Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

hahaha mkuu Oslo nimekaa kaa kidogo Jeg har bodd i henofoss i to uker i 2011, men tilbringer mye tid i Bergen og Trondheim b4 goin back to Copen was doing dishwashing and cleaning. You must know this people Tenga, Mohamed Semboja Nasib mwanukuz
Hao jamaa nawafahamu sana. Nasibu anajiita Ras Nas. Ni watu maarufu sana Oslo. Kuna chama cha wabongo pale. Nimefanya kazi Trondheim, Kristiansand, Alesund na Oslo.
 
New Zimbabwe is around the corner!
mkuu umeona mbali..
Mogabe alifikia hatua akawanyang'anya wawekezaji hadi mashamba ya chakula..
akagawa kwa wapenda bure..
wapenda dezo hao wakashangilia wakamuita Mogabe shujaa..
leo maboya haohao hawamtamani..
wamegundua dingi alikurupuka..
 
Hao jamaa nawafahamu sana. Nasibu anajiita Ras Nas. Ni watu maarufu sana Oslo. Kuna chama cha wabongo pale. Nimefanya kazi Trondheim, Kristiansand, Alesund na Oslo.
mkuu dah sasa trondheim ndio kwenyewe nitapata stroke kama umfaham Komba na Chagula Tutatafutana inbox mkuu. Ila Norwegians wameanza kupanic kidogo wese ilivyoshuka bei na kroner kushuka thaman ila those people are completely well off. The only thing I like Norway are those breathtaking scenery fjord and the tunnels. Wapi sasa hiv? Dah had nickname yake aisee rad nas
 
mkuu dah sasa trondheim ndio kwenyewe nitapata stroke kama umfaham Komba na Chagula Tutatafutana inbox mkuu. Ila Norwegians wameanza kupanic kidogo wese ilivyoshuka bei na kroner kushuka thaman ila those people are completely well off. The only thing I like Norway are those breathtaking scenery fjord and the tunnels. Wapi sasa hiv?
Kabisa. Wale jamaa wananuka jeuri ya utajiri. Wana pesa si kitoto.
 
CPF sidhani kama wako serious kwa kuamua kuhama labda jungu! Wanawekeza na mbunge silvesta koka lakini wanawekeza kijanjakijanja sana. Walipe ama waondoke....TZ tumedhamiria kutajirika
 
Afadhali waondoke, HATA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU TUNATEGEMEA WAWEKEZAJI?? Ni Nani aliyetuloga ndg zangu??

Waondoke na kwenye madini KOTE watuachie nchi yetu tuhangaike nayo wenyewe!!! Tusitishane wakati hao WAWEKEZAJI wengine ndio hufurahia hali yetu iwe MBAYA daima. Wanatamani tulale daima!!! It's over! We want back our country!!! Ethiopia did this and now their economy is among the best in Africa.

MVUMILIVU HULA MBIVU!! Tuvumilie nchi iwekwe vizuri!!!!

Queen Esther

Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
 
thailand wezi wakubwa hao, walishamuibia hata Ong Bak tembo wake
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja tujionee sasa
 
Hujielewii sina jinsi ya kukusaidia!!!
Afadhali waondoke, HATA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU TUNATEGEMEA WAWEKEZAJI?? Ni Nani aliyetuloga ndg zangu??

Waondoke na kwenye madini KOTE watuachie nchi yetu tuhangaike nayo wenyewe!!! Tusitishane wakati hao WAWEKEZAJI wengine ndio hufurahia hali yetu iwe MBAYA daima. Wanatamani tulale daima!!! It's over! We want back our country!!! Ethiopia did this and now their economy is among the best in Africa.

MVUMILIVU HULA MBIVU!! Tuvumilie nchi iwekwe vizuri!!!!

Queen Esther
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Waende tu,biashara imekuwa ngumu,watu wanasaga na kuchanganya mtaani wanaongeza na virutubisho mambo yanakwenda
Kodi ni suala la kufa na kupona
 
Wazawa wanaweza kuwekeza kwa mtaji wa zaidi 500m? Sikia tu kwenye mtandao!!! Tulijaribu tumeishia kwenye maneno na lawama!!! Hatuwezi!!! Interchick wapo hapa miaka zaidi 20 hakuna mshindani! Zapoco walishindwa miaka zaidi ya 30!!! Acha na porojo za mtandao!! Hakuna mwekezajii!!!!
Afadhali waondoke, HATA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU TUNATEGEMEA WAWEKEZAJI?? Ni Nani aliyetuloga ndg zangu??

Waondoke na kwenye madini KOTE watuachie nchi yetu tuhangaike nayo wenyewe!!! Tusitishane wakati hao WAWEKEZAJI wengine ndio hufurahia hali yetu iwe MBAYA daima. Wanatamani tulale daima!!! It's over! We want back our country!!! Ethiopia did this and now their economy is among the best in Africa.

MVUMILIVU HULA MBIVU!! Tuvumilie nchi iwekwe vizuri!!!!

Queen Esther
 
walipenda dezo waende tu. kwao kwani hawalipi VAT?

Sikubaliani NA baadhi ya mambo katika serikali hii ya awamu ya tano, lakini kwa hili LA vat naiunga mkono mia kwa mia! Kule kwap wanalipa kodi NA tozo mbalimbali, halafu wanataka kuifanya Tanzania iendelee kuwa shamba LA bibi, haiwezekani! Waondoke tu! Hawana tija kwa taifa letu!
 
Amerika watoa shs bl mia nane jana kusaidia maendeleo tz.
Wawekezaji katika migodi ya dhahabu wanachua mchanga kupeleka nje alafu wewe unafurahia msaada huku ni kupungukiwa.Serikali ilituma tume kwenda mpaka JAPAN kwenye kiwanda kinacho chakata mchanga wa migodi ya dhahabu tume ilikataliwa kuingia kiwandani hivyo tusisheherekee misada bali tulie na mikataba mibovu.
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Waondoke tu a aka fugue kwao kama hawatalipa kodi
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Ni mjinga tu Na mchoyo ndiyo Au mwizi atakuja kuwekeza Tanzania! Ndiyo maana wawekezaji wetu wengi Ni petty Indians, Chinese etc
No value of your money!!
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
BTW wewe hujui hata kutengeneza chakula cha kuku? Hadi utengenezewe na Mthailand
 
Back
Top Bottom