Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,218
- 24,550
- Thread starter
- #201
Mapovu tu yamewajaa! Ndugu zetu wanakosa kazi zaidi watu 200 direct employed na wafugaji.....wanaotegemea chain yao wote chali! Wish ungejua kitu kinaitw contract farming waliokuw nayo hao jamaa! Wamesaidia sana kuwanyanyua wafugaji wadogo wadogo! Hakuna tena fursa kukua kwa wafugaji!! Tutawakumbuka CPF!BTW wewe hujui hata kutengeneza chakula cha kuku? Hadi utengenezewe na Mthailand