ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Na bado wataondoka wengi tu.. its just the beginning...
kodi ni wajibu, hawawezi maana yake hao ni wawekezaj uchwara kama anavyosema Lisu
Na bado wataondoka wengi tu.. its just the beginning...
Wakwepa kodiWadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Majizi CDM.?? Keshakuwa mwenyekiti sasa ndo mtajuwa majizi ya MAKASHFA YOTE yapo wapiHizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..
Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Kwani kuna sheria iliyobadirishwa..?Hivi kuna Mtanzania anaweza kwenda Thailand akawekeza uzalishaji wa chakula cha kuku? Hata chakula cha kuku tunahitaji muwekezaji toka nje ya nchi karne? Huyo aliwekeza kwa vile tulikuwa na sheria za shamba la bibi. Sasa tumestuka na hana budi kukimbia.
KLM walipoondoka Tanzania ilikuwa ni kwa ajili ya VAT?!Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Waafrika ni wajinga lakini Watanzania Ni wajinga zaidi! Mbaya kuliko ni kwamba hatujapata kujifunza chochote kutoka kwa walipotea na sisi tunapita mlemle! Unafurahia wawekezaji kuondoka ! Wakiondoka mtashangaa hata kumshangilia huyu Magufuli hamtaweza.Waondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
ila na sisi watanzania tumejisahau sana yaani hata kazi ya kutengeneza chakula cha kuku tunahitaji wawekezaji toka nje? be serious guys!Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Hee mwanamke unaroho mbaya wwShut up! Subiri mwanaume Dr Magufuli afanye mambo.
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Upo sahihi mkuuWaondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Halafu biashara yenyewe kuuza chakula cha king...what a joke[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakuunga mkonoDaaah unaweza kuwa na wazo zuri ila approach unayotumia ndo mtihani. Kodi ni nzuri ila approach inayotumika inaweza kuwa tatizo
Sa siasa zinatokea wp sasa badala ya kujadili hoja?Hizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..
Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Hujui ulisemalowalipenda dezo waende tu. kwao kwani hawalipi VAT?
Same applies to you bi mdogo shuhulisha akili yako kuyaangalia matukio kwa mapana yake dont be confined on what you read from this post, kila kona ya nchi hii tumetangaziwa kwamba wafanyabishara wengi walikua hawalipi kodi na ushahidi ni pale bandarini na kwengineko. so sio jambo la ajabu kwamba wale waliokuwa hawalipi kodi lazima watambae na sio hao tu hata wa hapa hapa nchini lazima wafunge biashara zao. Nani hajui kwamba kuna maduka ukienda kununua bidhaa unapewa live bei ya kupewa risiti na bei ya bila risiti. Hujiulizi kwa nini wanafanya hivyo? Anyway sikulaumu kwa sababu upeo wako ni hafifu kuweza kujua mambo yanavyoenda kwenye jamii, waachie wengine wewe jishuhulishe na mambo ya saloon may be ndio size yako. Sawa sawa?Saa nyingine hasa ni kiwango cha hiyo VAT. Mfanyibiashara anapoamua kuondoka ujue yamemfika shingoni. Si jambo rahisi kufungasha biashara kama bado unapata faida.
Lazima ufikirie kwa akili na siyo kwa mihemko tu.