mkuu ulipotelea wapi?Keep on wishing in vain.
Nipo. Majukumu ya hapa na pale. Hvordan går det i Køpenhavn?mkuu ulipotelea wapi?
Sisi ni watu wa ajabu kweli basi tumuondoe Rais abakiye huyo mwekezaji wa chakula cha kuku. Kwanza kulikuwa na haja kweli ya kuwa na mwekezaji kwa ajili ya chakula cha kuku? ile Inter chick ipo wapi? Ungekuwa na ufahamu mzuri ungesema mwekezaji wa chakula cha kuku anaondoka kwa hiyo serikali ifufue ile kampuni ya Inter chick kama ilikufa sijui sio kulilia mwekezaji asiyetaka kulipa kodiMasikini watanzania!!! yaani inafikia hatua ya kuona ni afadhali muwekezaji aendelee tu kuingiza fedha kwa biashara anazofanya nchini bila kulipa kodi za serikali!!!
Kule nadhani wanalipa GST which is equally the same na vatwalipenda dezo waende tu. kwao kwani hawalipi VAT?
wacha waondoke kama hawataki kulipa kodi.Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Tatizo ni output ya hizo kodi, ndio inakatisha tamaa na kuona bora kuacha kulipa tu. At least Magu amekuja labda atarudisha uzalendo wa kulipa kodiHakuna nnchi ambayo inaendeshwa bila kodi wacha waondoke manake wamezoea kuja ku make profit huku bila kulipa kodi wacha waende zao kula ambapo hawalipi kodi pumbafffffff
kwao hakuna VAT? tofautisha wawekezaji na wezi, hakuna mwekezaji hasiyejua thamani ya VATWadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF wanafunga operation na kuondoka mwisho wa mwezi huu!! Nawasilisha
Huduma ambayo hailipiwi VAT si lazima kwamba hailipi kodi za mapato na nyinginezo.Masikini watanzania!!! yaani inafikia hatua ya kuona ni afadhali muwekezaji aendelee tu kuingiza fedha kwa biashara anazofanya nchini bila kulipa kodi za serikali!!!
It is very true.New Zimbabwe is around the corner!
Copen ni poa. I hvilken kommune var du som bor i Norge ?Nipo. Majukumu ya hapa na pale. Hvordan går det i Køpenhavn?
Mkuu Mtunzasiri kwanza ni lazima ufahamu kuwa hakuna Serikali inayoendeshwa bila watu kulipa kodi, suala la kodi ni muhimu sana muda mrefu uliopita wafanyakazi ndiyo walikuwa wanalipa kodi tena kubwa tu PAYE ambayo ukusanyaji wake ni rahisi sana , kodi hizi zingine ukusanyaji wake ni mgumu na wengi wa walipaji walikuwa wanakwepa kulipa kabisa ama wanakusanya lakini inakotakiwa ifikishwe haifiki tatizo likawa hapo, sasa Serikali imejitahidi kubana mianya yote mnaanza kulalamika tuwaeleweje?Udikiteta unaosemwa na kukusanya mapato vitu viwili tofauti usichanganye madesa.
Pili ulipigiwa kelele ufisadi na mfumo pendeleo ccm, vipi sasa rais ameumaliza huo mfumo? kama bado mafisadi wapo, upendeleo bado upoo ,huduma bado mbovu hospitals, Elimu bado kutengemaa, maisha ni magumu kwa ujumla wake, badala ya kuendelea kuboresha ufuatiliaji wa mapato, sasa unaongeza kodi kufukuza wawekezaji au kuboresha mfumo? Unategemea nini?
Jeg var i Majorstua i Oslo.Copen ni poa. I hvilken kommune var du som bor i Norge ?
hahaha mkuu Oslo nimekaa kaa kidogo Jeg har bodd i henofoss i to uker i 2011, men tilbringer mye tid i Bergen og Trondheim b4 goin back to Copen was doing dishwashing and cleaning. You must know this people Tenga, Mohamed Semboja Nasib mwanukuzJeg var i Majorstua i Oslo.
Nimekupata mkuu. Tukiendelea la lugha hii watatu report. Tutatafutana inboxhahaha mkuu Oslo nimekaa kaa kidogo Jeg har bodd i henofoss i to uker i 2011, men tilbringer mye tid i Bergen og Trondheim b4 goin back to Copen was doing dishwashing and cleaning. You must know this people Tenga, Mohamed Semboja Nasib mwanukuz
hahaha Mods siku hiz hawana masiala hata ukiandika k.ilaza wanakupiga ban. Ntakutafuta inboxNimekupata mkuu. Tukiendelea la lugha hii watatu report. Tutatafutana inbox