Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

Ajiuzulu? Uliona wapi walamba asali wakajiuzulu? Akale wapi? You must be joking
Kwamba anataradadi kwenye buyu la asali.....basi ngoja tuendelee na kibwagizo chetu @rasimu ya warioba iwekwe mezani tuandike katiba mpya.
 
Wamejifutia wao tuu maana sisi wengine hata kadi za bank hatuna tuna simu itel ya batan na line ya mtandao ko tunaona mauza uza watuangalie na sisi tunaweka viakiba kwenye simu

Hivi ile clip ya kulalamikia makato ni ya Mwigulu...!!!?
Afadhali wewe una itel wenzako wana O King imeshatoka batani wanabofya na kijiti
 
Back
Top Bottom