Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Vizuri havidumu; dunia ya leo kuna kiongozi aliyebaki ambaye akifa ataliliwa na na watu zaidi ya ukoo wake????

Huko Caracas naona kila mtu anaamini ni sumu aliwekewa na Wamarekani sio?
Ukirudi bongo kusanya Wadada wa huko wanaotafuta kuolewa uwalete huku lol
unaweza anzisha an agency lol
 
Asprin eti mimi mtu wa wapi!?

Ndio maana mnabaki single kwa makosa madogo madogo kama haya
mwanaume anakuuliza maswali,unaita mwanaume mwingine ajibu..
unabaki kujiuliza
alieitwa ndio mume?buzi?au mgegedaji wa wikiendi?
halafu unashangaa watu wanakosa appetite ya kuleta posa lol
 
Ha ha ha ha..Hii kali ya kulalia..Naona umenipa makavu live hutaki kuremba..mweee..nimekomaje leo??
Anyway noted and thanks..Nitafanyia kazi hilo..
 
Huwa sielewi saana inaposemekana kunaongeza heshima.

Labda mtu akisema inaongeza 'security Ýa mahusiano'

Mbona kuna watu wameoa/olewa na wana heshima F?

kuolewa si lazima japo kunaongeza heshima...........................
 
Huwa sielewi saana inaposemekana kunaongeza heshima.

Labda mtu akisema inaongeza 'security Ýa mahusiano'

Mbona kuna watu wameoa/olewa na wana heshima F?

Si tuna genralize jamani.... wajua tunapoongelea heshima ni kwamba kuwa na familia ambayo ina mke na mume ni heshima mbele ya macho ya watu inawezekana wao hawaelewani wana ugomvi na kuna mengi yanaendelea lakini ni siri yao mbele ya macho ya watu haa wanaonekana watu safi hii ndiyo heshima ninayoongelea.

Kongosho umesahau msemo wa wengi wape. kama ndoa nyingi zina heshima basi tunasema kuoa au kuolewa kunaongeza heshima hata kama zipo chache ambazo heshima ni F.
 
Wewe unaona soko Bongo tayari liko saturated afu unanishauri nilete warembo...unataka nirogwe wewe.

Huko Caracas naona kila mtu anaamini ni sumu aliwekewa na Wamarekani sio?
Ukirudi bongo kusanya Wadada wa huko wanaotafuta kuolewa uwalete huku lol
unaweza anzisha an agency lol
 
Wewe unaona soko Bongo tayari liko saturated afu unanishauri nilete warembo...unataka nirogwe wewe.

Yaani ukileta wadada wa Venezuela
hata ukiwaokota machokoraa huko
wakija Tz ni 'habari nyingine'
soko huria hili usiogope lol
 
AshaDii umemaliza.Kuolewa ni muhimu.Kwa sababu ya biolojia zetu tulivyoumbwa.vinginevyo wengi wanaibia.wameolewa au kuoa isivyo rasmi nikimaanisha wanaishi maisha ya kindoa pasipo baraka za Mungu au jamii kwenye.ndoa za mitala.Yamkini kwa kutambua hili ndio maana wenzetu waislamu walitambua kuoa wake wanne.Wakristo wengi wameoa zaidi ya mke mmoja kinyemela..

Kwenye blue, ni ngumu kuthibitisha. Viapo vyao vya ukweli walivyopeana na uaminifu wao kati yao, wanaweza wakapata baraka za Mungu kuliko wale waliofungishwa ndoa na aina ya pastor/mchungaji kama huyu hapa chini:

Utapeli kwa jina la Mungu sehemu ya tatu - YouTube
 
Back
Top Bottom