Kweli. Inalipwa na MLAJI.VATI INALIPWA NA MRAJI KWANINI KAMPUNI IFUNGWE
Ma nationalists daima upingwa vikali na makuhadi wa unyonyajiKweli. Mfano mwingine mzuri zaidi ni wa Venezuela - nchi tajiri yenye visima vingi vya mafuta mafuta. Kiongozi wao (Maduro) ana tabia hizi hizi tunazozishuhudia ... ukurupukaji, ubabe dhidi ya wapinzani wake, ukanda, uvunjaji wa katiba, u-Mungu mtu, kulaumu wawekezaji & kuwaita wanyonyaji, etc. Matokeo yake wawekezaji wameondoka na mitaji yao, hakuna ajira, hakuna mzunguko wa fedha, serikali haina hela ya mishahara na katoa decree wafanyakazi wa serikali waende kazini siku 2 tu kwa wiki, biashara zimesimama na hamna bidhaa madukani - badala yake akiamka vizuri anaamua mipaka ya nchi ifunguliwe ili watu wakafanye shipping Colombia. Na sisi inaonekana tunaelekea huko huko
Mkuu,Nchi zilizoendelea, kwa kodi heri hata kwetu hapa.
Mwaumbie huyo mwekezaji awasiliane nami tufunge mkataba wa "LEVERAGE BUY OUT"Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Chakula cha kuku?Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Halafu biashara yenyewe kuuza chakula cha king...what a joke[emoji12] [emoji12] [emoji12]Halafu faida yote anahamishia nje.
Mkuu umemjibu vizuriWaondoke tu, hatuhitaj wanyonyaji. Waende uingereza au USA wakawekeze tuone kama hawatatozwa kodi
Waambie wakawasalimie kwao.........Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
In vain wakati mambo yameshaanza kwenda mrama?!
Eti walikuwa wanakwepa kodi?Hizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..
Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Halafu biashara yenyewe kuuza chakula cha king...what a joke[emoji12] [emoji12] [emoji12]