Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,491
- 12,145
- Thread starter
- #161
Hilo kombola moja tanzania haiwezi kulinunua hata labda msilipe mishahara miaka kumi


Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo kombola moja tanzania haiwezi kulinunua hata labda msilipe mishahara miaka kumi


Hakika ushabiki ulikuwa wa kiwango cha juu sana.Yaani naomba dua usiku na mchana kiduku amuaibishe US maama wamezidi wao aliye wapa kibali kuwa police wa dunia ni nani? mimi nina nyumba yangu wewe jirani uje unilazimishe namna ya kuishi kwenye nyumba yangu ukikubali wewe sio mwana ume utakuwa fara
Jidanganye marekani aina ubavu kwa NK kiduku anazo siraha hatari za kibaiolojia zilizo imalishwa sana na zakikemikali vita ikitokea wamarekani mil40 lazima wapotee na ndiyo utakuwa mwisho wa marekani kuwa super power hapa duniani hicho ndicho kinafanya USA kuogopa NKNgoja apelekewe mvua ya risasi kwanza akili imkae sawa dikteta uchara yule.
Last week, President Trump said that he hadn’t realized how difficult it would be to disarm North Korea until he received a short history lesson from Chinese President Xi Jinping. "After listening for 10 minutes, I realized it’s not so easy!"
Trump confessed to the Wall Street Journal.
WE ALL KNEW THAT MR. SMART GUY - GO TAKE A NAP
Na USA pia itakuwa uwanja wa vitaHivi mnajua kuwa uwanja wa vita itakuwa ni Korea hiyo hiyo??
Ujui kituWaambie waelewe,kipanki hamna kitu
Atagalagazwa vibaya sana
Jidanganye marekani aina ubavu kwa NK kiduku anazo siraha hatari za kibaiolojia zilizo imalishwa sana na zakikemikali vita ikitokea wamarekani mil40 lazima wapotee na ndiyo utakuwa mwisho wa marekani kuwa super power hapa duniani hicho ndicho kinafanya USA kuogopa NK
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga tazama korona inavyo ifanya China ,NK anazo siraha hatari za kibaiolojia hizo tu akizitumia USA nzima inachanganyikiwaSishabikii vita vya nchi na wala sina upande ila ukweli unabaki, battle field itakuwa ni nchi ya korea yenyewe huku usa wakiendelea kula bata, tuwe wakweli usa military ni supreme!!
Wewe kama unabisha subiri vita ianze uone watu wanavyo kimbia USA kurudi nchi walizo tokaSawa mwana sayansi alie bobea kwenye nyanja zote za ndotoni..uki amka usi tusumbue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kimbinu zakivita TALEBAN Anamzidi nn US Ama TALEBAN Anasilaha Gani Ambazo US HanaKijeshi na mbinu Za kijeshi bado RPK hawawezi kushindana na USA Kuna sababu ya RPK kutulia na kuimarisha vitendea kazi kabla hajajibisha kwenye ground na USA


Sahihi kabisaUkitazama Iraq, Libya n.k US alifanikiwa kutokana na kuleta propaganda na raia wakajitenga. Sasa kwa Nkorea ni ngumu, wale watu wanaipenda nchi yao hususani wale viongozi wa juu ya majeshi, tusimfkirie US kumdondosha KIM.
Kiduku kasema vita itapgwa kote kote akirusha moja Korea na yeye anarusha USA kiduku c wakispotspot


Mfano?Kwa kuwa facebook, apple, google na teknolojia kubwa zipo US basi wanatambua US ndo kama mungu.
Kuna mataifa hayapendagi majigambo kama marekani wanavyopenda na wana teknolojia ya hali ya juu sana.
Kwahyo huyo North Korea ana teknolojia kubwa kuliko USA au sio?Kwa kuwa facebook, apple, google na teknolojia kubwa zipo US basi wanatambua US ndo kama mungu.
Kuna mataifa hayapendagi majigambo kama marekani wanavyopenda na wana teknolojia ya hali ya juu sana.
Kwani kimbinu zakivita TALEBAN Anamzidi nn US Ama TALEBAN Anasilaha Gani Ambazo US Hana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbinu Republic Of Taleban Na US Nani Anambinu Zaidi ?!.....RPK—-Republic People of Korea