Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

anakutaka wewe au mpaka aongee kiebrania.


Molembe hiyo kauli ya Farkhina hujaielewa... Haimaanishi kuwa kajitoa, la Hasha! Bali kama hata yeye akiwa na kheri na mimi, basi atanikutanisha nae ausio? Farkhina
 
Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...
Safi sana bi dada!
 
Naona mbaaaliiiii kuleeeee, tutajaambiwa sasa mwanaume mmoja aoe wanawake watatu na shoga mmoja maana wako wengi na wanahitaji matunzo hahaa haaa you just wait
 
Molembe hiyo kauli ya Farkhina hujaielewa... Haimaanishi kuwa kajitoa, la Hasha! Bali kama hata yeye akiwa na kheri na mimi, basi atanikutanisha nae ausio? Farkhina

Mungu atanikutanisha nae...
 
una uhakika mkuu Broken soul?na kwa uhalalisho upi?wa kidini,kiserikali au kijamii kwamba mwanamke kaumbwa kukidhi matamanio ya mwanaume?
Mh mwanamke ameumbwa kukidhi matamanio na haja ya mwanaume




Leo unapiga kwa Aisha, kesho kwa Maryam keshokutwa zamu ya mke watatu


Daah ila kaamrisha Allah who I am to object?
 
Last edited by a moderator:
Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...

Farkhina kweli weye ni mkweli. Unasema; weye humwambia tu. Hili halitoki moyoni kwani tayari moyo unauma. Yaani kuna maswali kadhaa hua unajiuliza, nimepungua kitu gani ambacho hajakiona humu kwangu mpaka atake mwingine tuje kumshea?? Ningelikuwa mi ni weye ningemuliza swali hilo. Sikia dada, hakuna kinachomfurahisha mwanamke kama kujua kuwa mumewe amemridhika!! Weye upo tayari kwa kila kitu, saa yeyote, wakati wowote. Mwanamke mwenye kuujua wajibu wa kumridhisha mume wake, mara nyingi huvaa khanga moja tuu. Nadhani wanielewa. Wageni wa kukaa na mumewe kwa masaa hawafai. Oh! Sijui tuna bussiness tunajadili..mpaka nyumbani kwangu, hiyo sio bussiness. Mume na mke kufurahiana banaaa mpaka ukimsikia akikuambia swali la kuongeza mwingine aje akayafaidi hayo yaliyo halali yako, UZIMIE. Wakukute Muhumbili umeshakula drip kama 6 hivi.
Naamini ndo maana ya aya hiyo kuwepo humo mwenye maandiko. Kabla hujakubali, kwanza akueleze kinaga naga, upungufu wako. Umfundishe pia binti yako aendako asipungue.
 
Nimejaribu kujiweka kwenye nafasi ya mwanamke nikaumia sana, yaani kesho anakuja unalala nae na Huku kifanyio hichohicho katoka kukitumia mwenzio!!!! No way
 
Ni kweli Mkuu, kama uko fit kiafya, naitaji kuwa na mwanaume daily tena wa kulala na kuamka naye! Awepo tuu hata kama hatufanyi kila siku lakini awepo!
Hii kuwa na uhakika saivi yupo kwa fulani anamshughulikia kama mimi noooooooooooo ngumu kumesa! Usingizi hauji! Bora wenzetu Christians wanavimada kwa siri na lazima arudi home!

Hunters
nimeipenda hiyo malizia yako. "arudi home" siyo linalala huko mpaka asubuhi, na kesho, na kesho nyingine na mtodogoo. Weye upo tu mimacho kodo usiku kucha. Unasikilizia shughuli iliyopo chumba cha pili. Mwe mweee.
Jirani yangu, ana mke, kinanda banaa. Analia mpaka watu hudhani anamnanihhh. Kumbe mbwembwe tu za kuwajulisha wanawake jirani kuwa yupo kwenye shughuli nzito. Je siku ataletwa mwenzenu wa jinsi hiyo mtafika?
Sisemi awe na kimada hapana lakini akuambie hayo mapungufu ambayo unayo na ameyakosa kwako ujirekebishe. Mapenzi kuridhishana, hakuna limbwata wala mzizi.
 
Kipya kinyemi farkhina, hapa bila shaka mke mdogo ndiye anayefaidi zaidi na si ajabu njemba inalala kwa mke mdogo mara nyingi zaidi ukilinganisha na hao wake wengine.
si unaujua ule msemo wa kutesa kwa zamu?
acha huyo mke mdogo afaidi zamu yake, maana naye itafika siku atakuwa siyo kipya tena kikija kipya kingine
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I love you Fixed Point. :busu:busu:busu
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif
A%20S%208.gif




si unaujua ule msemo wa kutesa kwa zamu?
acha huyo mke mdogo afaidi zamu yake, maana naye itafika siku atakuwa siyo kipya tena kikija kipya kingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom