Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Kabla ya hapo ilikuw hivyo sasa wanawalipisha wazalishaji....wameshindwa wanafunga kiwanda! Tufikirie wafanyakazi wa kiwanda...wafugaji woote wa kuku.....walijiajiri kwa chai nzima hapo wamekuwa job less
Akiondoka chukua fursa maana hvyo viwanda hata mtanzania yoyote yule anaweza kuzifanya ,hata na hivyo vyati analipa mteja wa mwisho na si mwekezaji
 
Kwani wakati anatengeneza hicho chakula alikuwa anagawa bure au biashara?
 
Kati ya post ambayo watanzania tumeungana kwa pamoja ni hii
Jamani inatakiwa tufutahi tunapoona mnyonyaji kaondoka kama alikuwa halipi kodi na mfuko wa kilo 50 alikuwa anauza elfu60 halafu halipi kodi hatufai kabisa huyo....!!
 
Wakwepa kodi na wale wawekezaji wa kupitia njia za panya ni lazima waondoke. Nchi itabaki na clean investors. Ni rough way ila will late be smooth.
 
Hivi unajua kwanini Google, Microsoft, Facebook na makampuni mengine mengi tu makubwa hayalipi kodi ya maana Ulaya?
Kama wewe unatoza kodi kubwa wakati wenzako hawatozi wafanyabiashara wanakimbilia huko.

Hizo kodi zote unazozisema ni kweli zipo ila nyingi zimelenga kwa mtu mmoja mmoja sababu ni kwamba huyo mtu mmoja hawezi kuhama kutoka nchi moja kwenda nyingine. Pia mtu mmoja hana accountants wa kusaidia kukwepa kodi.

Logic behind ni kwamba bora haya makampuni yasilipe kodi lakini wakati huo huo yana create businesses mbalimbali na kutoa ajira nyingi. Ukijumlisha hivyo vyote serikali inapata faida kubwa kuliko hayo makampuni yakiondoka.

Kwa taarifa yako mimi ni mlipaji wa hizo kodi kwasababu sio tu nimekaa Ulaya bali bado nakaa na kufanya kazi huko.
Kampuni zikikimbia, serikali sio tu inakosa pesa za kodi za kampuni hizo bali hata pesa za kodi za wafanyakazi na pesa za kodi kwenye materials wanayotumia pamoja na vifaa vingine.
Nimekaa Ulaya, kodi huko ni kiboka na hakuna ukwepaji maana its a controlled economy.
Sweden VAT ni 25%
Income Tax 0% kwa wasiojiweza/masikini , lakini mishahara ya kawaida from 31%-56% ya mshahara
Kama unatoa zawadi kuna Gift Tax
Kama una property vile vile ipo Property Tax, na kama una state kuna Estate Tax
Kama mtu tajiri amekufa na kurithisha mali yake kwa mtoto kuna Inheritance Tax
 
Uwongo. ...kwa siku ya leo tu nimeshuhudia wawekezaji 5.... katika shughuli zangu!
 
...bora haya makampuni yasilipe kodi lakini wakati huo huo yana create businesses mbalimbali na kutoa ajira nyingi. Ukijumlisha hivyo vyote serikali inapata faida kubwa kuliko hayo makampuni yakiondoka...
Akili za mwendokasi.
 
Hizi habari ndio huwa Furaha kwa majizi Chadema..

Kwa taarifa yenu hata abaki muwekezaji mmoja nchi nzima lazima alipe kodi
Chadema haijawahi kuwa madarakani kualika wawekezaji hivyo unaongea bila kifikiria utaendup kumtukana waziri fulani.
 
Hawataki kulipa kodi tunawatakia safari njema na Mungu awatangulie.
 
Back
Top Bottom