Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Je, kundi la Lowassa limeshanusa hatari? Maana Nimekuta katika Facebook Ally Bananga wa Arusha, ambaye anafahamika sana kuwa mfuasi wa Lowassa akisema: "akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio, akiuliza umeonaje nawe mwambie unajisikiaje. hakuna nidhamu ya uoga sasa, hakuna kugeuzana mbuzi wa kafara, imetosha, TUMEDHALILISHWA SANA, TUMEONEWA SANA, tumeamua, tunaweza. TULIFURAHI PAMOJA, TUKAHUZUNIKA PAMOJA NA SASA TUNASUKUMA PUSH PAMOJA. Huu utabaki ukweli. naam mushi ni AZIMIO LA DODOMA 2011!!

Ally Bananga Mwatiga3:15pm Nov 20
wapenda haki wote, wanapenda kijani na njano wote, wanaoguswa na tatizo la ajira kwa vijana, wanaotambua thamani ya mtu ni kazi, wanaotambua adabu ya wa kiume ni kutenda na sio kuropoka, wanaoamini rais ajae ni mungu ndie anamjua na sio wale waliosema jakaya anamjua, wanaopuuza kanda zingine wakiamini yao ni bora, wanaoamini ktk maamuzi magumu, MKONO MMOJA WEKA JUUU, WEKA JUUU AAAAH AAAAH NI ISHARA YA USHINDI!"...

Anayedhani kuna heri anajidanganya, hali si shwari
hii ni kali sana
 
Je akijiunga Chadema inakuaje?

EL akijiunga na Chadema itakula kwao maana kama ulivyosema yeye ni SI unit ya ufisadi nchini. Bora astaafu kabisa katika siasa kwani hakuna mtu atamsikiliza zaidi ya wapambe wake Monduli. Chadema wasimpokee hata siku moja. Wakaunde chama chao cha mafisadi yeye, RA, mzee wa vijisenti, Karamagi na wengineo wengi.

Ila naomba mungu Lowassa ashinde CCM maana kama nawaona akina Zitto, Mbowe na Dr Slaa wanachekelea kicheko kikuu maana watapewa rungu la kuwamaliza CCM for good. We need something for a change nchi hii na kama CCM hawajabadilika Change is coming in Tanzania.
 
enl amefanikiwa kuwaaminisha wapinzani wake ndani ya ccm na nje ya ccm
kwamba yeye hagusiki kwani anao wafuasi wengi ndani ya ccm. je aameweza
kumuaminisha hili mwenyekiti wake wa chama?

aidha kale kakijembe alichotoa jk alipozungumza na wazee wa ccm dar kuhusu
kujaribu kuwa dikteta je kaliwalenga wafuasi wa chadema tu au alilenga zaidi ya hapo?
 
give them guns step back and watch them kill each other.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tatizo hapo ni kwamba inawawia vigumu ccm kumpiga chini EL kwa ufisadi kwa sababu yeye anajua kwamba JK naye ni fisadi. Hicho ndo kinachompa nguvu EL, na JK anajua kabisa kwamba EL anaujua ufisadi wake, kwa hiyo akimpiga chini anaweza kumuumbua.
Duh!
Nilishawahi kusema a couple of years ago kuwa ccm wataiteka hii hoja ya ufisadi na naona bado wanaendelea na jitihada hizo.

Hata hivyo hii movie popcorns muhim...
 
UkabiLA? Utasabisha EL na ws wakose kura yangu!
Mkuu kuna kitu ujaelewa.Ukabila hauletwi na wafuasi wa Lowassa bali na watu wasimwunga mkono.Wanaona kizuizi ni kuleta siasa za ukanda.
 
Je, kundi la Lowassa limeshanusa hatari? Maana Nimekuta katika Facebook Ally Bananga wa Arusha, ambaye anafahamika sana kuwa mfuasi wa Lowassa akisema: "akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio, akiuliza umeonaje nawe mwambie unajisikiaje. hakuna nidhamu ya uoga sasa, hakuna kugeuzana mbuzi wa kafara, imetosha, TUMEDHALILISHWA SANA, TUMEONEWA SANA, tumeamua, tunaweza. TULIFURAHI PAMOJA, TUKAHUZUNIKA PAMOJA NA SASA TUNASUKUMA PUSH PAMOJA. Huu utabaki ukweli. naam mushi ni AZIMIO LA DODOMA 2011!!

Ally Bananga Mwatiga3:15pm Nov 20
wapenda haki wote, wanapenda kijani na njano wote, wanaoguswa na tatizo la ajira kwa vijana, wanaotambua thamani ya mtu ni kazi, wanaotambua adabu ya wa kiume ni kutenda na sio kuropoka, wanaoamini rais ajae ni mungu ndie anamjua na sio wale waliosema jakaya anamjua, wanaopuuza kanda zingine wakiamini yao ni bora, wanaoamini ktk maamuzi magumu, MKONO MMOJA WEKA JUUU, WEKA JUUU AAAAH AAAAH NI ISHARA YA USHINDI!"...

Anayedhani kuna heri anajidanganya, hali si shwari
Mkuu Halisi, usisahau kuwa haya ni meno ya mbwa, kamwe hayaumani
 
Nape hafai kuwa Katibu Mwenezi wamfanyie Recruitment Job Lusinde...............................!!
Lowassa hawamuwezi yaani itakuwa balaaaa.......!
 
Nape hafai kuwa Katibu Mwenezi wamfanyie Recruitment Job Lusinde...............................!!
Lowassa hawamuwezi yaani itakuwa balaaaa.......!

Nasikia kapu la UKILAZA lilimwangukia huyu bwana >LUSINDE toka kwa shetani..!!
 
Nape hafai kuwa Katibu Mwenezi wamfanyie Recruitment Job Lusinde...............................!!
Lowassa hawamuwezi yaani itakuwa balaaaa.......!

Kamanda..!! tangu 2008 we ni member tu???duh, safi sana!! hata u-junior member hujaukwaa bado.
 
CCM ikiwavua gamba watuhumiwa wa ufisadi lazima ife,ingawa hata isipowavua itakufa
 
Mkuu Halisi, usisahau kuwa haya ni meno ya mbwa, kamwe hayaumani
Mkuu Mpita Njia, soma haya maneno ya wafuasi wa Lowassa utajua upepo ukoje kama huyu anayesema kama noma na iwe noma;

Ally Bananga Mwatiga5:08pm Nov 20
beno dada grace namuona kaka MALEMA. ila hatupendi the way THEY ARE DRIVING US. napenda chama changu napenda watu waseme ukweli. kama mtu ana kosa SHERIA HAKUNA? MAHAKAMA HAKUNA? KAZI KUCHAFUANA NA KUAMBIANA YASIYOFAA? HAPANA tumechoka na tumechoka kiukweli. wasambaa wanasema KAMA MBWAI MBWAI!
Comment History

Grace John ChademaMkombozi4:54pm Nov 20
Ally Bananga Mwatiga kuna kipindi huwa unakuwa MKWELI sana kaka sijui huwa wanakulisha nini mpaka unageuka geuka? nimeupenda ukweli uliousema humu, msalimie BENNO

Ally Bananga Mwatiga4:13pm Nov 20
na uadilifu mzuri ni ule usio na unafki moyo. NI JAMBO LA KUSUBIRI ZAIDI
View All Comments
Original Post

Ally Bananga Mwatiga2:43pm Nov 20
hahahaaa dodoma! aidha IPASUKE, ICHANIKE AU IUNGANIKE. yap watu wapo kikazi zaidi!

View Post on Facebook · Edit Email Settings · Reply to this email to add a comment.
 
Dodoma mbona kimya,tuna hamu ya kujua mafisadi wameongea nini?
 
Huyo Bananga kama anapumulia mashine vile.... Inaonekana upepo unawavumia vibaya mafisadi. Yetu macho!
 
una maana lowassa akija chadema hatutampokea? Atakua hana maana? Hatokisaidia chama kama sabodo? Si ana wafuasi wengi wataipandisha chati chadema?

hanajipya cdm atatafuta mwanya wa kuendeleza madudu
 
Back
Top Bottom