Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

Mungu kama aliridhia mtume wake mfano Suleimani (japo wengine wanamtusi mjumbe wa mungu) kuwa na wake wengi basi inaonyesha kuwa kweli mke mmoja hatoshi! Ingelikuwa ni lazima kuwa na mmoja basi angefanya hivyo kwa mitume wake. Ila hakufanya hivyo ila bali akatoa mwongozo. Na kuonyesha kuwa mmoja hatoshi baadhi ya waumini wa madhebu ya dini yenye kuamini kwa mke mmoja bado wana vimanda nje kibao.
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
huna lolote migenyeyakizembe@matamanioyakishamba.co.mmu
 
ungeindoa mambo ya dini hapo ningekujibu kuwa ni uzinzi, umalaya, uroho na ubinafsi wa wanaume
 
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye red, unamaana wanawake nao watafute waume zaidi ya mmoja, soma maelezo yako hapo

kwenye red tu, kisha lete majibu sahihi.

Hapo nimemaanisha mwanaume anahitaji mwanamke zaidi ya 1. Na si mwanamke..
 
Hapo ni uwezo wako wa uadilifu, kama huwezi na unahofu, basi mmoja anatosha.
 
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.

Unakosea unaposema uasharati kwa sababu ukioa na kuwa wahalali hatuiti uasharati,uasharati ni ule una mke kisha ukaanza kutoka nje,hii kwa kuwa mwanamme hawezi kutosheka na mwanamke mmoja isipokuwa awe mdhaifu,na wengi wameoa lkn wanazini nje.
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.

Mleta madaa hiyo aya uliyoileta inaelezea mayatima:

Qur'an

4:3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.

Katika Sura hiyo hiyo ukienda mbele kidogo, unakuta na aya hii:

4:127. Wanakuuliza nini sharia ya wanawake. Sema: Mwenyezi Mungu ana kutoleeni fatwa juu yao, na mnayo somewa humu Kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walicho andikiwa, na mnapenda kuwaoa, na kukhusu wanyonge katika watoto, na kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayo fanya Mwenyezi Mungu anaijua.

Hayaishii hapo, aya zimeendelea hivi:
128. Na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. Na suluhu ni bora. Na nafsi zimewekewa machoni mwake tamaa na choyo. Na mkifanya wema na mkamchamngu basi hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za yote mnayo yatenda.

Hii ndiyo kiboko yenu wanaume:
129. Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.

Kila kitu kiko wazi hapo.
 
hawa jamaa wanaopinga hawajawahi kutoka inje? Ukweli mwanamke mmoja hatoshi, hapa nilipo nina wanawake 4, bibi mkubwa ana miaka 40, bibi mdogo anayefuata ana mika 25. anayefuata 20, huyu wa mwisho nimemuowa mwaka huu ana miaka 18. Nafaidi mapenzi kuliko hata mawaziri
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.

muda ukifika hatakama unao 20 utagonga 1 na wakati mwingine utalala tu .Mkuu niroho yauzinzi inakunyemelea achakutafuta uharali MKE NOT(1)Bwna kama nihivyo wake nao wawe na mme zaidi ya 1.ukitoka naye analeta, iliukiludi umkute naye ananguvu au sio....
 
Ndoa is more thn sex,and there's more to life,ht wanaume weng wenye maendeleo makubwa nafkr wangekuwa na msururu wa wanawake ingeaffect maendeleo,sex daily mwili si utadhoofika jmn,and lini hata utasema umeimic hyo kitu
 
...ujinga ujinga tu,hata kama ukipambwa kwa dhahabu,takataka....
 
is there scientific proof for that?? "wanakuwa hawaja 'recharge'"

Vitu vyengine expirience tu inatosha kuproof!
...
Hapo kwenye kurecharge ndio tatizo lao! Yani ni tofauti kabisa na me! Mi nikitoka tu gest hata saa moja kubwa!!!
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

MKE WAKO NAYE AKIAMUA KUOLEWA NA WANAUME WANNE UTAFURAHI AU MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU?
 
sijakuelewa mkuu,wewe kama hutosheki so wote,acha kupotosha umma
 
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.

Gud beta best....
 
hawa jamaa wanaopinga hawajawahi kutoka inje? Ukweli mwanamke mmoja hatoshi, hapa nilipo nina wanawake 4, bibi mkubwa ana miaka 40, bibi mdogo anayefuata ana mika 25. anayefuata 20, huyu wa mwisho nimemuowa mwaka huu ana miaka 18. Nafaidi mapenzi kuliko hata mawaziri

Hongera kwa kufaidi na uadilifu je unauweza?
Isijekua kwengine wapeleka nyama kwengine dagaa kwengine mchicha...
 
Back
Top Bottom