Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Wadada msidanganyike mkaingia katika ndoa kwa pressure zisizo na maana, tulieni, jiheshimuni, ingieni katika ndoa kwa umakini na mtaishi vizuri. Isipotokea endeleeni kujiheshimu na mtaheshimika sana kuliko kuingia kwa kudai kuondoa nuksi na ndoa isiyo na malengo
 
Katika ulimwengu wa sasa kuolewa dili sana. Wadada wengi sana huwaza kuolewa hata wengine wanakuwa bado o-level lakini wanawaza wakifikia age fulani wawe wameolewa.
 
nina miaka 29,na swala la ndoa naliona sio bahati yangu i mean sijioni nikiolewa in next five years,siingii ng'o mpaka niwe nimekamilisha mipango ya shule which will take me five years............:tape2:
 
afu part time wapo wa kutosha tu , sio ishu sana ndoa zenyewe za crush programme
Ndiooooooooooo, nafikiri tuliosema ndio tumeshinda na tupo wengi tu, kama huamini nitaku-pm uone. Ahsanteeeeeeeeeeeeeee. Halafu wewe Lindu Linduuuu kaa chini nimekusikia.
 
Wakifika umri wa miaka 30 hadi 32 pressure huwakubwa sana nawakifika miaka 34 wanakata tamaa.
 
Ndoa ni kitu kizuri sana mki match,, I am 27 kasoro but mda si mrefu naingia kwenye ndoa na I believe devorce nitaisikia kwa watu tu.. My mind is ready for that na nataman siku ifike haraka
 
Mungu akikujalia ukaolewa ni jambo zuri.ila kama hujajaliwa isiwe sababu ya kujirahisisha kwa wanaume .Na siku hiz wanaume niwajanja kweli wanatumia huo huo udhaifu wa wasichana kuwamega na kuwahacha,cha msingi kwa msichana ni kujihimarisha kiuchumi
 
upo sahihi, but inategemea ni level ipi ya elimu unayoizungumzia mdada ! for me i think unazungumzia masters au phd at the age 0f 34 , psychologically 4 u it will be ok , but tegemea stress zaidi
 
hahhha wanawake ambao wanataka kuwa wake lazima wa waze sana lakini kwa hawa wa digitally ambao wanagegedwa daily haiwezi kuwa tatizo kwao

yan mzabzab...comments zako huwa nacheka sana kama hujaweka mtu kugegedwa basi wewe kugegeda!! Lol haya bana...et wadada digitaly hahahahah lol
 
Last edited by a moderator:
et ndo crsh program..watu mnavibonzo...hahahah
 
Mama alinambia wanaume hawaishi,Elimu ndio ngao yako.

kwani hiyo elimu inaisha?
 
nina miaka 29,na swala la ndoa naliona sio bahati yangu i mean sijioni nikiolewa in next five years,siingii ng'o mpaka niwe nimekamilisha mipango ya shule which will take me five years............:tape2:
kwa umli wako unaweza kufanya shule na ndoa simultaneously
 
Ndoa ni kitu kizuri sana mki match,, I am 27 kasoro but mda si mrefu naingia kwenye ndoa na I believe devorce nitaisikia kwa watu tu.. My mind is ready for that na nataman siku ifike haraka

hongera mwaya. Kweli ukiamini hivyo talaka utaiskia kwa majirani tu.
 
wadau nimekuwa nikisikia ya kwamba msichana akiwa ameshafika miaka 25 au na zaidi lakini akiwa bado hajaolewa mara nyingi huwa anakuwa ni mtu mwenye wa kuwaza sana juu ya swala la yeye kuolewa. je hili jambo lina ukweli?

CC. Smile, Smiles
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom