Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...
Wanawake wenye heshima zao na uvumilivu na ukarimu kama wako mko wachache sana dunia ya leo!!. The world would be a better place kama wanawake wote wangekuwa na mtazamo wako.
Shukran
 
Ama kwa hakika kabisa zinaa ni uchafu na hakuna dini iliruhusu uchafu huu. Na mifano ya kuwa zinaa huleta ufakiri ipo mingi mno ktk jamii. Na si siri kuwa wanawake ktk zama hizi ni wengi kuliko wanaume hii ni fact. Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vyooote vilivyomo ni mzuri na hapendi ila vizuri. Kila mwanamke ana haki sawa na mwanamke mwingine, nna maana kuwa kila moja ana haki ya kuolewa na si kuchezewa. Hamna anayependa kuona yeyote katika ndugu yake akiziniwa iwe dada au mama au binamu n.k na pia tutambue kila umma na mambo yake. Na ndo maana umma tofauti wakaletwa mitume tofauti. Na kwa maana hiyo hekima ya kuoa mke zaidi ya mmoja kwa umma wetu huu ikapatikana kutokana na mazingira yetu tunayoishi.
Wanaume walio wengi wakatae wakubali ni kweli kuwa hawatulii na mke mmoja. Kila mtu anaijua nafsi yake zaidi. Lakini pia hawana ujasiri wa kuzungumza na wake zao juu ya jambo hili muhimu hivyo kuishia kuoa kibabe jambo ambalo hufanya ndoa kuwa na msingi mbovu.
Kila mmoja wetu anatamani emmotional security. Nawashauri wanaume wawe majasiri , ubabe si ujasiri. Ukitaka kuoa zungumza na mkeo mtaelewana tu kama nia ni njema.
 
Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...

Farkhina nataka mke kama wewe! Unajitambua na unatambua maamrisho na makatazo ya dini yako.!!!
 
Purukushani baina yetu wanawake wa siku hizi wengi wana roho mbovu....ila watu zamani wanaolewa wanne tena wanaishi nyumba moja na wala hawagombani tena huitana dada hasa...

Wewe umesema kweli chukua like ya maana...
 
Sasa mwanamke naye ashindwe kwani ana cha kusimamisha kuwa kitagoma?

Au anaitenga tu kama mboga, mchovyaji atajua mwenyewe?

Sijawahi sikia mganga wa kuongeza nguvu za kike

Kila siku unakwepa maswali yangu! But leo nimekuja na fimbo hapa! Usipojibu nakuchapa!
Teh teh teh! Utani tu!
...
Yap! Generally me mmoja anamtosheleza ke m1 hata wa3!
Sema inategemea na me mwenyewe! Hawa viepe mayai hawawezi hilo!
...
But ke mmoja hawezi kutosheleza me zaidi ya mmoja! Yes! Haiwezekani ke agongwe vitatu na baada ya saa moja agongwe tena! Unalo?!!!
 
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?

Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.

Ni kweli hata sie tunapenda wanaume wawil wawili au threesome jaman haki sawaaa
 
Life is choice, you choose thy own way and yet life is understanding but consequences......!
 
Kumbe tunaoa ili tukidhi matamanio tu??
halafu hilo love unaligawanya vipi kwa hao wanne!
mm nashindwa kuelewa unawapendaje wanawake wanne kwa wakati mmoja?? au ni ku watamani tu lakini hakuna upendo??

Inawezekana kwani vip. Hao mitume waliopita waliokua n wake wengi waliwapendaje kama musa.ibrahim.daudi. Nk
 
farkhina,
Najua unaogopa kusema tu, ila kiukweli huukubali mpango huo. Ndo maana wengi wenu mnaishia kuwa na msaada huko nje ya ndoa zenu. Ukila vizuri, mwili hauna ugonjwa, unahitaji mwanaume kila siku. Kama yeye anahitaji mwanamke kila siku, hata weye farkhina. Ukweli usemwe, utatuweka huru

Ni kweli Mkuu, kama uko fit kiafya, naitaji kuwa na mwanaume daily tena wa kulala na kuamka naye! Awepo tuu hata kama hatufanyi kila siku lakini awepo!
Hii kuwa na uhakika saivi yupo kwa fulani anamshughulikia kama mimi noooooooooooo ngumu kumesa! Usingizi hauji! Bora wenzetu Christians wanavimada kwa siri na lazima arudi home!
 
Sasa mwanamke naye ashindwe kwani ana cha kusimamisha kuwa kitagoma?

Au anaitenga tu kama mboga, mchovyaji atajua mwenyewe?

Sijawahi sikia mganga wa kuongeza nguvu za kike

Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa Kongosho umenichekesha sanaaaaa.......... eti tunatenga kama sufuria ya mboga lolz!
Hata Mimi sijawahi kusikia mganga wa kuongeza nguvu za kike! Badala ya kupungua zinaongezekaga na kutamani kugegedwa daily!
 
Hapo hamna upendo aisee kama alivyo kwambia kukidhi matamanio ya miili mwanaume awe nao hao wanne .....
 
hawa jamaa wanaopinga hawajawahi kutoka inje? Ukweli mwanamke mmoja hatoshi, hapa nilipo nina wanawake 4, bibi mkubwa ana miaka 40, bibi mdogo anayefuata ana mika 25. anayefuata 20, huyu wa mwisho nimemuowa mwaka huu ana miaka 18. Nafaidi mapenzi kuliko hata mawaziri
Mwanangu nimekupata,nimetamanije,ila mkuu gharama sana labda financial uwe fit sana.Kiukweli mwanamke mmoja ni very boaring.,kutokana na hilo inakulazimu mtu uwe na mechi za pembeni nyingi ili kupunguza stress.Kitu ambacho ungekuwa na wake official let say 3 usingetoka nje mara kwa mara.
 
..1
Sasa mwanamke naye ashindwe kwani ana cha kusimamisha kuwa kitagoma?

2..
Au anaitenga tu kama mboga, mchovyaji atajua mwenyewe?

..3
Sijawahi sikia mganga wa kuongeza nguvu za kike

Hahahahahahaaaaa!
Kumbe unaogopa kuchapwa ee!!!
...
..1
kweli hana cha kusimamisha!
But hiyo michubuko and/or mauchovu vinamfanya asiweze kuitoa tena kwa kujihurumia!
Refers kungonoka ni starehe sio adhabu!!!
...
..2
labda ajipasue na maulevi au ganzi ndio ataweza kuitoa tena!
...
..3
ndio mkubali sasa kama ke hawezi kudate na me zaidi ya m1!
Na mkubali kuwa me anaweza!
So, ukewenza unahusika kwa misingi hiyo!
...
Do you catch me?
 
Tusimfundishe MUNGU JUU YA UUMBAJI yeye alimuumbia Adam Hawa mmoja tu kwakuwa alijua Hawa mmoja atamtosha Adamu kwakila hali. Kazi ya shetani ni kwenda kinyume na Mungu kuongeza mke wa pili hii ni kazi ya shetani. Kuongeza mke wa pili uhuo ni uzinzi na ushetani hata kama mtaupaka mafuta kwa kuutafutia namna ya kuuweka vizuri. Rejeeni maandiko katika kitabu cha neno la Mungu.Mungu aliumba mtu mume na mtu mke na akawapa amri ya kuzaa na kuongezeka na kuijaza dunia yote. Wala hakusema wewe Adam na wake zako nendeni mkazae na kuujaza ulimwengu wote.
 
Mtazamo wangu juu ya kuoa mke zaidi ya mmoja kwanza ni hiari sio lazima na anapswa kuoa mwanaume mweye uwezo kwa maana ya uwezo wa kifedha na kihali(afya)(kuwaridhisha wote)
kwa matiki hiyo kuna wanaume tayari washakuwa excluded katika kuoa mke zaidi ya mmoja pili mwanaume anaeoa mke zaidi ya mmoja lazima aonyeshe mapenz sawa kwa wake zake wote ingawaje kiuhalisia lazima ataekuwepo anaempenda zaidi lakini asionyeshe mapenzi yaliyopitiliza mbele ya wenzake na kupelekea wivu,
faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
kuwasitiri wanawake coz wao ni wengi duniani kupita wanaume pili kuwasitiri wajane as woye tunajua ukiwa katika ndoa unaepukana na mabalaa mengi yatokanayo na uzinzi na pia kupata heshima katika jamii
faida ya pili mwanume anaweza akwa ana nguvu za ziada au yingi kiasi kwamba mke mmoja hamtoshi na kumuendea kila siku mkewe ikawa kero kwa mke au mme akawa anamhitaji mke kimwili mwanamke akshindwa kutokana na magonywa au afya i.e uzazi,kunyonyesha,kubleed na maradhi mengine yoyote yanayoweza kumzuia mke kukutana na mmewe
lastly but not least dunia ya sasa hivi imejaa vishawishi we all knw that so kuoa mke mmoja kwa wanaume inaweza ikawa ni njia sahihi kuepukana na vishawishi pia zinaa huleta umasikini so kuoa na kepuka zinaa ni kuuondoa huo umasikini.
 
Back
Top Bottom