acha kudanganya wenzio....mwanamke utasemwa na kutukanwa ukiwa single kama wewe mwenyewe u live a reckless lifestyle. kama wewe kweli umeamua kuwa single na kweli hujihusishi kabisa katika mambo ya ngono na mwanaume yoyote hamna mtu atakae sema kitu. problem is ni wanawake wangapi wanaweza kubaki single for their entire life without having bfs or changing bfs?
Sijasema tusifungue la hasha tufungue kwa mtu mmoja tu bila kuhanja. Nyie akina kaka mnapenda kuomba, msichana heshima yake ni kuwanyima (mkiwa wote makazini au majirani au shuleni, katika kwaya n.k) akiwapa hapo heshima kwisheny.Binti akibana mapaja ndio anakuwa BEAUTIFUL ndugu yangu.Duh,,, hapo unaenda mbali sana... sidhani kama heshima ni kujinyima, ila kufanya kistaarabu
Sijasema tusifungue la hasha tufungue kwa mtu mmoja tu bila kuhanja. Nyie akina kaka mnapenda kuomba, msichana heshima yake ni kuwanyima (mkiwa wote makazini au majirani au shuleni, katika kwaya n.k) akiwapa hapo heshima kwisheny.Binti akibana mapaja ndio anakuwa BEAUTIFUL ndugu yangu.
sio nasema i have seen living examples....watu hawawezi bwana kuanza kukutusi kuwa unatafuta waume za watu kama kweli wewe umetulia bibie humgusi mwanaume wala kumjua yukoje. tatizo ladies and men choose the single lifestyle but cant accept the consequences of their choices.
Mhnnn... Kuna watu moyoni wana hamu na shauku kubwa sana ya kuolewa lakini kwa nje wanajifanya hawataki.... YAANI HAYA MANENO YAKO YAMENIFANYA NIIKUMBUKE HII THREAD ....''hivi nyie wakina dada, vijimaneno na chokochoko mwajifunzia wapi??'' Smile we lazima una hamu ya kuolewa kama hujaolewa...Kweli tuko hili ni janga la kitaifa....ila kuolewa sio lazima kila mtu na maisha yake.ila hapa bongo usipoolewa bana ooohhh cha moto utakiona hasa hawa mrs fulani bwana wakimuona mdada wa watu msingle lady, basi roho inakuruka,, oo huyu malaya kazi yake kutafuta waume za watu, hana mbele wala nyuma, hajatulia, yani sijui nani atamuoa na maneno kibao,, alikuambia anataka kuolewa? Kama sio umbea,, wewe kabla ya kuolewa hukuwa single lady? Huyo mumeo ulimtengeneza mwenyewe au na yeye alikuwa wa fulani, basi tu kaona unamfaa sana ndo akaamua kukuchukua muishi maisha yenu? Basi ndo mtoto wa kike jiamini, muache single lady wa watu na maisha yake, malaya yeye, anataka wa ume za watu yeye, inakuhusu nini? Wewe mumeo si unaye ndani si umfanye asiende bar, si umfanya asiwe na hao single lady? Sio vizuri kabisa, wewe kupata mume usifikiri kila mtu ana hobie ya kuolewa, mume bongooo!!!!!!!11
kuolewa ni heshima kwa jamii
ila kwa dunia ya sasa inahitaji umakini
maana husbnd/wife material ni wachache aiseeeee!
wow!!! wewe kweli ndio mwanamke bana ebu wanawake msikilizene mwanamke mwenzenu anavyosema. asante sana mie naona wewe ndio unahitaji kuwa company yangu
santeee mamiiiNakuunga mkono dada yangu. Ni neno moja tu, heshima ya sie akinamama ni kufunga mapaja yetu.
Ukishafungua kwa mmoja... THAT IS NOT BEING SINGLE LADY.... Bamukunda. Yaani kuwa single unatakiwa usisagwe wala usikobolewe, usijindizi, kujividole wala kujimajimoto... yaani we unakaa tu ka nyumba, kazi kushuhudia tuSijasema tusifungue la hasha tufungue kwa mtu mmoja tu bila kuhanja. Nyie akina kaka mnapenda kuomba, msichana heshima yake ni kuwanyima (mkiwa wote makazini au majirani au shuleni, katika kwaya n.k) akiwapa hapo heshima kwisheny.Binti akibana mapaja ndio anakuwa BEAUTIFUL ndugu yangu.
Watoto wa mapasta na mashehe wanawaga balaa... Maana wanakuja jaribu wakiwa na mauji kibao na baada ya hapo wanafanya ka wamchelewa vile... Yaaaniii kulala na kuamka nayoomimi kuhusu bible usithubutu mkuu. mi mtoto wa pastor.kidogo tu ningesomea usister
Si lazima, ni kweli lakini je unabandua..???Kuoa ama kuolewa siyo lazima. Na kutokuoa ama kutokuolewa si makosa.
Watu waache kuwa judgmental.
Jamani hiyo haiwezekani ndo maana pilosofia yangu ni kuwa hakuna mtu single. Wote tumeolewa (formally or informally). Na sisi wanawake ni sawa na nyie katika mahitaji ya vikojoleo. Ila tunasema heshima muhimu, tulia na mmoja tu si kuwa kiruka njia.Ukishafungua kwa mmoja... THAT IS NOT BEING SINGLE LADY.... Bamukunda. Yaani kuwa single unatakiwa usisagwe wala usikobolewe, usijindizi, kujividole wala kujimajimoto... yaani we unakaa tu ka nyumba, kazi kushuhudia tu
SA MBONA huwa mnafanya maajabu sana msipoolewa 'formally'??Jamani hiyo haiwezekani ndo maana pilosofia yangu ni kuwa hakuna mtu single. Wote tumeolewa (formally or informally). Na sisi wanawake ni sawa na nyie katika mahitaji ya vikojoleo. Ila tunasema heshima muhimu, tulia na mmoja tu si kuwa kiruka njia.
Jamani hiyo haiwezekani ndo maana pilosofia yangu ni kuwa hakuna mtu single. Wote tumeolewa (formally or informally). Na sisi wanawake ni sawa na nyie katika mahitaji ya vikojoleo. Ila tunasema heshima muhimu, tulia na mmoja tu si kuwa kiruka njia.
Shosti ingawa mimi nimeolewa formally, si ajabu nikaachika na kuunga tela la informal. Ila mtu asikudanganye aidha upo formal au informal PERIOD. Kitu tunasisitiza ni heshima na kumheshimu mwenza. Wanasema charity begins at home, vile vile uaminifu huanzia kwako si kwa mwenzako. Ukijiheshimu na mwenzi atajiheshimu. Hakuna jino kwa jinoNimeipenda hiyo formal/informal
Mamito, kikwetu wanasema ukimtaja fisi funga mlango. Sikushauri kabisa uwe unawaza mambo ya kuachana... Mdomo huumbaShosti ingawa mimi nimeolewa formally, si ajabu nikaachika na kuunga tela la informal. Ila mtu asikudanganye aidha upo formal au informal PERIOD. Kitu tunasisitiza ni heshima na kumheshimu mwenza. Wanasema charity begins at home, vile vile uaminifu huanzia kwako si kwa mwenzako. Ukijiheshimu na mwenzi atajiheshimu. Hakuna jino kwa jino