Kim Jong UN kasomea Switzerland

dogman360

Member
Oct 15, 2018
95
156
Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kaskazini huko Bern
kim-jong-un-les-secrets-de-son-enfance-en-suisse.jpg

Wanasiasa ni wale wale duniani kwote wanahubiri maendeleo ila watoto wao wanasomea nchi nyingine
 
Laurent Kabila aliishi Tanzania toka 1971 alopofurushwa na Mobutu baada ya Che Guivara kumwona msanii na kumwacha. Nchini Tanzania alijulikana kwa jina la Laurent Katwale mfipa toka Sumbawanga. Hata mtoto wake Joseph alisoma hapa la kwanza mpaka yote.

Alikuwa na jamaa zake wengine aliokombia kuja Tanzania kama akona Didi Nyembo (Didier Nyembo) wakiishi pale Sinza.

Kwahiyo hawa wanasiasa kazi za usanii sio haba.

Mfano waziri wa mambo ya nje wa Congo DR baada ya Laurent Kabila kitwaa madaraka alikuwa Nyamurenge akijulikana kwa jina la Bozima Kalaha lakini jina lake halisi ni BIZIMANA KALAHARI🤣.
 
Huyu PASCHAL KONE aliwahi kuwa RC SINGIDA nadhani kipindi chote cha JK naye ni mwenyeji wa Nchi gani kule West Africa?
 
Back
Top Bottom