Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Nimeishi Bangkok kwa taarifa yako hadi Malaya mitaa ya silom kwenye madanguro maarufu ya patpong hulipa kodi. Si mama ntilie hadi taxi meter. Acha waende. Kule kupewa risiti ni lazima
 
Sio wawekezaji. Tu hata benki kukopa sasa tutaisoma, riba juu.
 
Wameona kwa uzalishaji wao haitawalipa sawa ni kawaida ktk biashara za kileo.
 
Hivi unajua kwanini Google, Microsoft, Facebook na makampuni mengine mengi tu makubwa hayalipi kodi ya maana Ulaya?
Kama wewe unatoza kodi kubwa wakati wenzako hawatozi wafanyabiashara wanakimbilia huko.

Hizo kodi zote unazozisema ni kweli zipo ila nyingi zimelenga kwa mtu mmoja mmoja sababu ni kwamba huyo mtu mmoja hawezi kuhama kutoka nchi moja kwenda nyingine. Pia mtu mmoja hana accountants wa kusaidia kukwepa kodi.

Logic behind ni kwamba bora haya makampuni yasilipe kodi lakini wakati huo huo yana create businesses mbalimbali na kutoa ajira nyingi. Ukijumlisha hivyo vyote serikali inapata faida kubwa kuliko hayo makampuni yakiondoka.

Kwa taarifa yako mimi ni mlipaji wa hizo kodi kwasababu sio tu nimekaa Ulaya bali bado nakaa na kufanya kazi huko.
Kampuni zikikimbia, serikali sio tu inakosa pesa za kodi za kampuni hizo bali hata pesa za kodi za wafanyakazi na pesa za kodi kwenye materials wanayotumia pamoja na vifaa vingine.
Mkuu siyo hivyo kabisa.
Makampuni kama uliyoyataja huwa waajiri Tax Consultants ambao kazi yao kubwa ni kutafuta na kuzitumia tax loopholes ambazo ni legal.
 
Aisee ... wewe ni mpuuzi..

1. Kodi ya VAT analipa mteja sio mwekezaji.
2. Kodi inayomhusu mwekezaji ni zingine ikiwepo corporate tax etc.

Jifunze kabla ya kuandika.
 
Acha waondoke tu mana hamna namna! Walizoea dezo
 
Ndugu zetu walioajiriwa zaidi 200 na chain nzima ya wafugaji kuku...wauza chakula kuku na wanunuzi ni wenzetu lakini!! Kabla kodi ilitakiw iwe kwa mnunuzi wa chakula kuku sio wazalishaji!! Wame impose baada ya Magu kukomaaa!! Wanafunga kiwanda! Sifa itaenea kwa wawekezaji wengine watakuja? Nani atajenga viwanda? Tuangalie kwa upana wake! Sio siasa hii jamanii!!!!
Nimeishi Bangkok kwa taarifa yako hadi Malaya mitaa ya silom kwenye madanguro maarufu ya patpong hulipa kodi. Si mama ntilie hadi taxi meter. Acha waende. Kule kupewa risiti ni lazima
 
Kweli. Mfano mwingine mzuri zaidi ni wa Venezuela - nchi tajiri yenye visima vingi vya mafuta. Kiongozi wao (Maduro) ana tabia hizi hizi tunazozishuhudia ... ukurupukaji, ubabe dhidi ya wapinzani wake, ukanda, uvunjaji wa katiba, u-Mungu mtu, kulaumu wawekezaji & kuwaita wanyonyaji, etc. Matokeo yake wawekezaji wameondoka na mitaji yao, hakuna ajira, hakuna mzunguko wa fedha, serikali haina hela ya mishahara na katoa decree wafanyakazi wa serikali waende kazini siku 2 tu kwa wiki, biashara zimesimama na hamna bidhaa madukani - badala yake akiamka vizuri anaamua mipaka ya nchi ifunguliwe ili watu wakafanye shopping Colombia. Na sisi inaonekana tunaelekea huko huko

Msiwe watu wa kulaumu kila jambo linalofanyika mtakuwa binadamu wa ajabu sana.

1. Wakati Mhe Kikwete alipokuwa madarakani mlipiga kelele sana
kuhusu suala la ukusanyaji wa Kodi kila mtu akimlaumu Rais
kuwa hayuko makini na ukusanyaji pia hata kile kilichokusanywa
matumizi yake yakawa hayaeleweki.
Kaja Mhe Magufuli sasa anafuatilia haya mambo ya ukusanyaji
wa kodi heee mmeanza hooooo huyu Dikteta mbona hatuwaelewi
 
Wamezaliwa na midomo, na walio na midomo mikubwa wote wako Ukawa.
Inabidi JPM aanzishe kodi ya matumizi ya midomo hiyo.
 
wa kodi heee mmeanza hooooo huyu Dikteta
mbona hatuwaelewi

Kwani kukusanya kodi lazima uwe dikteta?

Wamezaliwa na midomo, na walio na midomo mikubwa wote wako Ukawa.
Inabidi JPM aanzishe kodi ya matumizi ya midomo hiyo.

Heri yako wewe uliyezaliwa bila mdomo & kichwa ...
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Kwahiyo kampuni zote zitakazofunga uzalishaji sababu itakuwa VAT?
Ndugu acha kukurupuka na taarifa zilizojaa ushabiki. VAT haiwezi kusababisha kampuni ifungwe. Kwanza mlipaji sio kiwanda.
 
Back
Top Bottom