hii ndiyo hali halisi. Hata mdogo wangu smile ameolewa informally maana ana wake.