Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kuolewa/kuoa ni heshima fulani katika jamii yenu.
kunabaadhi ya koo huwezi kuhusishwa kutoa mawazo yako katika vikao vya kikoo kama hujaoa/ olewa.
 
Mamito, kikwetu wanasema ukimtaja fisi funga mlango. Sikushauri kabisa uwe unawaza mambo ya kuachana... Mdomo huumba
Hata kifo hakuna mtu anakiwaza ila kipo. Siamini katika kuachana na ni kitu ambacho nitajitahidi nisifikie hapo ili urithi wa viumbe nilivyovileta ulimwenguni kwa raha zetu vijifunze mazuri kutoka kwangu, hasa wasichana. Tuzidi kumwomba Allah ili malengo yetu yatimie.
 
Nimeuliza hili swali kwa sababu kwenye jamii yetu baadhi ya kina dada ambao hawajaolewa hadi umri fulani wanakuwa 'desparate' na kupelekea kuchukua maamuzi yanayoshangaza au hata kuwaumiza.
Ingawa ni wachache sana wanaokiri kwa maneno frustrations zao kwa watu, tumekuwa tukishuhudia wengi wao wakikiri kwa matendo yao.

Mi naomba tu niwaambie kina dada kuwa dunia ya sasa imebadilika, watu waliostaarabika hawawapunguzii heshima hata 0.01% wadada ambao hawajaolewa na umri ukiwa umeenda. Kwa wanaodhani kwamba labda jamii inawa-look down kama hawajaolewa, naomba niwahakikishie kuwa ni watu wachache sana, tena wenye mitazamo primitive pengine ndio wanaodhani kuwa kuolewa ni 'ujanja'.

Sikatai kuwa it is something good to have your family composed of you, your BELOVED husband, na watoto kama Mungu atawajaalia. Lakini ni u%$#$$ kuingia kwenye ndoa iliyojaa matatizo na mateso, masimango na kila aina ya udhalilishaji kwa kigezo tu cha kutaka kuolewa. Yes.. tunaona huku mtaani watu wanaingia kwenye ndoa na watu ambao kila mtu anasema OMG!... Na waolewa wenyewe wanaziona kasoro zote but wanazipuuza kwa sababu wanataka kuolewa (na hakuna mapenzi hata tone)

Tunashuhudia kina dada wakisacrifice heshima zao na 'kulazimika' kufanya vitu vya ajabu ili tu kumridhisha mchumba.

Tunashuhudia kina dada wakifyatua mimba kila siku zilizotokana na 'kutii' hamu ya wachumba ambao wanaishia kuwatelekeza

Tunashuhudia kina dada wakiingia katika mahusiano na wanaume lukuki kwa sababu tu wanataka ku-maximize chance ya kuolewa.

Tunashuhudia kina dada wakivunja mahusiano na wanaume wanaowapenda kwa sababu wamekutana na aliye tayari kuoa hata kama hawapendani...

Mbaya zaidi wapo wadada wanaoona kabisa unreliability ya ndoa wanazoingia lakini wanasema "bora tu niolewe mwaya, hata nikiachika nitakuwa nimetoa mkosi!!!!"

Kama Mungu kakujaalia uwezo wa kufanya kazi na kuingiza kipato cha kukuwezesha kujikimu na kuwakimu wanaokutegemea, kwa nini uumize kichwa na kuingia kwenye ndoa za mateso na za kukudhalilisha, ili na wewe uonekane umeolewa?

Powerful analysis, I like this!
 
Jamani Mungu mwenyewe alianzisha ndoa pale Eden na uko hivyo kufanya mapenzi nje ya ndoa ni uzinzi hivyo no tendo takatifu ukiwa umeolewa.
swali je usipooa au kuolewa unapata wapi haki ya kufanya hilo tendo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kuolewa sio lazima sana ila sema kuna heshima fulan mtu anakuwa nayo akiwa kwenye ndoa
 
Nimeuliza hili swali kwa sababu kwenye jamii yetu baadhi ya kina dada ambao hawajaolewa hadi umri fulani wanakuwa 'desparate' na kupelekea kuchukua maamuzi yanayoshangaza au hata kuwaumiza.
Ingawa ni wachache sana wanaokiri kwa maneno frustrations zao kwa watu, tumekuwa tukishuhudia wengi wao wakikiri kwa matendo yao.

Mi naomba tu niwaambie kina dada kuwa dunia ya sasa imebadilika, watu waliostaarabika hawawapunguzii heshima hata 0.01% wadada ambao hawajaolewa na umri ukiwa umeenda. Kwa wanaodhani kwamba labda jamii inawa-look down kama hawajaolewa, naomba niwahakikishie kuwa ni watu wachache sana, tena wenye mitazamo primitive pengine ndio wanaodhani kuwa kuolewa ni 'ujanja'.

Sikatai kuwa it is something good to have your family composed of you, your BELOVED husband, na watoto kama Mungu atawajaalia. Lakini ni u%$#$$ kuingia kwenye ndoa iliyojaa matatizo na mateso, masimango na kila aina ya udhalilishaji kwa kigezo tu cha kutaka kuolewa. Yes.. tunaona huku mtaani watu wanaingia kwenye ndoa na watu ambao kila mtu anasema OMG!... Na waolewa wenyewe wanaziona kasoro zote but wanazipuuza kwa sababu wanataka kuolewa (na hakuna mapenzi hata tone)

Tunashuhudia kina dada wakisacrifice heshima zao na 'kulazimika' kufanya vitu vya ajabu ili tu kumridhisha mchumba.

Tunashuhudia kina dada wakifyatua mimba kila siku zilizotokana na 'kutii' hamu ya wachumba ambao wanaishia kuwatelekeza

Tunashuhudia kina dada wakiingia katika mahusiano na wanaume lukuki kwa sababu tu wanataka ku-maximize chance ya kuolewa.

Tunashuhudia kina dada wakivunja mahusiano na wanaume wanaowapenda kwa sababu wamekutana na aliye tayari kuoa hata kama hawapendani...

Mbaya zaidi wapo wadada wanaoona kabisa unreliability ya ndoa wanazoingia lakini wanasema "bora tu niolewe mwaya, hata nikiachika nitakuwa nimetoa mkosi!!!!"

Kama Mungu kakujaalia uwezo wa kufanya kazi na kuingiza kipato cha kukuwezesha kujikimu na kuwakimu wanaokutegemea, kwa nini uumize kichwa na kuingia kwenye ndoa za mateso na za kukudhalilisha, ili na wewe uonekane umeolewa?
Swali la kizushi je wewe umeoa au umeolewa..maana sijui jinsia yako coming to the point inabidi utambue kwamaba swala la mwanamke kupenda kuolewa ukicheki kibiblia ni kwamba mwanamke ni nusu ya mwanaume maanza ni ubavu wake so always ubavu unataka urudi kwenye ile sehem iliyonyofolewa..ukicheki jinsi mungu alivyomuumba binadamu kwaio swala la mwanamke kusacrifice vitu sababu ya kuolewa halipingiki wala kua comprimised over anything hela, kazi nzuri or whatever..maana mwanamke kiasili huwa na hulka ya kutawaliwa maana mume ni kichwa na mke ni kiwili wili..halafu umezungumzia wenye kazi na kuweza kumudu maisha vipi ambao hawana hizo kazi na hawawezi kumudu maisha yao na wanaowategemea? swala la ndoa zenye mateso, sijui nin na nin utakua ni mtu wa ajabu kuogopa kuingia kwenye ndoa eti kisa ndoa ya flani na flani na flani inamatatizo eti na mim nitapata matatizo kwani aliekwambia hao wanaopata matatizo na wewe yatakupata ni nani? issue ni hii kama umekosa wakuoa au kuolewa nae we tulia tu usitoe maneno au vijisababu vya kutaka kujustify anything ndoa ni tamu na wengine wanaishi kama wako heaven..over..this goes out to all of those who pass through this thread...
 
Tuko, ujumbe umefika.....sio wote wanaolewa kwa kupaka heshma Mrs Fulani. Kuna wengine hawataki kuzaa nje ya ndoa. Pili jamani na hizi physical needs tufanyaje, tuishie kugegedwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Kweli tuko hili ni janga la kitaifa....ila kuolewa sio lazima kila mtu na maisha yake.ila hapa bongo usipoolewa bana ooohhh cha moto utakiona hasa hawa mrs fulani bwana wakimuona mdada wa watu msingle lady, basi roho inakuruka,, oo huyu malaya kazi yake kutafuta waume za watu, hana mbele wala nyuma, hajatulia, yani sijui nani atamuoa na maneno kibao,, alikuambia anataka kuolewa? Kama sio umbea,, wewe kabla ya kuolewa hukuwa single lady? Huyo mumeo ulimtengeneza mwenyewe au na yeye alikuwa wa fulani, basi tu kaona unamfaa sana ndo akaamua kukuchukua muishi maisha yenu? Basi ndo mtoto wa kike jiamini, muache single lady wa watu na maisha yake, malaya yeye, anataka wa ume za watu yeye, inakuhusu nini? Wewe mumeo si unaye ndani si umfanye asiende bar, si umfanya asiwe na hao single lady? Sio vizuri kabisa, wewe kupata mume usifikiri kila mtu ana hobie ya kuolewa, mume bongooo!!!!!!!11

kuna zaidi ya hiki ulichoandika behind the scene........NIMEELEWA ZAIDI YA HIKI.
ILA NI USHAURI MZURI KWA WALE WANAOHISI KUOLEWA NDO KILA KITU, HASA WASIOJIAMINI KWENYE NDOA ZAO!
 
Back
Top Bottom