Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
ahaaaaa haki nitakufa mbavu zangu mie huyo small house ananiacha hooi
NSSF mujini
kama hujuwi
ahaaaaa haki nitakufa mbavu zangu mie huyo small house ananiacha hooi
wewe unapanulia wapi ?nimemuambia mwanamuke NSSF mjini mushahara hata kupanua miguu anapata.
yeye haelewi mie namuwacha final muzeeni
wewe unapanulia wapi ?
alichomaanisha eti kuna huyo mwanamke hafanyi kazi,hajishugulisha yeye ni golikipa
kazi yake ni kumpikia mume chapati na chapati zenyewe zimeungua..
narudia tena mwanamuke nssf
Kweli tuko hili ni janga la kitaifa....ila kuolewa sio lazima kila mtu na maisha yake.ila hapa bongo usipoolewa bana ooohhh cha moto utakiona hasa hawa mrs fulani bwana wakimuona mdada wa watu msingle lady, basi roho inakuruka,, oo huyu malaya kazi yake kutafuta waume za watu, hana mbele wala nyuma, hajatulia, yani sijui nani atamuoa na maneno kibao,, alikuambia anataka kuolewa? Kama sio umbea,, wewe kabla ya kuolewa hukuwa single lady? Huyo mumeo ulimtengeneza mwenyewe au na yeye alikuwa wa fulani, basi tu kaona unamfaa sana ndo akaamua kukuchukua muishi maisha yenu? Basi ndo mtoto wa kike jiamini, muache single lady wa watu na maisha yake, malaya yeye, anataka wa ume za watu yeye, inakuhusu nini? Wewe mumeo si unaye ndani si umfanye asiende bar, si umfanya asiwe na hao single lady? Sio vizuri kabisa, wewe kupata mume usifikiri kila mtu ana hobie ya kuolewa, mume bongooo!!!!!!!11