Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Kimbembe cha VAT: Wawekezaji wanaondoka!!

Halafu faida yote anahamishia nje.
Mkuu hawa jamaa ni nouma sanaaa uliza jamaa wa pale JNIA jinsi wafanyabishara walivyokuwa wanansafirisha midola kwenda nje ndani ya mabegi utadhani hii nchi haina wenyewe. Sasa hivi kibano kweli kweli, hata kama wanapitisha nadhani sio kama hapo awali. waende tu tutajuana huko mbele ya safari
 
Tunazungukia palepale.Kwenye azimio la Arusha tulitaifisha Mali,kisha tukashindwa kumanage makampuni hayo!Tukafulia hadi Mzee wa Masasi akalianzisha la kuuza Mashirika ya umma mfilisi na Kuwaita wawekezaji.Hapo katika tena tukashindwa kuwa na terms and conditions zitakazokuwa beneficial kwa pande zote,tukapigwa wee,hadi chali.
Wakati wote huo hatujatengeneza Mkakati wa kuwawezesha wazawa Kiuchumi na Kifikra ili wa fill gaps.Ila kwa Ujinga tunashabikia investor's kuondoka,kisa kodi.Tusipongalia Tunafuata nyayo za Zimbabwe au Venezuela kwa Mwendokasi.
 
Viwanda vilipigwa mnada watu wakachukua chao, sasa hivi tena kuna sera ya nchi ya Viwanda kuvifufua na kunyanganywa wale walioshindwa kuviendeleza,sasa hivi ni mwendo wa kodi ya mwendo kasiiii ili nchi hii iwe ya wiwanda tena,tungelikuwa na vile viwanda vya zamani si tungelikuwa tunaongezea tu na mambo yangelikuwa sawa? lakini leo hii tunaanza upya.Hawa watawala wanajua kucheza na akili za watawaliwa watakavyo.
 
mi kuna kitu humu naomba mnisaidie wajuzi wa mambo, hivi ni kwamba wawekezaji walikuwa hawalipi kodi ama walikuwa wanalipa ila haifiki kwa mamlaka husika?
Hili swali la msingi mjue! [emoji12] [emoji12]
 
Hata utengenezaji chakula cha kuku unahitaji mwekezaji mwenye msamaha wa kodi? Khaaaa
 
Kuna watu wanachangia hii mada kwa manufaa binafsi hawajui biashara.

Mfanyabiashara hafungi biashara kama anapata faida hata kama ni 1% achilia mbali biashara zinazoendeshwa kulinda mtaji ukiona mtu anaacha biashara ujue maji ya shingo.
 
Msiwe watu wa kulaumu kila jambo linalofanyika mtakuwa binadamu wa ajabu sana.

1. Wakati Mhe Kikwete alipokuwa madarakani mlipiga kelele sana
kuhusu suala la ukusanyaji wa Kodi kila mtu akimlaumu Rais
kuwa hayuko makini na ukusanyaji pia hata kile kilichokusanywa
matumizi yake yakawa hayaeleweki.
Kaja Mhe Magufuli sasa anafuatilia haya mambo ya ukusanyaji
wa kodi heee mmeanza hooooo huyu Dikteta mbona hatuwaelewi
Udikiteta unaosemwa na kukusanya mapato vitu viwili tofauti usichanganye madesa.

Pili ulipigiwa kelele ufisadi na mfumo pendeleo ccm, vipi sasa rais ameumaliza huo mfumo? kama bado mafisadi wapo, upendeleo bado upoo ,huduma bado mbovu hospitals, Elimu bado kutengemaa, maisha ni magumu kwa ujumla wake, badala ya kuendelea kuboresha ufuatiliaji wa mapato, sasa unaongeza kodi kufukuza wawekezaji au kuboresha mfumo? Unategemea nini?
 
Tanzania lilikuwa shamba la bibi kila mjukuu anahaki nalo kufanya anavyo taka .

WATANZANIA tuna safari ndefu sn sn ... yakujitambua wachane maneno maneno fanyan kazi kwa bidi mbadilishie NCHI yenu lipine kodi ipasavyo ili mtengeneze FUTURE ya kizazi kijacho .wawezi kuenjoy maisha yao kwa ujamla .
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Tumekuwa wazembe mno had chakula cha kuku mwekezaj wa nje. Duh
 
Wasipolipa kodi inakuwa shamba la bibi, wakilipa kodi tunafukuza wawekezaji. Damned if you do it, damned if you don't!.
 
Mkubwa huwa hakosei anakuwa amepitiwa tu ingawa hakubali ushauri kama ninavyosikia lakini anaweza rudi nyuma aangalie alipojikwaa sio vibaya kuanza upya !!
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Kama wanatengeneza faida inayo kidhi vigezo vya kulipa VAT kwnini wasi lipe.
 
VAT inalipwa na mtu wa mwisho! Wao wanalipa corporate tax ya 30%!!
Mkubwa huwa hakosei anakuwa amepitiwa tu ingawa hakubali ushauri kama ninavyosikia lakini anaweza rudi nyuma aangalie alipojikwaa sio vibaya kuanza upya !!
 
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Waondoke tu
 
Back
Top Bottom