Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

Zina mahitaji.Kwanza tendo la ndoa ni muhimu tena ni takatifu unless wewe ulizaliwa towashi kama paulo.Pili nafsi zetu zinahitaji Upendo hasa wa mme au mke(to love and to be loved).Utasema kuna ndugu lkn haitoshi..
hii thread inaniboa kwaherini!
 
The mere fact ume acknowledge there is a God then u have negated all that u have said hapo juu. nasema hivyo kwa sababu ndoa imeletwa na Mungu hivyo basi kuna umuhimu wakuwa katika ndoa for both men and women. hilo lazima tulikubali.

kutokana na hali ya ulimwengu wa sasa, kweli unaweza kusema kuwa ni vyema basi mtu ubaki kuwa single ili kukwepa manyanyaso na mambo ambayo umetaja hapo juu. ila sasa swali lipo hapa; je ni wanaume wangapi na wanawake wangapi wanaweza kuremain single bila kuwa kgegedana? kama umeamua kuwa single basi wewe sahau mambo ya kugegedana hapo kweli tutakuona wewe una msimamo. tusiwe na double standards za ulimwegu huu ambapo kuwa na gf/bf na kugegedana ni kitu cha kawaida. its wrong machoni kwa Mungu. kegegedana was meant kufanyika baina ya wanandoa tuu. so all in all desire ya wanawake kuolewa wala sio kitu cha kuwalaumu wanawake....its nature we have to accept that.

Sina uhakika imani yako kwa Mungu ime-base kwenye kitabu gani... but sio vibaya niki-quote maneno machache kutoka kwenye bibilia ambayo ni base ya imani yangu...

"..Je umeoa? usiachane na mkeo, wewe hukuoa? usitake kuoa. ....na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaokuwa wameoana watapatwa na matatizo ya dunia hii..." Mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34
 
sio nasema i have seen living examples....watu hawawezi bwana kuanza kukutusi kuwa unatafuta waume za watu kama kweli wewe umetulia bibie humgusi mwanaume wala kumjua yukoje. tatizo ladies and men choose the single lifestyle but cant accept the consequences of their choices.

wewe kama hii ingekuwa facebook basi ningekutafuta nikupe zawadi,

its true kwa ulichokiandika

receive my like
 
Sina uhakika imani yako kwa Mungu ime-base kwenye kitabu gani... but sio vibaya niki-quote maneno machache kutoka kwenye bibilia ambayo ni base ya imani yangu...

"..Je umeoa? usiachane na mkeo, wewe hukuoa? usitake kuoa. ....na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaokuwa wameoana watapatwa na matatizo ya dunia hii..." Mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34

sawa tena bora kabisa umetoa quote toka bible further validating my statement.." Mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34

sasa hapo kwenye red...ni wanwake wangapi single wanafanya hivyo? wengi wao uishia kujitolea mwili na roho kwa wanaume. na pia mke kuolewa na kumridhisha mumewo ni sehemu ya ndoa. haimanishi kwamba huyu mwanamke hatamtumikia Bwana bali kinachomaanishwa ni kwamba hawezi kumtumikia Bwana to the same extent as an umarried woman would due to the responsibilities towards her husband.
 
Kweli tuko hili ni janga la kitaifa....ila kuolewa sio lazima kila mtu na maisha yake.ila hapa bongo usipoolewa bana ooohhh cha moto utakiona hasa hawa mrs fulani bwana wakimuona mdada wa watu msingle lady, basi roho inakuruka,, oo huyu malaya kazi yake kutafuta waume za watu, hana mbele wala nyuma, hajatulia, yani sijui nani atamuoa na maneno kibao,, alikuambia anataka kuolewa? Kama sio umbea,, wewe kabla ya kuolewa hukuwa single lady? Huyo mumeo ulimtengeneza mwenyewe au na yeye alikuwa wa fulani, basi tu kaona unamfaa sana ndo akaamua kukuchukua muishi maisha yenu? Basi ndo mtoto wa kike jiamini, muache single lady wa watu na maisha yake, malaya yeye, anataka wa ume za watu yeye, inakuhusu nini? Wewe mumeo si unaye ndani si umfanye asiende bar, si umfanya asiwe na hao single lady? Sio vizuri kabisa, wewe kupata mume usifikiri kila mtu ana hobie ya kuolewa, mume bongooo!!!!!!!11

Zina mahitaji.Kwanza tendo la ndoa ni muhimu tena ni takatifu unless wewe ulizaliwa towashi kama paulo.Pili nafsi zetu zinahitaji Upendo hasa wa mme au mke(to love and to be loved).Utasema kuna ndugu lkn haitoshi..

Tukubaliane kitu kimoja tu kwamba sio wote ambao hawajaolewa hadi umri umevuka, basi 'hawana sifa stahiki', na sio wote walioolewa ni wenye tabia super...
 
Kweli tuko hili ni janga la kitaifa....ila kuolewa sio lazima kila mtu na maisha yake.ila hapa bongo usipoolewa bana ooohhh cha moto utakiona hasa hawa mrs fulani bwana wakimuona mdada wa watu msingle lady, basi roho inakuruka,, oo huyu malaya kazi yake kutafuta waume za watu, hana mbele wala nyuma, hajatulia, yani sijui nani atamuoa na maneno kibao,, alikuambia anataka kuolewa? Kama sio umbea,, wewe kabla ya kuolewa hukuwa single lady? Huyo mumeo ulimtengeneza mwenyewe au na yeye alikuwa wa fulani, basi tu kaona unamfaa sana ndo akaamua kukuchukua muishi maisha yenu? Basi ndo mtoto wa kike jiamini, muache single lady wa watu na maisha yake, malaya yeye, anataka wa ume za watu yeye, inakuhusu nini? Wewe mumeo si unaye ndani si umfanye asiende bar, si umfanya asiwe na hao single lady? Sio vizuri kabisa, wewe kupata mume usifikiri kila mtu ana hobie ya kuolewa, mume bongooo!!!!!!!11

sawa tena bora kabisa umetoa quote toka bible further validating my statement.." Mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34

sasa hapo kwenye red...ni wanwake wangapi single wanafanya hivyo? wengi wao uishia kujitolea mwili na roho kwa wanaume. na pia mke kuolewa na kumridhisha mumewo ni sehemu ya ndoa. haimanishi kwamba huyu mwanamke hatamtumikia Bwana bali kinachomaanishwa ni kwamba hawezi kumtumikia Bwana to the same extent as an umarried woman would due to the responsibilities towards her husband.

Ni kweli mkuu... but unaweza kurecall Sara alipokosa mtoto alimruhusu mumewe Abrahamu alale na Mjakazi Rahel ili apate mtoto? Unadhani kwa nini Rahel alikubali kulalwa na Abrahamu wakati hakuwa mke wake?
 
kwa hiyo unashauri wanawake wenye kipato cha juu wasiolewe,wasitengeneze familia zao. vipi kuhusu mahitaji ya kimwili wawe uzauza...umewai kumuona mwanamke alieenda miaka hajaolewa na hana mtoto anavyohangaika.!!
 
Hapana. Sishauri wanawake wasiolewe (whether wana kipato au hawana). Nashauri wanawake wasilazimishe kuolewa hata kama upendo haupo, ili tu watimize hitaji la kuolewa...
 
Kuoa ama kuolewa siyo lazima. Na kutokuoa ama kutokuolewa si makosa.

Watu waache kuwa judgmental.
bahati mbaya sana ukimwi ndo unawamaliza walioa sijui ndoa zina virusi vya ukimwi?
 
Ni kweli mkuu... but unaweza kurecall Sara alipokosa mtoto alimruhusu mumewe Abrahamu alale na Mjakazi Rahel ili apate mtoto? Unadhani kwa nini Rahel alikubali kulalwa na Abrahamu wakati hakuwa mke wake?

mhm mwana nisidanganye ujuzi wangu wa holy scripture ni finyu kuweza kujibu hilo
 
mzabzab hata mimi nisingekuwa na shida wanaoamua kuishi kama single maisha yao yote kama wangekuwa wanatekeleza amri ya Mungu, in reality many of them they do violate the God's principle. Ndugu Tuko kuna hoja unataka kuijenga lakini haina mashiko. Ila mada ni nzuri hongera

Back
Top Bottom